TGIF: Mrema alipokutana na JK wiki hii (Picha)

Status
Not open for further replies.
Hapa umenichanganya kidogo, Mrema ana nyumba Kiboriloni? Na Mengi pia ana nyumba Kiboriloni? Then ya Mrema ni nzuri kuliko ya Mengi? Halafu suala l a dhahabu si ziliwahusu watu wa karibu na mkuu wake enzi hizo? Mkuu nisaidie nisichanganyikiwe zaidi.

My point mkuu ni kwamba Mrema was never clean, na mara nyingi hata yeye mwenyewe alipohojiwa alikiri hili kwamba "mimi sikuwa malaiaka" kuhusu nyumba samahani kwa kukuchanganya, I meant huko Uchaggani, Mrema ana hekalu zito sana amabalo huwezi kutoka kuwa ofisa usalama kwenda ubunge na uwaziri ukaweza kulijenga kwa mshahara wa halali, na kuhusu zile dhaahabu to this day hajawahi kuieka vizuri zilikwenda wapi pamoja na mengi sana ambayo amewahi kuyasema kuhusiana nazo, Mrema amesoma shule na anajua English, lakini alikuwa na tamaa sana ya madaraka na hakutaka kusikiliza anyhting,

Yes CCM waliamua kwa makusudi kusema kuwa lazima uwe na degree angalau moja kugombea urais, ilikuwa ni njia tu ya kumsimamisha asigombee, lakini in the final analysis ninasema kwamba kwa standard zetu za uongozi wa kibongo, za kuuma na kupuliza Mrema anasimama kwenye ligi yake nyuma ya Zitto na Dr. Slaaa, hiyo sio siri, na hata mbele ya Mungu ana sababu nyingi za kujitetea, ukilinganisha na wengine!

Lakini ninaomba nirudie tena on a serious tone, kuwa yule sister aliyekuwa akiruka naye, akiwa mbunge wa chama chake, ambaye baadaye aliwarukia mtandao ni mgonjwa sana sasa, kwa hiyo siamaini kuwa afya ya Mrema iko sawa na nilisema haya toka mwaka juzi

Mungu Ambariki Anyways, Kiongozi Mrema!
 
FMES,
On top of hilo hekalu la uchagani, kuna nyumba ilinunuliwa na TLP Dar ili mwenyekiti aweze kuishi humo baada ya Mrema kufanyiwa mizengwe na NHC kwenye nyumba aliyokuwa anaishi. Hiyo nyumba ilinunuliwa specifically kuwa makazi ya mwenyekiti wa chama. Hivyo kama Mrema siku moja angekoma kuwa mwenyekiti wa TLP angempisha mwenyekiti mpya kwenye makazi hayo. Surprisingly, huyu mheshimiwa alijibinafsishia hiyo nyumba na kusema amepewa na wanachama. Nipe tofauti yake na Chenge. Huyu ni fisadi mzoefu ambaye kumweka ligi moja na kina Slaa ni kumkweza na kumweka asipostahiki. Tazama baada ya kugundua kuwa sasa hivi si kitu anavyomudu kazi ya PR kwa CUF na CHADEMA.
 
yomba Yomba,

Anaitwa Agness, alikuwa mbunge wa TLP wa viti maaalum mrefu hivi na ni mkenge sana, kuna wakati kidogo niupande mkenge kule Dodoma, lakini mshikaji mmoja akanishitua!
 
yomba Yomba,

Anaitwa Agness, alikuwa mbunge wa TLP wa viti maaalum mrefu hivi na ni mkenge sana, kuna wakati kidogo niupande mkenge kule Dodoma, lakini mshikaji mmoja akanishitua!

Kuna mmoja namfahamu (ila simkumbuki jina) kabla ya kupewa ubunge alikua na kagrocery maeneo ya Mtoni Sabasaba...ndiye huyu?
 
yule mama anjelina aliyezaa na mrema ni kweli alikutwa amekufa mbezi...lakini usipime kwa macho...madaktari wamemkuta mrema na kisukari..kisukari ni kama ngoma tu..!!

nyumba ya mrema ya moshi alijengewa na umoja wa vijana ccm...ni hekalu kweli kweli...kama mnakumbuka ule msafara wa pikipiki kuzunguka nchi nzima ulipofika kiraracha ulikuta nyumba ya mrema ndogo sana ukaazimia kumjengea na wakajenga...na kiongozi wa pili baada ya myerere kujengewa nyumba na YOUTH LEAGUE!!!
 
Kazi ya Mrema haikupotea bure, na haitapotea bure, mambo aliyoyasimamia yanatiliwa mwazo sana na vijana na wanawake wengi wa kawaida kama mimi na wewe.
Ndio!
vuguvugu alilolianzisha bado lipo na karibu litachemka, si tunajionea wenyewe?
Nani alianzisha kuwanyooshea kidole vigogo? hii haitaisha tena mapaka kieleweke.
 
Kuna mtu yoyote ana rekodi yake alivyokwua DSO?

ALIKUWA RSO SHINYANGA YALIPOTOKEA MAUAJI YA VIKONGWE....NI LILE KUNDI LILILOWAJIBIKA LIKIMUHUSISHA ALIYEKUWA WAZIRI ..ALI HASSAN MWINYI,MKURUGENZI WA USALAMA....NA RSO MREMA....

ALIKAA BENCHI KABLA YA ...AKAENDA KUFUNDISHA MBWENI ..THEN MWAKA 1980 AKATEULIWA MKURUGENZI WA USALAMA CCM....THEN UBUNGE...ETS ETS....
 
nyumba ya mrema ya moshi alijengewa na umoja wa vijana ccm...ni hekalu kweli kweli.....na kiongozi wa pili baada ya myerere kujengewa nyumba na YOUTH LEAGUE!!!

