Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
Uongozi wote wa tff ,waziri wa michezo,na wote waliohusika na ujio wa timu ya taifa ya IVORY COAST kitendo mlichowafanyia waandishi wa habari tunaomba mkome kurudia uchafu mlliowafanyia waandisho wa habari;sisi watu wa kawaida atukuwa na umuhimu sana ila inasikitisha kwa jinsi mlivyowazalilisha hawa watu
hawa hawa wakiamua kuwasahau mnalia na kuanza kutambaa kwa magoti;hiyo ni timu kama nyingine acheni kubabaika na kutetemeka
je wangekuja brazil si ndio mngezima na uwanja wa ndege taa
hili liwe somo kwa waandishi hao viongozi wanajali sana pesa zao hawana kipya zaidi....