Tff na soka

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Napenda kuwapongeza TFF kwa kuhakikisha mkoa (nchi) Dar Es Salaam soka linakuwa, nasi huku mikoani tunatumia rasilimali tulizo nazo kuendeleza soka vilevile na Inshaala ipo siku tutafikia kiwango cha Ulaya. Uwanja huu tunautengeneza wenyewe.
 

Attachments

  • IMAG0044.JPG
    IMAG0044.JPG
    192.6 KB · Views: 36
  • IMAG0063.JPG
    IMAG0063.JPG
    272.8 KB · Views: 34
Back
Top Bottom