TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa

tiba nae anabeba gunia la misumari, mwaka huu yanga hawana lao ila yeye na maelekezo toka juu yanamtia kwenye kashfa, Yanga ni km CCM wamepoteza muelekeo.
 
tiba nae anabeba gunia la misumari, mwaka huu yanga hawana lao ila yeye na maelekezo toka juu yanamtia kwenye kashfa, Yanga ni km CCM wamepoteza muelekeo.

badala ya yanga kucheza mpira uwanjani, wanataka points za mezani! kama TEGETE angekuwa bado ni kocha nakwambia TOTO wangefungwa tena, asante uongozi wa TOTO kuliona hilo na kumwondosha mapema
 
[h=6]TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa, any clear information?[/h]
Hana ubavu huo. kwa sababu zipi za msingi. hatuwezi kuhumiza kichwa kisa ni Tibaigana na Yanga.
 
[h=6]TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa, any clear information?[/h]

Na leo ametangaza kufuta Matokeo ya Kagera na Yanga. Daaah...!!!
 
Back
Top Bottom