My point mkuu ni kwamba Mrema was never clean, na mara nyingi hata yeye mwenyewe alipohojiwa alikiri hili kwamba "mimi sikuwa malaiaka" kuhusu nyumba samahani kwa kukuchanganya, I meant huko Uchaggani, Mrema ana hekalu zito sana amabalo huwezi kutoka kuwa ofisa usalama kwenda ubunge na uwaziri ukaweza kulijenga kwa mshahara wa halali Mungu Ambariki Anyways, Kiongozi Mrema!

FMES,
On top of hilo hekalu la uchagani, kuna nyumba ilinunuliwa na TLP Dar ili mwenyekiti aweze kuishi humo baada ya Mrema kufanyiwa mizengwe na NHC kwenye nyumba aliyokuwa anaishi. .

Mkuu FMES,
Ni kweli Mrema alikubali kwamba yeye si malaika (ni ukweli kwa binadamu wote), lakini haimaanishi kwamba asiye malaika ni fisadi. Kuna makosa ya kawaida kabisa kwa kila binadamu..awe katika nafasi yoyote. Kuhitimisha kwamba Mrema ni fisadi kwasababu alikiri kwamba yeye si malaika (hata wewe na mimi tunapaswa kukiri hilo) sio sawa!
Kuhusu suala la nyumba (au mahekalu) za Sinza na Kiraracha zote kajengewa na vyama....sasa hapa nashindwa kuona ufisadi wa Mrema.
Mrema aheshimiwe, japo alipaswa kupambana ndani ya sisiem badala ya kuhama. Pia nadhani Mrema si mzuri akiwa top decision maker, rather ni mfuatiaji mzuri.
 
Bwana Philemon Michael,

Inawezekana Mrema amewahi kuwa RSO Shinyanga, lakini si kipindi yalipotokea mauaji yaliyomwajibisha mzee Mwinyi. Aliyekuwa RSO pamoja na RPC walikaa miaka kadhaa rumande na baadaye kuhukumiwa kifungo cha miaka saba. Kwa nyumba iliyonuniliwa na TLP, watafute waliokuwa naye karibu. Jinsi alivyojimilikisha sioni tofauti na Mkapa alivyofanya kwenye nyumba ya seaview. Kwa kifupi, tumefikishwa pahali pa kuamini kuwa mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake and who knows ? Huyu angeukwaa uraisi 1995 haya ya Ben yangekuwa cha mtoto.
 
....THAT IS JUST A THEORY...MREMA HAJAWAHI KUWA RAIS....
 
Mkuu FMES,
Ni kweli Mrema alikubali kwamba yeye si malaika (ni ukweli kwa binadamu wote), lakini haimaanishi kwamba asiye malaika ni fisadi. Kuna makosa ya kawaida kabisa kwa kila binadamu..awe katika nafasi yoyote. Kuhitimisha kwamba Mrema ni fisadi kwasababu alikiri kwamba yeye si malaika (hata wewe na mimi tunapaswa kukiri hilo) sio sawa!
Kuhusu suala la nyumba (au mahekalu) za Sinza na Kiraracha zote kajengewa na vyama....sasa hapa nashindwa kuona ufisadi wa Mrema.
Mrema aheshimiwe, japo alipaswa kupambana ndani ya sisiem badala ya kuhama. Pia nadhani Mrema si mzuri akiwa top decision maker, rather ni mfuatiaji mzuri.

Mkombozi wa wanawake na kiongozi wa wafanyakazi Augustine Lyatonga AKA mzee wa kiraracha AKA mzee wa pilau AKA mzee wa mabomu AKA mzee aliyepigwa na mabomu ya FFU kuliko kiongozi yoyote yule wa upinzani AKA waziri aliyekataa kuchukua collective responsibility na kuungana na mafisadi bungeni - Mrema.

MUNGU akubariki kwa yale meme uliyoifanyia nchi hii.
 
ALIKUWA RSO SHINYANGA YALIPOTOKEA MAUAJI YA VIKONGWE....NI LILE KUNDI LILILOWAJIBIKA LIKIMUHUSISHA ALIYEKUWA WAZIRI ..ALI HASSAN MWINYI,MKURUGENZI WA USALAMA....NA RSO MREMA....

ALIKAA BENCHI KABLA YA ...AKAENDA KUFUNDISHA MBWENI ..THEN MWAKA 1980 AKATEULIWA MKURUGENZI WA USALAMA CCM....THEN UBUNGE...ETS ETS....

Hajawahi kuwa stationed Mugumu/Bunda mkoani Mara au alikwenda kwenye Black Op...?
 
All in all huyu aliweka historia ya pekee nchini, kwani alijiudhuru ili kutetea wananchi, nani mwingine aliyejiudhuru zaidi ya mrema na Mzee Ruksa. Bado yeye ni clean kwa sababu hata nyumba ya TLP bado yeye ni kiongozi bado anahaki ya kukaa humo mpaka akistaafu. Ya moshi alijengewa na UVCCM wakati akiwa kiongozi wa watu kama zawadi, hii haiwezi kumfanya kuwa fisadi.
 
Mrema tunakushukulu kwa mazuri uliyotufanyia ila kamwe hatutakusahau kwa ubabe, ukabila na uropokaji hata kwenye mambo yanayohitaji hekima kama ulivyowafanyia watu wa Shinyanga wakati ukiwa RSO kama marehem mzee Helman wa pale Kahama...siku zote alikua anasema wewe ni mnyama kuliko viongozi waliowahi kutokea serikalini kwa kumvunjia duka lake bila ya kufuatilia maelezo aliyokua ameyatoa kituo cha polisi...Pumzika kwa amani mzee helman....
 
Nyerererist/ism!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom