Tetesi: Nape na Mwigulu Waandaa Mkutano Igunga

Hao vijana wa Igunga kwa nini wasiwa pomowe mawe jukwani hivi Nape na Mwigulu wanaweza kusema nini mbele watu. Ingekuwa Nyamongo ningesubili kusikia jamaa wamechezea ila wasukuma wamezidi kutumiwa.
 
Kuna tetesi Nape na Mwigulu wameandaa mkutano Igunga ambao utahutubiwa na vijana hao siku ya Jumapili 09/09/2012.
Cha muhimu wananchi wa huko wategemee nini kipya kutoka kwa hawa jamaa kama sio matusi stori za mauaji ya Moro na Iringa na kingine labda watatoa tamko la Chama kukata rufaa juu ya kupinga kwa kafumu kutenguliwa ubunge wake.
lakini cha kushangaza Mwigulu baada ya Ushindi alitoa kauli chafu kwa wanchi wa Igunga kwa kusema WAMEPIGA MBWA NA MWENYE MBWA sasa sijui ataitengua vipi kauli hii ambayo wananchi wengi bado ipo mioyoni mwao

Siku hiyohiyo ilifaa Dk wa singida angie jimboni kumwaga sera za CDM.
 
Vijana sampuli ya Mwigulu, Nape, Zitto, Kigwangala, Nchimbi na Mrisho Gambo kweli ni aibu kama viongozi. Ndio maana mizee kama Wassira, Tendwa na Kingnge inajiona bado wamo.

Niko nje ya mada hii kidogo, lakini nataka kuonesha kuwa vijana wetu lazima waoneshe uwezo na ubora angalau nusu ya Mnyika ili tuweze kuwapa dhamana ya kuongoza.
 
watuambie tuandae mbwa wa kutosha ili wawavalishe bendera za ukombozi,na watuambie kila mbwa atakae valishwa bendera za chadema wanalipa sh ngapi?
 
hao wote wapayukaji hawana lolote,wanapenda sana kujipima ubavu lakini ndiyo hivyo tena meli yao izazama kila siku
 
Inachekesha sana,wahuni wawili wanaongozana kwenda kuhutubia mkutano igunga.Hivi nepi na chemba wamekosa la kufanya?
 
Naomba wanipe tenda ya kubeba watu toka singida na kahama maana ndo style zao
 
Wasisahau kuwachukua magufuli,rage na mukama ili wakatubu mbele ya wanaigunga. lakini pia ili kuongeza mvuto wawachukue bashe na kigwangala,na mh.lusinde.
 
Vijana sampuli ya Mwigulu, Nape, Zitto, Kigwangala, Nchimbi na Mrisho Gambo kweli ni aibu kama viongozi. Ndio maana mizee kama Wassira, Tendwa na Kingnge inajiona bado wamo.

Niko nje ya mada hii kidogo, lakini nataka kuonesha kuwa vijana wetu lazima waoneshe uwezo na ubora angalau nusu ya Mnyika ili tuweze kuwapa dhamana ya kuongoza.

Hapo kwenye red, sidhani kama kuna ulinganifu sahihi! They are equivalent but not equal.
 
Kuna tetesi Nape na Mwigulu wameandaa mkutano Igunga ambao utahutubiwa na vijana hao siku ya Jumapili 09/09/2012.
Cha muhimu wananchi wa huko wategemee nini kipya kutoka kwa hawa jamaa kama sio matusi stori za mauaji ya Moro na Iringa na kingine labda watatoa tamko la Chama kukata rufaa juu ya kupinga kwa kafumu kutenguliwa ubunge wake.
lakini cha kushangaza Mwigulu baada ya Ushindi alitoa kauli chafu kwa wanchi wa Igunga kwa kusema WAMEPIGA MBWA NA MWENYE MBWA sasa sijui ataitengua vipi kauli hii ambayo wananchi wengi bado ipo mioyoni mwao

Kumbukumbu zangu zinaniambia Nape alipigwa marufuku kwenda Igunga kipindi cha kampeni na mwigulu ndo alikuwa manager wa kampeni! Kweli rostam hakukusea kusema CCM wana siasa za maji taka na uchwara!
 
acha wakaaibike mkuu huko labda wasombe watu kwa maroli na wawapikie ubwabwa.

Sio labda ni kweli watasomba watu kwa malori ,kwani kuna Mwenyeji aliyepo Igunga kanitumia ujumbe kuwa Imetengwa shs million 9,500,000/= kwa ajili ya kusomba wanakijiji .
 
Nategemea tukio la namna hiyo!
Upo sawa kabisa! kwani kuna jamaa kanitumia sms anasema kuna polisi wageni wamepelekwa huko na vijana wengi wa CDM wameshauriwa kutokwenda katika mkutano huo kwani kuna dalili za kulipiza kisasi kwa yaliyotokea Ndago.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom