tetesi: dereva kuangusha gari lililojaa abiria zaidi ya 65 kwa kukwepa mataahira 2

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!
aaaah ta!!
hiyo si sawa kikwata acha vituko!!!!!!!
njiani kamwona nkya!!!!
aaaaah!!!!
sawa hiyo!
aaaaah ta!!
hiyo si sawa kikwete acha vituko!!!

Habari hizi nawaletea nikiwa ndani ya gari husika ni kuwa dereva wa basi la tanzania anawakwepa kuwagonga mataahira wawili waliojitokeza barabarani ghafla, na sasa basi linayumba ile mbaya!!! kwa kuwa ni lazima basi hili litaanguka, tutarajie majeruhi wengi sana, maafa makubwa kuikumba jamii ya watanzania wanaosafiri na basi hili.
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha dereva licha ya kuwa hana leseni, lakini pia amelewa chakari, mashuhuda waliomuona muda mfupi kabla ya safari wamenieleza kuwa alionekana akigida sambamba na devid kameroon, huku akionyesha picha alizopiga akibembea kwenye kisiwa cha majaniiiiiiii, picha alizopiga akigonga kengele kwenye lile soko la hisa la mamtoni, picha alizopiga na boiz tu meni na nyinginezo. abiria zaidi ya milioni arobaini mashakani!!!!!!
chukueni hatua enyi wacha mungu kama bado mpo.
so log!!!!!!!!!!!!(sijui kiswahili chake)
 
Mkuu Jogi, umenikumbusha wimbo wa zamai saana. Nimecheka sana. Dereva kanywa viroba aka vi-laptop + CHIBUKU:clap2:
 
Mkuu, sikujua kama inachekesha, lakini nakiri ulipoongeza kionjo ndio umenivunja mbavu.
 
sawa hiyo!!!!! aaaaah ta!!!!!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko, kikwata kalewa cheo!!!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!!!
aaaah ta!!!! hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
anamkwepa mponda!!!!!
haaa!
sawa hiyo!!!!!!!
aaaah ta!!
hiyo si sawa kikwata acha vituko!!!!!!!
njiani kamwona nkya!!!!
aaaaah!!!!
sawa hiyo!
aaaaah ta!!
hiyo si sawa kikwete acha vituko!!!

Habari hizi nawaletea nikiwa ndani ya gari husika ni kuwa dereva wa basi la tanzania anawakwepa kuwagonga mataahira wawili waliojitokeza barabarani ghafla, na sasa basi linayumba ile mbaya!!! kwa kuwa ni lazima basi hili litaanguka, tutarajie majeruhi wengi sana, maafa makubwa kuikumba jamii ya watanzania wanaosafiri na basi hili.
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha dereva licha ya kuwa hana leseni, lakini pia amelewa chakari, mashuhuda waliomuona muda mfupi kabla ya safari wamenieleza kuwa alionekana akigida sambamba na devid kameroon, huku akionyesha picha alizopiga akibembea kwenye kisiwa cha majaniiiiiiii, picha alizopiga akigonga kengele kwenye lile soko la hisa la mamtoni, picha alizopiga na boiz tu meni na nyinginezo. abiria zaidi ya milioni arobaini mashakani!!!!!!
chukueni hatua enyi wacha mungu kama bado mpo.
so log!!!!!!!!!!!!(sijui kiswahili chake)

Kumbe vichaa ni watu na wanapatikana kila mahali hata humu jf
 
Damu nzito kuliko maji. Jiweke katika nafasi ya huyo dereva, halafu hao mataahira wawe ni Baba na Mama yako au Kaka yako na Mke wake, utawagonga?
 
kanuni ya udereva mkuu ndiyo inaozingatiwa, hujui kuendesha motokari nini mkuu.
kanuni haisemi baba sijui mama, no inasema mtu aki.... unapigana kuokoa roho zilizosheheni kwenye basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom