TFF Acheni Wizi na Unyonyaji huu wa Mchana Kweupe.....

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni.

Watazamaji 50,455 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo iliyochezwa usiku kwa viingilio vya sh 5,000, sh 7,000, sh 10,000, sh 15,000, sh 20,000 na sh 30,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh 93,345,549.15 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh 59,578,169.49.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni posho ya msimamizi wa kituo sh 240,000, kamishna wa mechi sh 250,000, waamuzi sh 591,000, mwamuzi wa akiba (reserve referee) sh 70,000, usafi na ulinzi wa uwanja sh 2,350,000 na Wachina (stadium technical support) sh 2,000,000.

Umeme sh 750,000, maandalizi ya uwanja (pitch preparation) sh 400,000, ulinzi wa mechi sh 5,860,000 wakati tiketi ni sh 7,327,000. Gharama za mchezo sh 31,115,183.05, uwanja sh 31,115,183.05, Kamati ya Ligi sh 31,115,183.05, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh 18,669,109.83 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh 12,446,073.22.

Huu ni wizi wa mchana kweupe.....Haiwezekani mechi iingize Tshs. milioni 390 halafu zenyewe zipewe nusu ya fedha hizo milioni 196 na nusu nyingine iende kusikojulikana.......Makato yanakuwa mengi mpaka yanakera.......TFF pamoja na kupata mabilioni ya fedha toka VodaCom, TBL na NMB bado tu hawatosheki na kuendelea kuvikamua na kuvinyonya vilabu........

Haiingii akilini kwa TFF kufanya malipo ya usafi,ulinzi, maandalizi ya mechi, waamuzi, kamisaa na gharama za tiketi kwa kutegemea mapato ya mechi......Vipi kama mashabiki wangesusia mechi hiyo,gharama hizo angelipa nani?......Inashangaza kuona eti mamilioni ya pesa yanakwenda kwa Kamati ya ligi, FDF na DRFA wakati hakuna chochote wanachokifanya kuendeleza soka......Huu ni WIZI.......Tena WIZI na UNYONYAJI wa mchana kweupe...

Inasikitisha sana.........
 
Hii ndo Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi ambako dhulma imebarikiwa ikifanywa na wenye dhamana
 
Ndo maana kufanya kazi TFF ni zaidi ya zile Taasisi zinazojulikana kwa package nzuri TRA,BOT etc
Nani asingependa kuwa mwenye dhamana pale TFF kwa computation hizo? No body!
 
Hizi takwimu umezitoa wapi? Manake attendance notice ya Super Sports ilikuwa 59,014 ambao kiukweli wanalingana na hali ya uwanja ukizingatia hakukuwa na mapengo kwenye majukwaa na baadhi ya watu walikosa tiketi.

Hebu chukulia mfano tu kuwa watu wote hawa 59,014 waliingia kwa kiingilio cha 5,000 haya mapato ni sahihi?

Kwa kifupi huu ni uhuni
 
Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni.

Watazamaji 50,455 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo iliyochezwa usiku kwa viingilio vya sh 5,000, sh 7,000, sh 10,000, sh 15,000, sh 20,000 na sh 30,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh 93,345,549.15 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh 59,578,169.49.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni posho ya msimamizi wa kituo sh 240,000, kamishna wa mechi sh 250,000, waamuzi sh 591,000, mwamuzi wa akiba (reserve referee) sh 70,000, usafi na ulinzi wa uwanja sh 2,350,000 na Wachina (stadium technical support) sh 2,000,000.

Umeme sh 750,000, maandalizi ya uwanja (pitch preparation) sh 400,000, ulinzi wa mechi sh 5,860,000 wakati tiketi ni sh 7,327,000. Gharama za mchezo sh 31,115,183.05, uwanja sh 31,115,183.05, Kamati ya Ligi sh 31,115,183.05, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh 18,669,109.83 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh 12,446,073.22.

