TGIF - JF mpaka kieleweke~~

Painkiller kamsahau, huyu bwana ha-kill pain, anaiongeza. Yaani wiki yaweza kuwa kama mwaka, lol!

Second verse mentions my name Mama. Welcome back and have a nice day !
 
Second verse mentions my name Mama. Welcome back and have a nice day !

asante lakini ile 'umeomba mwenyewe' iliniletea regrets, nikatamani kureverse situation but was too late, LOL.

You have a nice day too!
 
Sasa mbona Tyronne na LeQuisha walikuwa wanakusanya vi-union fees kila mwezi........Unataka kuniambia kuwa tumeiingizwa mjini?

Poa tu....ukinifukuza si ntarudi zangu Bongo. Halafu ntakuwa nashindilia masanga kila siku pale Nguruko, na kucheza disco pale kawe darajani...mpaka vidolali vyangu viishe.

Bongo noma! usirudi si umesikia bei ya petroli inazengeazengea mitaa ya shilingi 2,000 bei ya vyakula haishikiki! Bora utafute sehemu nyingine ya kubeba box kuliko kurudi bongo...:)
 
Bongo noma! usirudi si umesikia bei ya petroli inazengeazengea mitaa ya shilingi 2,000 bei ya vyakula haishikiki! Bora utafute sehemu nyingine ya kubeba box kuliko kurudi bongo...:)

unajua hii kitu sio bongo tu ! hata kwa bush nasikia mfumuko wa bei za vyakula, mafuta ni kama bongo tu !
 
picture.php

Ubunifu
 
Back
Top Bottom