Tetesi: Tibaigana airudishia yanga point tatu ilizopokwa juzi.

yanga wametishia kwenda mahakamani kusimamisha ligi. na kufanya maandamano tanzania nzima. naona tff wameogopa.
 
Tetesi hizo hata mimi nimezisikia kupitia kipindi cha Sports Extra cha Clouds radio. Shaffih Dauda alikuwa anatoa taarifa hiyo kama anatangaza habari ya msiba. Sijamuelewa kwanini alikuwa mnyonge kiasi kile.
 
Nimegundua kuwa kuna tatizo kubwa la usimba na uyanga katika TFF kuliko tunavyofahamu.Hebu fanyeni uchunguzi kidogo kwenye hizo kamati ambazo zilikaa kisha zikatoa adhabu kwa Yanga kuanzia kuwafungia wachezaji mpaka kuinyang'anya yanga ushindi kisha muone zimejaa wajumbe ambao ni wadau wakubwa wa timu gani hapa nchini.
 
Tatizo kubwa analo aliyewachagua. lakini nchi hii akili hakuna kabisa. yaani tenga ni mtu kweli wakupewa taasisi aiongoze?
 
Tatizo kubwa analo aliyewachagua. lakini nchi hii akili hakuna kabisa. yaani tenga ni mtu kweli wakupewa taasisi aiongoze?

Tenga anastahili mara mia kuliko wote waliowahi kumtangulia, ulidhani apewe Wambura ama ndolanga waliowania naye????
 
Tenga anastahili mara mia kuliko wote waliowahi kumtangulia, ulidhani apewe Wambura ama ndolanga waliowania naye????
Jaribu kufikiria nje ya box. silazima wawe waliowahi kuwepo. manager is a manager na roles zake zinajulikana. si lazima awe amewahi kucheza kama tenga au wahuni kama wambura. kuna watu wanaweza sana kama mazingira yakibadilishwa! hii ndio inatokea hata kwenye siasa kudhani kuwa mpaka uwe mtoto wa kiongozi ndipo unaweza kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom