TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
[h=6]TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa, any clear information?[/h]
 
It is not true

Ila Tibaigana amejiweka kwenye ukaragosi wa kuingiza siasa michezoni
 
nasikia mchezo uko hivi...kama yanga jana angeshinda na azam angepoteza au hata kufungwa..basi uamuzi ulikuwa ni kuipa yanga point..sasa kwakua kafungwa na toto wanasikilizia mechi yake na kagera akitoa sare hiyo tu ananyimwa point kwani hata akipewa anakuwa hana uwezo wa kuchukua kombe..

nitarudi
 
Hueleweki. Bingwa wa kufanya nini?

HU-HO-HA

Kung%20Fu.jpg
 
asante kwa taharifa! ila bado sijaamini haya matokeo kama ni ya kweli

Na hiki ndicho ulicho kusudia kusema labda kwa kukusaidia mechi ahiwezi kuchezwa jana halafu kamati ya Tibaigana ambao kimsingi ni ya juu ikatolea maamzi saa nne......
 
nasikia mchezo uko hivi...kama yanga jana angeshinda na azam angepoteza au hata kufungwa..basi uamuzi ulikuwa ni kuipa yanga point..sasa kwakua kafungwa na toto wanasikilizia mechi yake na kagera akitoa sare hiyo tu ananyimwa point kwani hata akipewa anakuwa hana uwezo wa kuchukua kombe..

nitarudi
Siku hizi nimejifunza kuto kupuuza kila taarifa....asante
 
Soka la bongo bana , hawakubali kushindwa tuu hawa yanga wapo kama magamba lakini wanaazidiwa au kuna mkono wa magamba
kwenye soka
 
Sijaona point ya kuchangia thread imekaa kinafiki uongo na mzaha perka nyumbani kwenu
 
Huyu Tibaigana si alikuwa RPC Arusha na Dar amri za Majambazi ameshaziingiza mpirani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom