tetes-jana tbc yaomba msamaha kwa waislamu kuhusu takwimu ya idadi ya waumini wa dini

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
nmepata habar kua jana tbc kupitia taarifa yake ya habari ya saa 2 usiku walitoa tamko la kuomba msamaha kwa waumini wa dini ya kiislamu ili kuwapa moyo wa kuwafanya wakubali kuhesabiwa.je ni kweli? mwenye taarifa za kina anijuze tafadhali.
 
unalenga kujua nini mkuu!!!
 
Back
Top Bottom