Huu ni wizi wa mchana kweupe.....Haiwezekani mechi iingize Tshs. milioni 390 halafu zenyewe zipewe nusu ya fedha hizo milioni 196 na nusu nyingine iende kusikojulikana.......Makato yanakuwa mengi mpaka yanakera.......TFF pamoja na kupata mabilioni ya fedha toka VodaCom, TBL na NMB bado tu hawatosheki na kuendelea kuvikamua na kuvinyonya vilabu........

Haiingii akilini kwa TFF kufanya malipo ya usafi,ulinzi, maandalizi ya mechi, waamuzi, kamisaa na gharama za tiketi kwa kutegemea mapato ya mechi......Vipi kama mashabiki wangesusia mechi hiyo,gharama hizo angelipa nani?......Inashangaza kuona eti mamilioni ya pesa yanakwenda kwa Kamati ya ligi, FDF na DRFA wakati hakuna chochote wanachokifanya kuendeleza soka......Huu ni WIZI.......Tena WIZI na UNYONYAJI wa mchana kweupe...

Inasikitisha sana.........

solution ni timu ziungani ligi kuu iwe kampuni na waache ulimbuke we will win this race..
 
Shida ni ubunifu mdogo wa vyama hivi vya mpira, wakipata mechi kama hii ndo wanategemea hela inayopatikana ndo itibu ugwadu wao wa fedha. Wasamehe bure mkuu!!!!
 
kaka ulimbukeni wa timu zetu ndio yanatokea haya yote wakiaacha tu ulimbukeni huo utaona watakavyofaidika zaidi ya hapo sijaona maendeleo ya mpira bongo zaidi ya timu zinazomilikiwa na taasisi au makampuni.. poleni sana toto na jamii yenu pia..
 
Hii nayo nimeikuta kwenye blog ya Shaffih.....

ana tena, kumeibuka kiroja. Mapato ya Simba ya Yanga kuwa 390m tu. Ni kiroja kwa kuwa, kwa mujibu wa matangazo ya Supersport, mashabiki walioingia ni 59,000. Sina haja ya ku-validate idadi hii, maana kule orange straight nilipokaa, mashabiki walikuwa wamejazana hadi kubebana na kukaa kwenye njia za kuingilia.

Embu tufanye scenario zifuatazo kwa kuzingatia viwango vya viingilio:
- 59, 000 x 30, 000 = 1, 770, 000
- 59, 000 x 20, 000 = 1, 180, 000
- 59, 000 x 15, 000 = 885, 000, 000
- 59, 000 x 10, 000 = 590, 000,000
- 59, 000 x 7, 000 = 413, 000, 000
- 59, 000 x 5, 000. = 295, 000, 000

Hapa mtaona kwamba, tukifanya average (mliosoma hesabu na uhasibu ndo mahali penu hapa), basi walau kiingilio cha 10,000 ndo muafaka ya kuchukuliwa kama waliingia watu wote, mtaona kuwa mapato yalitakiwa yawe, walau 500, 000, 000.

Shaffih, mna deni kubwa sana kwa watanzania katika kuwaeleza, kuwafahamisha na kuwasaidia watanzania ili waepukane na taabu na masumbufu haya wanayoyapata.

http://www.shaffihdauda.com/2012/10/maoni-ya-mdau-juu-ya-mapato-ya-mechi-ya.html

tunajua TFF wanaiba sana tu pale, ila sasa FIFa hawataki mahesabu yao yakagiliwe
 
Wakati huo huo, mechi ya ligi hiyo kati ya African Lyon na Toto Africans iliyochezwa uwanja wa Azam Complex na kushuhudiwa na mashabiki 9 kwa kiingilio cha shs 3,000/= imeingiza shs 27,000/=.

