Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
UE ndio nini tena!?
Kamuulize Professor Mkandala!
Wewe ni mgeni chuoni.
Soma acha kufuta ratiba. Hujapelekwa shule kupata ratiba za mitihani.
Muda ukifika utaipata. Huwezi kuhesabu siku ulizokaa chuoni ujue zinaishia tarehe ngapi!!
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
Kabla ya kuandika hayo yote ungemuuliza jitihada kapata habari wapi?the romours has it!
Hizi ni tetesi zilianzia tbs,zikashuka msapuni,zikarudi mdegree,zikaaenea mabibo,kampas na sasa zimetia miguu jamii forum. .ukweli ni huu,CASS time table cordinator Dr.Lymo juzi kasema hizi ni bigtym crap,so UE ni kwanzia tarehe 11 july.2011. .guys kueni na behaviour to take a glance on the noticeboard!,au ulize the respective area,huku JF ndo ofisi za udsm zilpo au kutafuta sifa.
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
kiukwel we ni mwehu sasa hapo udsm hamna ofc? Umeambiwa jf 2nadeal na ratiba za vyuo? Knachowezekana kufanyka kwa uhakika co hadi ukilete humu.... Shame on u.
Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!
Meneja gani anayeshangaa hivyo!! We bado ni mwanafunzi tu, ebu fatilia ratiba ya UE unapoelekezwa hacha kiburi vinginevyo wata ku-disco kabla ujaingia ata kwenye chumba cha mtihani.Shame on yourself! Nn maana ya grapvine? Mm ni manager anayejali na kutambua umuhm wa grapvine kwenye organisation yangu! Hujui, kaa kimya!