Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 9
mkuu mbona mie sikupati???? hebu nipe steps mpaka nisikie radio yako.nipe na time unakuwa muda gani live.
tutatoweka hewani kwa muda kidogo tukiendelea kuandaa mitambo yetu ya kisasa kabisa. Siku ya J'tano tutakamilisha kufunga studio yetu ndogo maeneo ya Toledo, OH kama saa moja toka Detroit (gharama za kukodi ni chini kwa kiasi kikubwa). Tuko pamoja.
Geeque... asante mzee tunafuata nyayo tu.. nyinyi ndio walimu. Naendelea kushukuru for all your help and support mazee.
mkuu mimi sauti mbona kwangu imepotea kulikoni.
sina nkisikiacho abaa
asante mkuu mwenye upara wa kinoo.
kwa kweli hio alavator umeikota wapi?
maana sipati picha
Asante sana Jobo... tunajaribu kuona kama watu wa Bongo wanatusikia lakini hadi hivi sasa sijapata hata mtu mmoja so I'll probably have to change some few things kwani lengo letu hasa ni kuifikia Tanzania.