Tetesi: CCM UK kunyakua Uongozi wa TA UK.

alibaba

Senior Member
Jun 24, 2009
185
43
Baada ya maandalizi ya muda mrefu wa marekebisho ya Katiba na Mfumo wa Uendeshwaji wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Tanzania Association UK, kesho 27/3/2010 ni sikuya uhaguzi wa Viongozi watakaopokea Jumuiya hiyo toka Uongozi unaomaliza kipindi chake.
Kuna uvumi kuwa Viongozi wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi CCM UK wanapanga mkakati wa kupenyeza baadhi ya wajumbe wao katika Majimbo teule ili waweze kugombea nafasi za wajumbe 12 wanaunda kamati kuu abayo ndio itakayotoa vingozz wa ngazi ya juu ya jumuiya hiyo, inasemekana:
CCM wamefikia uamuzi huo baada ya kukataliwa kushiriki kikiwa Chombo chenye Malengo ya Kisiasa.
Pia inasemekana kampeni za nguvu zinapigwa na Wadau wanaowania nafasi hizo na ushindani mkuu unaelekea ni toka London na Reding.
Mwenyekiti wa sasa Bw. Abubakar Faraji inasemekana hakutupa Kofia yake ulingoni kwa Pambano hili, haijulikani ni viongozi gani wa zamani watajaribu kurudi.
Tutajua hayo baad ya masaa 36 hivi.
Nautakia Mkutano huo kila la heri.
 
Uchaguzi uliopita hapa jamvini hakukalika...Huu wamefanikiwa kuundesha kimya kimya.
Kuna mtu yoyote anaweza kutujuza who are candidates?
 
Nimeona kwenye tzuk.net ,offshoot ya CCM UK picha kwenye mnuso ,akiwepo Balozi ,CCM London media hungry so called leaders,na wafanyakazi wa ubalozini.

Hakuna tofauti ya TAUK na CCM UK.Ni upumbavu tu.
 
matayarisho ya Oktoba 2010, walio nje ya nchi huenda wakaruhusiwa kupiga kura sio bure. Stay tuned.
 
Nimeona kwenye tzuk.net ,offshoot ya CCM UK picha kwenye mnuso ,akiwepo Balozi ,CCM London media hungry so called leaders,na wafanyakazi wa ubalozini.

Hakuna tofauti ya TAUK na CCM UK.Ni upumbavu tu.

Mmakonde,
Bila shaka itakuwa bora kwa TA UK kupata baraka zote za Ubalozi na Serekali, lakini kuna umuhimu zaidi wa chombo hiki kuwa huru vinginevyo kama ulivyosema itakuwa ni upumbavu mtupu.
 
Back
Top Bottom