TETESI: Wema A Sepetu amtosa Diamond

wema nitafute nikutafutie mabuzi!

Wema nadhani ulizaliwa kwa ajili yangu,njoo nikupe mambo ya kisukuma tuone kama utaenda kwa mwingine,

wewe ni mtoto mzuri tena una tabia njema,basi tu sisi midume ndo tunafanya uonekane hujatulia kwa kushindwa

kukupatie kile unachohitaji,nitafute tuwafunge mdomo,tangu 2008 nilivyokusaidia kuziba

pancha pale maisha klabu usiku wa manane akili yangu bado inakuwaza wewe

sitaangalia na sita sikiliza ya wote walioku.....ni mimi nikupendae kwa dhati. DUME LA KINYANTUZU
 
Back
Top Bottom