TFDA pressed to stop Babu's 'miracle drug'

Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,047
BY FELISTER PETER- The Guardian
29th October 2011
Babu(9).jpg

Pastor Ambilikile Mwasapila alias `Babu`

Tanzania Food and Drug Authority (TFDA) yesterday came under pressure from MPs to stop retired pastor Ambilikile Mwasapila alias ‘Babu' from dispensing his ‘miracle cure', claiming it had contributed to a number of deaths.

The MPs, members of Parliamentary Committee on Social Services were speaking in Dar es Salaam during the tour of TFDA offices. They said that since the retired pastor started offering his miracle healing most of the patients had shifted from proper medical treatments, one of the factors behind a number of deaths.

Special Seats MP Zarina Madabida (CCM) said the diseases that pastor Mwasapila claims to treat such as diabetes and HIV/Aids are serious, but people trusted him and stopped taking medical treatments.
"This man is now famous worldwide due to his medicines and the kind of diseases he claims to be curing…. I would advise you to halt his services", she said.

Nionavyo mimi huyu mzee wasingemzuia, kwani kuna wengi wanaoamini tiba yake hadi leo na kuna waliopona wengi tu. Kama wanafkiria kumfungia babu Mwaisapile, wafkirie pia kufungia waganga wote wa tiba mbadala/wakienyeji/wa jadi maana nadhani athari zao ni kubwa zaidi hata ya za Babu ila tu hazijawa quantified/hazijafanyiwa tathmin.

Zaidi ya hayo, ungefanyika utafiti kabla ya kufanya hivyo maana hadi sasa kwa kweli ni hearsay tu, na kama yatafanyika maamuzi hayo bila kufanyika uchunguzi wa kina, kwa kweli itakuwa ni chuki tu na babu.

Wamesubiria watu kibao wameshakufa ndio wanaanza kupiga kelele. Bora tu wangekaa kimya tujue hawapo.
 
Wanafiki, mbona hawakuwakataza wabunge wao wa ccm, mawaziri, na wakuu wa mikoa wasiende huko kama walilijua hilo? Au Babu alikuwa anasaidia ku-divert attention ya wananchi kuhusu unyonyaji wa ccm!
 
Wanafiki, mbona hawakuwakataza wabunge wao wa ccm, mawaziri, na wakuu wa mikoa wasiende huko kama walilijua hilo? Au Babu alikuwa anasaidia ku-divert attention ya wananchi kuhusu unyonyaji wa ccm!

Wabongo kwa kusahau tu hatujambo!!!! nakumbuka huyu babu alikuwa anapigiwa chapuo sana na CCM + CHADEMA hata mzee Ndesamburo akawa anasafirisha wapiga kura wake kwenda kupata kikombe!! Politicians, CCM+CDM wakamfanya ni mtaji wa kisiasa. KKKT nao kupitia Askofu wao mkuu, wakataka kumfanya babu kuwa mtaji wa kiimani.....CCM na CDM wakishabikia upuuzi, nitawaelewa kwavile ndivyo wanasiasa walivyo, kila wakati wanatafuta pa kutokea hata kama tundu leyewe lina moto. Hata hivyo, nilimshangaa sana Askofu Laizer jinsi na yeye alivyokuwa anataka kumtumia babu kama mtaji wa kutafuta waumini....Wale waliopinga tiba za babu(including myself) wakaitwa wana chuki za kidini....eti wana wivu kv babu ni mkristo....pumbavu sana!
 
Huyu Babu ameshatengeneza pesa ya kutosha sasa bora apumzike. Serikali ilionya zamani kuwa hakuna dawa ya hiv nashangaa babu akaruhusiwa bila kuthibitisha usahihi wa kikombe chake. Na hakuna mtu wa kumshataki mahakamani sababu atashinda kwa tahadhari ya awali babu alidai kuwa ukiwa na imani utapona. Inanikumbusha hadithi ya abunuasi.
 
The other side of the coin: Ms madabida ni tycoon kwenye pharmaceutical industry it is obvious ameonja joto la kikombe kwani yeye na wenzie wamepoteza wateja. Bunge letu ni full of bizinesi. Na aliye msafi aanze ........................................
 
huyo madabida hajui anachoongea akauze tu baa yake kawe..alikuwa wapi siku zote kama sio unafiki
 
Mbona miongoni mwao wapo waliopata kikombe? Wangeonekana wa maana wangemzuia pale mwanzo alipoanza kutoa huduma.
 
Has the medicine survived the test of time? Sisikii tena shuhuda za nguvu ya kikombe cha babu!
 
Wabongo kwa kusahau tu hatujambo!!!! nakumbuka huyu babu alikuwa anapigiwa chapuo sana na CCM + CHADEMA hata mzee Ndesamburo akawa anasafirisha wapiga kura wake kwenda kupata kikombe!! Politicians, CCM+CDM wakamfanya ni mtaji wa kisiasa. KKKT nao kupitia Askofu wao mkuu, wakataka kumfanya babu kuwa mtaji wa kiimani.....CCM na CDM wakishabikia upuuzi, nitawaelewa kwavile ndivyo wanasiasa walivyo, kila wakati wanatafuta pa kutokea hata kama tundu leyewe lina moto. Hata hivyo, nilimshangaa sana Askofu Laizer jinsi na yeye alivyokuwa anataka kumtumia babu kama mtaji wa kutafuta waumini....Wale waliopinga tiba za babu(including myself) wakaitwa wana chuki za kidini....eti wana wivu kv babu ni mkristo....pumbavu sana!

Nakumbuka mpaka mwana jamvi mmoja akasema kirefu cha KKKT ni Kunywa Kikombe Kimoja Tuu. Wamwache Mzee wa watu
 
Mugabe, JK, Pinda, Kandoro, na wengine wengi wamekunywa bila kumsahau muzee waKilalacha, wamekunywa na hawajafa, acheni majungu yenu KKKT mbele zaidi Kunywa Kikombe Kimoja Tu
 
Kulipoibuka tiba ya kikombe cha babu wa Loliondo watanzania wengi hasa viongozi wa dini, wanasiasa na madaktari walikiunga mkono kikombe cha babu lakini sasa wadau hawa hawa wamekigeukia kikombe cha babu na kuitaka serikali ipige marufuku huduma ya Babu Mwaisapile wa Loliondo.

MTIZAMO WANGU NI:

Kwa kuwa Serikali ilishathibitisha kuwa dawa hiyo ni salama kwa matumizi ya binaadamu basi watu waachiwe uhuru wa kwenda kunywa kikombe watakaopona bahati yao nzuri na wasiopona basi wajaribu tiba zingine.

Manake hata dawa za malaria hazimtibu kila mtu nyingine huua kabisa na ushahidi upo so WHAT CAN BE MEDICINE TO YOU MAY BE POISON TO OTHERS(and vice versa is true) likewise common sense is not common to all!

Nawasilisha
 
Ukweli ni huo, kuwa watu wengi sana wameachana na matatizo waliyokuwA NAYO mara baada ya kupata kikombe.
Ambao hawajapona, well, waangalie taratibu zingine, lakini wasimdharau babu!
 
Ukweli ni huo, kuwa watu wengi sana wameachana na matatizo waliyokuwA NAYO mara baada ya kupata kikombe.
Ambao hawajapona, well, waangalie taratibu zingine, lakini wasimdharau babu!

Give statistical evidence ! Otherwise babu ni muuwaji
 
Back
Top Bottom