Tetesi : Boom la sababisha kifo kwa first year udsm!!!

dawson02

New Member
Oct 11, 2012
2
0
Inasemekana "mwanafunzi wa first year baada ya kuchukua boom lake akatokomea town kuzitumbua(akalewa chakali), akachukua malaya.baadae ya kumaliza kazi yao yule dada akamwambia kuwa yy ameathilika.basi yule kaka akachukua uamuzi wakujiua"......
 
dogo HIV/AIDS positive,baada ya kufanya check-up,dah akaona hawez kuendelea na elimu na ngoma!
 
Inasemekana "mwanafunzi wa first year baada ya kuchukua boom lake akatokomea town kuzitumbua(akalewa chakali), akachukua malaya.baadae ya kumaliza kazi yao yule dada akamwambia kuwa yy ameathilika.basi yule kaka akachukua uamuzi wakujiua"......

Hadithi!,,,,,,Hadithi!,,,,,Hadithi njoo uongo utamu kolea!!!!!
 
DSM huwa hawafanyi medical check up, wanakula hela hiyo ya chck up afu wanafunzi wanaekewa its all clear(kuna kaufisadi kadogo sema ka kimya kimya maana 5000 kila kichwa mara over 2000 people zinaenda kiulaini) anyways Back 2 topic, nashindwa elewa jamaa hiyo chck up alifanyiwa wap, cause seriously DSM HAWAFANYI CHECK UP KWA NEW STUDENTS I KNOW THAT
 
DSM huwa hawafanyi medical check up, wanakula hela hiyo ya chck up afu wanafunzi wanaekewa its all clear..
Mkuu, kama wewe haufanyiwi medical check up, hiyo haizuii wengine pia kufanyiwa. Sasa unaambiwa alifanyiwa na akapewa majibu hayo, unabisha nini? Watu wengine mawazo mgando tu.
 
Mkuu, kama wewe haufanyiwi medical check up, hiyo haizuii wengine pia kufanyiwa. Sasa unaambiwa alifanyiwa na akapewa majibu hayo, unabisha nini? Watu wengine mawazo mgando tu.

Sijabisha Boy, nimetoa hoja ungekua huna hayo mawazo mgando unayosema ninayo ungepinga kwa hoja, "...kama mimi sikufanyiwa check up haizuii wengine kufanyiwa..." Hujui ulinenalo, Najua hilo swala cause i'm in the system Boy naomba kijana wa DSM yeyote 1st or 2nd year aliefanyiwa Check up baada ya kulipa pesa ya Afya ajitokeze nimjue. Again ni quote vizuri kijana sikatai this tale and all nnachouliza ni hizo checkup zimefanywa wapi?
 
... Again ni quote vizuri kijana sikatai this tale and all nnachouliza ni hizo checkup zimefanywa wapi?
Soma hiyo habari ya kipolisi kwanza. Nimekumegea kipande hiki:

One of the documents found in the room showed that Lugemalila underwent a medical examination at the UDSM Dispensary on October 7, and the next day he received results showing that he was HIV-positive.

Njoo na hoja nyingine ...
 
Soma hiyo habari ya kipolisi kwanza. Nimekumegea kipande hiki:

Njoo na hoja nyingine ...

Duh naona natwanga maji kwa kinu. Nakwambia hivi DSM 1ST YR HAWAFANYIWI CHECK UP WANATOA 2 HELA NA KUWA CLEARED(waliosajiliwa mwaka huu na jana they know this and can testify it) So napata mashaka na Hiyo ripoti ya Polisi. Mara ngapi polisi wameandika ripoti isiyo kweli? It doesn't all add up
 
Naweza kusema nijuavyo mimi ni kwamba hata wanafunzi huwa hawapendi kufanya check up, either kwa hofu au kwa kuokoa muda. Lakini kuna mtu mmoja mmoja anaweza kuwa anahitaji, so huenda hata dogo alihitaji.
 
Back
Top Bottom