Tff website ni kero

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,043
10,691
Nyie wakuu hapo TFF tunaomba muwe na utaratibu wa kuiupdate wavuti yenu.Si wadau tukiitembelea tunakuta habari za mwaka 49.Mnashindwa hata na blog za akina Michuzi?Nyie ni taasisi kubwa na dunia ya leo ni ya TEKNOHAMA.
 
Sidhani kama wana IT administrator.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom