Tetemeko la ardhi muheza

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Jana usiku saa 2:31 kumetokea tetemeko kubwa la ardhi ambalo lilidumu kwa sekunde kadhaa. Mtikisiko mkubwa ulisikika ukitokea mashariki kuelekea Milima ya Amani
Nawasilisha
 
Zamani babu yangu aliwahi kunijuza kuwa ujio wa tetemeko ni ishara ya kuwepo kwa janga , labda ndo maana wiki hii tumewapoteza wapendwa wetu wengi kwa ajali za barabarani......
 
Back
Top Bottom