Tetesi: Mikopo, Mikopo Mikopo.... Wakati huu?

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Wanajamvi... nimeikuta mahali, naomba kuwasilisha TETESI..

Kuna Mikopo Inatolewa kupitia Ofisi za Serikali za Mitaa; hii nishuhudia mwenyewe huko Mbezi, zinatoa mikopo kutoka Benk Ya Wananchi wa Dar es Salaam kwa kina mama huku dhamana ikiwa ni Baiskeli, au Radio ama chochote unachoweza kuja nacho hapo Ofisi ya Serikali ya Mtaa. Na kisha unapatiwa Mkopo Chap Chap!!! Watoa Mkopo hawahitaji hata kufika kwako kujihakikishia kama kweli wewe ni Mkaazi wa eneo hilo au kama hiyo baiskeli uliyokuja nayo ni yako au umeazima tuu ili upatiwe mkopo wa Tshs 100,000.


Wapenzi wa Mabadiliko, tuyafichue na kisha tuya-document maovu yote yanayotendeka wakati wa Uchaguzi.


Hakika hii ni rushwa wakati wa Uchaguzi.
 
Mikopo ya pesa ngapi mazee, nina kaseti pleya langu la miaka hiyo kuuubwa, nataka nikaweke poni nichukue kama 30M hv!
 
...100,000/= kwa baisikeli! anaulizia kuhusu cassete player yake atapata ngapi??
 
Back
Top Bottom