BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Watuachie hili jambo tupambane wenyewe.
WEWE KWELI NI kituko NA UNADHIHIRISHA ULIVYOKUWA KISHITO.nyambaaaaaaaffffffffHao mabalozi wanataka kumwingiza JK mkenge, akilipa hizo pesa na misaada yote kwisney, hao jamaa wana intelejensia kali sana na wanajua mchezo mzima ulivyofanyika
ndio madhara ya kutegemea wajomba! Jamani tutaheshimu mikataba ya kimataifa isiyo na hila! Mbona mkataba wa 1929 kuhusu maji ya mto nile tumeukataa na hatujaathirika chochote wandugu? Umefika wakati wa kuacha kutegemea misaada!
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakiwamo wa Jumuiya ya Ulaya (EU) wametoa maoni yao na kuafiki kuwa DOWANS walipwe, kwani hukumu hiyo imetolewa na mahakama ambayo wao wanaiheshimu ya ICC.
Kutokana na hivyo basi, wameitaka Tanzania kuheshimu mikataba ya kimataifa ambayo wameiridhia, ili kuimarisha utiifu wa sheria za kimataifa na kuwajibika nazo. Wametoa madhara ya kutofuata sheria za kimataifa ni pamoja na nchi wahisani kukosa imani na serikali na hivyo kupunguza au kuondoa misaada yao ili kuishinikiza serikali kufuata misingi ya utawala bora ya kimataifa.
Hata sisi tuna intelejensia kali pale jeshi la polisi!... hao jamaa wana intelejensia kali sana na wanajua mchezo mzima ulivyofanyika
Nimefurahi mabalozi wamekubali Dowans ilipwe. Kwa vile wanaonekana kujali sana sheria ya kimataifa kuliko maadili ya malipo haya naomba watulipie deni lote hili. Please.
Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakiwamo wa Jumuiya ya Ulaya (EU) wametoa maoni yao na kuafiki kuwa DOWANS walipwe, kwani hukumu hiyo imetolewa na mahakama ambayo wao wanaiheshimu ya ICC.
Kutokana na hivyo basi, wameitaka Tanzania kuheshimu mikataba ya kimataifa ambayo wameiridhia, ili kuimarisha utiifu wa sheria za kimataifa na kuwajibika nazo. Wametoa madhara ya kutofuata sheria za kimataifa ni pamoja na nchi wahisani kukosa imani na serikali na hivyo kupunguza au kuondoa misaada yao ili kuishinikiza serikali kufuata misingi ya utawala bora ya kimataifa.
Wao wanavyo sema tuheshimu sheria za kimataifa tulizo ziridhia. Sasa waweza kuacha hizo bilioni 94 , na ukanyimwa misaada ya trillion 1, kipi bora ? mie naona tulipe tu nakubaliana nao
Lazima tufuate sheria za kimataifa. Hii mahakama iliyo toa hukumu ina heshimika dunia nzima
Hujamwelewa MM, kasema kama wamekubali deni lilipwe basi watusaidie kulilipa hilo deni maana wao wanajali sana sheria ya kimataifa kuliko maadili ya malipo.MM Una source ya tamko la mabalozi? naona unakubali kirahisi
I dont think tunataka kupangiwa what to do and when we feel like that moves inaumiza mwananchi wa kawaida basi hakuna sababu ya kukubaliana na mikataba ya kimataifa. Wananchi wa tanzania tukaze boot tumeze dawa chungu. TUSIILPE DOWNAS hata shilingi ROSTAM na wenzi wake wachange na kulipa kama ni wazalendo kweli wan uwezo wa kuinusuru nchi hii na tutatoka kifua mbele na kuwaona ni viongozi wa kweli.
Wao wanavyo sema tuheshimu sheria za kimataifa tulizo ziridhia. Sasa waweza kuacha hizo bilioni 94 , na ukanyimwa misaada ya trillion 1, kipi bora ? mie naona tulipe tu nakubaliana nao