Tetesi: Kupatikana kwa wauaji

...Kuna mambo yapo clear, marehemu alipigiwa simu kabla ya kifo chake ili aonane na mtu/watu, kawani alikuwa akiangalia taarifa ya habari karibu na maeneo yake na hapo kabla waliipa kijiji cahao siku tatu kutoa ripoti ya mapato na matumozi ya kijiji. Baada ya kutoka hapoa alipokuwa akiangalia taarifa ya habari ndo ikawa kesho yake kakutwa ameuliwa.
My take: kama alikutwa amekufa na simu yake kuchukuliwa, ina maana makampuni ya cm yana namba za cm zilizoingia kabla ya kifo chake. na kama ndivyo, hizo namba ni za nani na nani. Huu ushahidi uko bayana ni vile serikali yetu na vyombo vya dola vinatumika kisiasa au wana usalama hawataki kufikiria nje ya utaratibu wa kwaida.
 
Kama kweli wamekamatwa hii itakuwa habari njema sana, wale wauaji wamefanya kitu kibaya sana maishani mwao, wamekatisha uai wa mtu hasiye na hatia na aliyekuwa na familia inayomtegemea, marehemu kahacha mke na watoto wawili (2) wadogo ambao wanaitaji kupata elimu nzuri ili waweze kukabiliana na maisha haya yenye changamoto nyingi.

Naomba Chadema through M4C wawaangalie hawa watoto wa marehemu hususani hatima ya elimu yao. Nikiwa kama mwana Chadema damu niko tayari kuchangia familia hii ya marehemu kamanda wetu.

R.I.P Kamanda, damu yako iwe rutuba ikastawishe mbegu ya mageuzi.

Mkuu umetoa rai nzuri sana,lazima chama kijitahidi kuhakikisha watoto wa marehemu wanapata elimu stahiki mpaka mwisho!
 
...Kuna mambo yapo clear, marehemu alipigiwa simu kabla ya kifo chake ili aonane na mtu/watu, kawani alikuwa akiangalia taarifa ya habari karibu na maeneo yake na hapo kabla waliipa kijiji cahao siku tatu kutoa ripoti ya mapato na matumozi ya kijiji. Baada ya kutoka hapoa alipokuwa akiangalia taarifa ya habari ndo ikawa kesho yake kakutwa ameuliwa.
My take: kama alikutwa amekufa na simu yake kuchukuliwa, ina maana makampuni ya cm yana namba za cm zilizoingia kabla ya kifo chake. na kama ndivyo, hizo namba ni za nani na nani. Huu ushahidi uko bayana ni vile serikali yetu na vyombo vya dola vinatumika kisiasa au wana usalama hawataki kufikiria nje ya utaratibu wa kwaida.
Serikali ina mkono mrefu kama ikitaka narudia tena kama ikitaka itawakamata wauaji.
 
Wana jamvi samahani natoka nje ya mada kidogo,hv yule jamaha aliyepoteaga kipindi cha kampeni Arumeru maarufu kwa jina la Omary Matelephone alipatikana au?
 
ulichangia sh'ngi ngapi?! Kaulize mapato na matumizi ya serikali na ccm waliotumia mabilion Meru, wakashindwa. Zilizochangwa na cdm zilifanya kazi, unamjua mbunge wa Arumeru mashariki ni nani?
Mkuu endelea kumhabarisha huyo mbwiga! Mwambie mhudumu akuongeze nakuja lipa!
 
Mungi usinikumbushe ya msitu wa pande, yule hakimu aliyemwachia Zombe ndiye huyu tena kaniliza leo alipomwachia Makongoro mahanga huyu ni refa wa wauwaji, refa wa wabaka demokrasia, laana!

huyu jaji kwa kweli malipo yake na yawe hapahapa duniani, amedhurumu roho za watu wengi sana, hebu fikiria wale vijana wa mahenge, walikuwa wanahangaika kujifatafutia mkate wao na familia zao, lakini pumzi zao zilikatishwa na matumaini ya familia zao kuzimwa kama mshumaa kwenye upepo. eee Mungu baba sikiliza kilio cha watanzania...
 
Kama kweli wamekamatwa hii itakuwa habari njema sana, wale wauaji wamefanya kitu kibaya sana maishani mwao, wamekatisha uai wa mtu hasiye na hatia na aliyekuwa na familia inayomtegemea, marehemu kahacha mke na watoto wawili (2) wadogo ambao wanaitaji kupata elimu nzuri ili waweze kukabiliana na maisha haya yenye changamoto nyingi.

Naomba Chadema through M4C wawaangalie hawa watoto wa marehemu hususani hatima ya elimu yao. Nikiwa kama mwana Chadema damu niko tayari kuchangia familia hii ya marehemu kamanda wetu.

R.I.P Kamanda, damu yako iwe rutuba ikastawishe mbegu ya mageuzi.

tupo pamoja kamanda !
 
Wana jf leo hapa Arusha nimesikia watu wakiongelea kukamatwa kwa watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwenyekiti wa chadema usa river pia panga lililotumika limekutwa ndani ya choo kwa mmoja Wa watumiwa naomba mwenye taarifa kamili atujuze.

Hizo tetesi zipo sana,hapa dar jana polisi walifanya raid maeneo fulani na kumkamata mtu mmoja na mara kukawa na tetesi kwamba ni miongoni mwa wauaji wa arusha ambae alikimbilia daa,lakini bado hakuna taarifa rasmi.
 
Wauaji wapatikane wamtaje aliyewatuma na pia madhumuni ya mtumaji wa mauaji,umma uwajue na dhumuni lijulikane kisha tuytafakari na kujua nini kifanyike ili yasitokee tena mauaji haya
 
Nyetk na Wana JF,
Heeeeheee, mbavu zangu mimi, u make ma day
Nawakilisha

Inaonekana gamba limekubana hadi oksijeni haifiki kwenye ubongo! Nakushauri kajisaidie haja kubwa mwili upunguze tensheni labda ubongo utakuwa nomo tena!
 
Back
Top Bottom