TFDA orders withdrawal of Jay Dee bottled water

do u thk she didnt do that?
then why they have admitted a mistake?

there are alot of madudus but even a single step forward needs to be praised... imagine Jaydees reputation if it happens that the public purchases unapproved water by regulations. to me TFDA have done a good thing to Jaydee coz once she comes back, it will be all clear with all stamps in it.

kosa si la JD kosa ni la watu aliowaamini, yy si mtaalam wa mambo ya products registration wala food secutiry

tafakari
 
najuwa hapa tatizo siyo kufuata taratibu bali hajui kuwa usipoliwa kidogo huli!, yeye anataka kula tu bila kuliwa? hiyo haiwezekani.



mie naomba tusifurahie haya kwakuwa nasi yanatupata kwa namna moja au nyingine!.

Much as I support JIDE for launching her own water label, I also concurs with TDFA
TDFA is there to prevent epidemics such as these,imagine drinking water which hasn't passed through their chemist for certification..mkianza kuhara ??
Sidhani kama kulikuwa na ulazima kulaunch haraka kabla hakijawa registered,certified (whatever it is tht TDFA wants ) mbaya zaidi, damage has bn done, walaji tutaiogopa, same as maziwa ya watoto yalipotolewa sokoni, ilibidi watu waresort to mengine hata yaliporudishwa
 
Wengi wetu ni wengi wa kukiuka taratibu. Tuna mawazo ya ' to work with a problem as we go along'.

Ni bora kuchelewa kidogo kuliko kupita njia za mkato
 
TPDF wanapaswa kupongezwa kwa kutimiza wajibu wao,sheria ni msumeno hukata huku na huku!!
 
kosa si la JD kosa ni la watu aliowaamini, yy si mtaalam wa mambo ya products registration wala food secutiry

Mkuu kumbuka kutokujua sheria hakuzuhii sheria na taratibu kuchukua mkondo wake!!
 
Back
Top Bottom