Huu ni wizi wa mchana kweupe.....Haiwezekani mechi iingize Tshs. milioni 390 halafu zenyewe zipewe nusu ya fedha hizo milioni 196 na nusu nyingine iende kusikojulikana.......Makato yanakuwa mengi mpaka yanakera.......
TFF pamoja na kupata mabilioni ya fedha toka VodaCom, TBL na NMB bado tu hawatosheki na kuendelea kuvikamua na kuvinyonya vilabu........

na FIFA
 
Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni.

Mgawo mwingine wa mapato hayo ni posho ya msimamizi wa kituo sh 240,000, kamishna wa mechi sh 250,000, waamuzi sh 591,000, mwamuzi wa akiba (reserve referee) sh 70,000, usafi na ulinzi wa uwanja sh 2,350,000 na Wachina (stadium technical support) sh 2,000,000.

Umeme sh 750,000, maandalizi ya uwanja (pitch preparation) sh 400,000, ulinzi wa mechi sh 5,860,000 wakati tiketi ni sh 7,327,000. Gharama za mchezo sh 31,115,183.05, uwanja sh 31,115,183.05, Kamati ya Ligi sh 31,115,183.05, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh 18,669,109.83 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh 12,446,073.22.

....

Gharama za mchezo 31M, DRFA 12M, Uwanja 31M,Gharama za Mchezo 31M,Kamati ya LIgi 31M, Mfuko wa maendeleo ya mpira 18M hii hela jumla yake 154M

Sasa tuulizane hii DRFA IMEPATA 12m inafanya kazi gani ya kutusaidia sisi wapenda mpira? kama sio wizi?

Kamati ya Ligi milioni 31 wanazifanyia nini ? hizo posho za vikao ndio hela zote hizo?

Mfuko wa maendeleo ya mpira 18 M kwa maendeleo yapi? Maana hatuoni lolote jipya

Gharama za mchezo 31m, gharama zipi wakati pesa ya uwanja, referees, maandalizi,ulinzi zote zimeshalipwa???

MImi naona Yanga na Simba wagome wajitoe kwenye ligi tuone TFF wataishi vipi.
 
Hii nayo nimeikuta kwenye blog ya Shaffih.....

ana tena, kumeibuka kiroja. Mapato ya Simba ya Yanga kuwa 390m tu. Ni kiroja kwa kuwa, kwa mujibu wa matangazo ya Supersport, mashabiki walioingia ni 59,000. Sina haja ya ku-validate idadi hii, maana kule orange straight nilipokaa, mashabiki walikuwa wamejazana hadi kubebana na kukaa kwenye njia za kuingilia.

Embu tufanye scenario zifuatazo kwa kuzingatia viwango vya viingilio:
- 59, 000 x 30, 000 = 1, 770, 000
- 59, 000 x 20, 000 = 1, 180, 000
- 59, 000 x 15, 000 = 885, 000, 000
- 59, 000 x 10, 000 = 590, 000,000
- 59, 000 x 7, 000 = 413, 000, 000
- 59, 000 x 5, 000. = 295, 000, 000

Hapa mtaona kwamba, tukifanya average (mliosoma hesabu na uhasibu ndo mahali penu hapa), basi walau kiingilio cha 10,000 ndo muafaka ya kuchukuliwa kama waliingia watu wote, mtaona kuwa mapato yalitakiwa yawe, walau 500, 000, 000.

Shaffih, mna deni kubwa sana kwa watanzania katika kuwaeleza, kuwafahamisha na kuwasaidia watanzania ili waepukane na taabu na masumbufu haya wanayoyapata.

Shaffih Dauda in Sports.: MAONI YA MDAU JUU YA MAPATO YA MECHI YA SIMBA NA YANGA

Mimi mwenyewe nimepiga hesabu hizo hizo nikaishia kushika kichwa.

KUna watu wanaiba mchana kweupeee
 
Hii kodi ya ongezeko la thamani analipa nani (VAT)? Maana anayelipa VAT huweza kui-claim back! Who claims this VAT back? Is it the stadium - no entity, is it TFF, why? Better if cubs pay the VAT so that they will be able to claim the same when they spend.
 
Back
Top Bottom