Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Kumetokea tetemeko la Ardhi na limepiga maeneo ya mkoa wa Kagera na inadaiwa mikoa jirani nayo imepata mtikisiko.

UPDATES:
- Linadaiwa kurudia tena likiwa na mtikisiko mkubwa zaidi
- Nyumba kadhaa zimebomolewa
- Taarifa za vifo zimesikika

MORE UPDATES:

- Mpaka sasa imeripotiwa kuwa takribani watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa.

- 01:30am EAT (Sunday) - Takribani watu 13 wameshafariki dunia huku wengine 203 wakiwa wamejeruhiwa [At least 13 people were killed and 203 injured in northwest Tanzania (Bukoba, Kagera) when a 5.7 magnitude earthquake hit the country on Saturday]

- Jumapili, Sept 11, 2016 - Jumla ya Miili 15 akiwemo mama mjamzito imefikishwa Uwanja wa Kaitaba kwa ibada ya mazishi.

=========

Earthquake measuring 5.7 hits northwest Tanzania - USGS

An earthquake measuring 5.7 hit northwest Tanzania on Saturday, 44 km from Bukoba, close to the western shore of Lake Victoria, the U.S. Geological Survey reported.

The quake, recorded at a depth of 10 km, struck at 12.27 p.m. GMT (5.57 p.m. IST), the report added.


Atleast 15 people have been killed and More than 200 reported injured in the quake, which hit Kagera region on the western shore of Lake Victoria.

Widespread damage was reported following the quake, which also rocked the neighbouring regions of Mwanza, Mara and Simiyu.

The quake had its epicentre in Tanzania, according to sources at a volcanic observatory in the Congolese city of Goma, where the quake was also felt.












the_map_Google.png

the_map.jpg

Images from Bukoba:
image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

Bukoba12.jpg

image.jpeg

WhatsApp Image 2016-09-10 at 15.59.05.jpeg

WhatsApp Image 2016-09-10 at 15.59.12.jpeg

Bukoba9.jpg

bukoba11.jpg

bukoba10.jpg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg
 
Huku kwetu watu wamekimbia majumba cha kustaajabisha nimeona mtu akichota mchanga wakati mtikisiko ukiendelea akidai ni dawa nyeti sana inayosakwa na waganga wa kienyeji. Ukichota mchanga baada ya tetemeko haifanyi kazi.
 
Huku kwetu watu wamekimbia majumba cha kustaajabisha nimeona mtu akichota mchanga wakati mtikisiko ukiendelea akidai ni dawa nyeti sana inayosakwa na waganga wa kienyeji. Ukichota mchanga baada ya tetemeko haifanyi kazi.
hahahaaaaa dah! kweli kuna dawa duniani. Mi nipo DODOMA ,siku likitokea tena ntajitahidi kuchota mchanga nikauzie waganga
 
Back
Top Bottom