TFF:Simba mlizikataa wenyewe pesa za Twite sasa mbona kero?

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Ni kauli iliyotolewa na TFF leo na kuwataka simba wawe wapole maana hakuna kanuni ya TFF inayoilazimisha Yanga kuwalipa simba maana simba walipeana pesa na Twite kihuni.
Na simba wamejibu mapigo kwamba sasa wanaingia mtaani kumsaka Twite ili awalipe chao.Yanga nao wajibu kwamba wakimkamata Twite basi wao watatoa report fifa kwamba simba walifanya mazungumzo na mchezaji mwenye mkataba na kumrubuni aikache timu yake.
Chanzo:VYOMBO VYA HABARI LEO JIONI.
 
Subiri waje hapa utaona watakavyowatuhumu hao mnaowaita TFF kuwa ni Yanga damu,subiri tu...
 
nilivyosikia yanga wanalala mzungu wa 4 nikaqjuwa kabsaaa hatutalipwa pesa yetu maana timu yenyewe haina pesa ya kulipia chumba cha kulala itaweza maelfu ya dollar tunazowadai???... Sio mbaya ukimsaidia mtani wako hasa anaeyumba kipesa. Mtani chukuwa pesa hiyo wala hatutakudai tena maana umezidiwa madeni mpaka basiiii tukikupeleka fifa utafungiwa maisha.
 
pole sana naitaji upeleke rambirambi pale lubumbashi
 
nilivyosikia yanga wanalala mzungu wa 4 nikaqjuwa kabsaaa hatutalipwa pesa yetu maana timu yenyewe haina pesa ya kulipia chumba cha kulala itaweza maelfu ya dollar tunazowadai???... Sio mbaya ukimsaidia mtani wako hasa anaeyumba kipesa. Mtani chukuwa pesa hiyo wala hatutakudai tena maana umezidiwa madeni mpaka basiiii tukikupeleka fifa utafungiwa maisha.
wewe jipe moyo tuu,hiyo hasara umeshapata,hata fifa wanaiogopa yanga kwa sababu yanga inadaiwa na fifa pia si unaona hilo.
 
Yanga, Mbuyu Twite na TFF wanapaswa kuilipa Simba fedha zao. Muungwana yeyote hawezi kuukwepa ukweli huu
 
Yanga cccccm acheni mbwembwe soka la maneno mpaka lini(sababu ya kudumaa kwa soka la bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom