Tetesi: Ni kweli Vengu amefariki??

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Jamani nimesikia tetesi kuwa Vengu yule msanii wa Ze Komedy kuwa hatunaye. Nimezipata habari hizi kwa mtu aliyenithibitishia. lakini kupata uthibitisho zaidi nimelileta kwenu jamvini kwa mwenye taarifa za ndani zaidi atueleze.
 
Chunga maneno yako yasije kukutokea puani,kwani aliyekueleza ni ndugu yake,au kapigiwa simu toka India! alikopelekwa kwa matibabu,mbona hata waajiri wake hawajatangaza msiba,usimzushie mtu umauti kama hauna uhakika wala siyo jambo la kuulizia humu forums:A S 465:
 
hii ni kama mara ya nne sasa habari inaletwa

sijui mnamtakia nini vengu
 
Chunga maneno yako yasije kukutokea puani,kwani aliyekueleza ni ndugu yake,au kapigiwa simu toka India! alikopelekwa kwa matibabu,mbona hata waajiri wake hawajatangaza msiba,usimzushie mtu umauti kama hauna uhakika wala siyo jambo la kuulizia humu forums:A S 465:

Mkuu kwani mwajiri wake ni nani? Nijuavyo TBC Ze Komedi walimaliza mkataba since Dec 2011. nani mwajiri wao mpya nifuatilie huko?
 
Umesikia tetesi kwa nini aliyekuletea tetesi hizo usimwamwambie athibitishe kabla ya wewe kuja kupost hapa
Maana unaowauliza nao hawana taarifa wangekuwa washasema
 
Usimtakie mwenzio umauti. Kama huna uhakika waachie wenye data kamili waseme.
 
Kifo hakina tetesi weweee,wa wapi wewe? unapoleta habari ya kifo hakikisha umeithibitisha. Usiludie tena
 
Utajisikiaje akija jamaa hapa kwenye forum na kusema kunatetesi bibikuku amafariki utajisikiaje? Tena labda ulikuwa unaumwa, utajisikiaje ww?
 
Ajisikieje wakati kauliza jamani,kwani taarifa ya msiba mtu anaposikia si huwa anauliza kupata uhakika??

Hata mimi nimesikia leo LAKINI SIO KUTHIBITISHA na kwa bahati mbaya aliyeniambia namuamini kwa nae yupo India amesindikiza Mgonjwa wake lakini nikawasiliana na mwenzao mmoja katika kundi lao amesema hawajapata hiyo taarifa, nikaona ninyamaze kwanza maana sijui niulize wapi tena japo mtoa habari wangu anadai ni kweli.
Sina nia ya kupotosha.
 
Daaaah kama ni kweli Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Chunga maneno yako yasije kukutokea puani,kwani aliyekueleza ni ndugu yake,au kapigiwa simu toka India! alikopelekwa kwa matibabu,mbona hata waajiri wake hawajatangaza msiba,usimzushie mtu umauti kama hauna uhakika wala siyo jambo la kuulizia humu forums:A S 465:

Aaaaa! Umemsoma huyo jamaa ukamuelewa? Hata yeye amesikia kwa mtu tu hajazusha yeye. Hapa kauliza tu kama kuna mtu anazo taarifa hizo mkuu.
 
Back
Top Bottom