Text Message

kathy

New Member
Sep 23, 2009
1
0
UKO NA MPENZI WAO MSG INAINGIA KWENYE SIMU YA MPENZI WAKO (MWANAUME) INAMUULIZA, UNAENDELEAJE MPENZI WANGU. Je ujumbe huu unamaanisha nini???? Naomba maoni yenu.
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Ni nadra sana itoke kwa mwanaume mwenzie of which hapo itakuwa mambo ya ushoga tena.

Lakini nikuulize, kisa na maana wewe kuangalia simu ya mpenzi wako? Uliionaje hiyo msg? maana ikiingia sio kama ndo umeiona, sasa tuambia kama uliisoma, uliisoma katika misingi gani...we huna simu kwani? lol
 
ujumbe huu unamaanisha kwamba umeshindwa kumdhibiti huyu mpenzi wako, na kama ndivyo anza mapema kurekebisha mapungufu kabla huyo "mupenzi" hajambeba jumla jumla
 
It is very not uncommon that some girls want to disturb your relationship. It is sometimes very intriguing practice even to your bfriend. BUT mind you YOU are JUST a mere friends and not your husband. You will have title deed when you walk over the ALTER. God bless!!
 
ujumbe huu unamaanisha kwamba umeshindwa kumdhibiti huyu mpenzi wako, na kama ndivyo anza mapema kurekebisha mapungufu kabla huyo "mupenzi" hajambeba jumla jumla

Au the other way round, inawezekana pia kuwa mpenzi wako anamegwa. Fuatilia kama hiyo sms imetoka kwa dume au kwa dem
 
kwa wanawake kuitana wapenzi ni kitu cha kawaida la kwa midume sijwahi sikia, so huyo anaweza kuwa kidumu anasubiri wewe ndoo uanguke ili kimsaidie jamaa hata kunawa
 
Yeah ni kawaida kwa wanawake lkn uwe mwangalifu sababu inawezekana ni jamaa linakusaidia ila jina lililowekwa kwenye simu ni la kike!!
 
UKO NA MPENZI WAO MSG INAINGIA KWENYE SIMU YA MPENZI WAKO (MWANAUME) INAMUULIZA, UNAENDELEAJE MPENZI WANGU. Je ujumbe huu unamaanisha nini???? Naomba maoni yenu.

Ujumbe huo unamaanisha mpenzi anataka kujua maendeleo ya mpenzi wake
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Ni nadra sana itoke kwa mwanaume mwenzie of which hapo itakuwa mambo ya ushoga tena.

Lakini nikuulize, kisa na maana wewe kuangalia simu ya mpenzi wako? Uliionaje hiyo msg? maana ikiingia sio kama ndo umeiona, sasa tuambia kama uliisoma, uliisoma katika misingi gani...we huna simu kwani? lol

Kusoma meseji au kuangalia simu ya mpenzi si kitu cha ajabu na simu si siri,km unaweza ona uchi wa mwenzio why not meseji kwenye simu??!! lol!!
 
Chukulia fair tu yawezekana ni mama yake mzazi anataka kujua hali ya mwanae mpenzi. Lakini nakushauri kama kweli unampenda huyo jamaa achana na tabia ya kuchungulia chungulia cmu yake utakuja kunywa qwinini bure cmu ya mwanamme we mwanamke inakuhusu nini basi bora mnunue cmu ya kutumia wote.
 
Kusoma meseji au kuangalia simu ya mpenzi si kitu cha ajabu na simu si siri,km unaweza ona uchi wa mwenzio why not meseji kwenye simu??!! lol!!

Mkuu naona unampoza dada yetu hapo lol lakini ukweli ndo huo kihere here cha nini kuchungulia simu ya mwenzie?
 
Back
Top Bottom