Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Yoyote anayetaka kumwaga upupu anaishia Lugalo mnakumbuka mbunge aliyetaka kuwachoma wauza unga? Heri yake Balali alikimbia mapema ingawa walitaka kumwahi huko huko alikokimbilia.

Ukianza kula nyama ya binadamu huwezi kuacha CCM wameonja hiyo nyama sasa hawawezi kuacha tutaona mengi mwaka huu.

ukianza kula nyama ya binadamu unakuwa mbaya kuliko vampires ambao wao wanakunywa damu tu!......
 
Hivi online media za bongo hawana "breaking news" initiative kabisa?

Wanakuwa hawana tofauti yoyote na print media sasa.
 
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki

naona wote mko online

safi sana
 
Mungu amnusuru Chenge! Hata akiwa amefanya kosa gani, kujiua si suluhisho! It's better to come clean!Atutajie waliohusika, na labda anaweza ku-bargain!
Lakini hii inatisha kwa kweli!
 
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki

naona wote mko online

safi sana

What a coincidence, jk kuingia bongo na vijisenti kunywa/nyweshwa sumu!
 
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki

naona wote mko online

safi sana

Nimehama from Obama special thread, naona nchi yetu inaangamia! Naomba uendelee kutupatia data muhimu, hatulali mpaka tujue hatima yake huyu mheshimiwa!
 
......I dont know what, they
want from me
Its like the more money we come across
The more problems we see....
(repeat 2x)
 
Tumwombee MUNGU JAMANI....Besides,we need him ALIVE

Heshima yenu wakubwa,

Hapa chief umeongea kitu cha maana sana.. We need such kind of people alive ili kuweza kutatua utatanishi kuhusu hayo mafwao waliokimbizia nnje. Kwa sababu tujiulize kitu kimoja, kwamba iwapo KIZITO ashakhum si matusi(ASM) akatutoka, ina maana ndio hatuna wa kumshtaki? na pili hiyo miBILIONI tutairecover vipi. We really need this guy alive and foremost healthy..!! Mungu amjalie apone haraka iwezekanavyo..!!
 
Habari hii ni ya hatari.
Lets hope for responsible journalism. Conspiracy theories zitaleta hisia mbaya sana kwetu wananchi.
Je, wataweza kupeleleza kabla ya kuandika au ndio vichwa vya habari, "CHENGE AULIWA NA WENZAKE? - waogopa asiwataje?"
 
Dua, Icadon, Insurgent, kafara, Kakalende, kakindomaster, Mama, Mtindiowaubongo, mwanatanu, QM, Richard, siWA baRAFU, Susuviri,Zanaki

naona wote mko online

safi sana

GT, naona watu wote muhimu hawapokei simu wala kujibu texts.....ukizingatia its still early kinda makes me wonder.

Maneno aliyoyasema Lawyer wake yalikuwa mazito sana...na kama mnakumbuka kwenye ile thread ya watu kusema wataandamana kumzuia kuingia bungeni nilisema next thing tutasikia kuwa Chenge Mgonjwa.
 
Heshima yenu wakubwa,

Hapa chief umeongea kitu cha maana sana.. We need such kind of people alive ili kuweza kutatua utatanishi kuhusu hayo mafwao waliokimbizia nnje. Kwa sababu tujiulize kitu kimoja, kwamba iwapo KIZITO ashakhum si matusi(ASM) akatutoka, ina maana ndio hatuna wa kumshtaki? na pili hiyo miBILIONI tutairecover vipi. We really need this guy alive and foremost healthy..!! Mungu amjalie apone haraka iwezekanavyo..!!

Akipona itabidi wacheze naye man-to-man.
 
Nimrod Mkono yuko wapi? Mtafuteni anahusika katika defense strategies.
 
Bongo chickeeeeeeennnnsss have come home to rooooost.....kwikwikwiiii (whatever sense that makes)
 
Until we can prove otherwise, we have to go with what we have. Kama official taarifa ni kwamba amekunywa sumu, hatuwezi kusema vinginevyo. Kama kuna evidence yoyote to the contrary tunaweza ku-entertain other theories. Lazima tujue alikuwa wapi leo alikula sehemu nyingine, alianza kuumwa katika mazingira gani.
Lakini until official confirmation tusubiri kidogo... tupate official version.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom