Test Forum ya watu wa IT

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wakubwa kama ambavyo tuliwahi kuzungumza hapo awali juu ya kuwepo kwa website ambayo itatujumuisha ama kutukutanisha watu wa IT,so kuna hii kazi ambayo ndio inaelekea ukingoni.
Kwa leo nadhani kuna wadau watapata speed problems kwakuwa kuna mushkeri kwenye VPS so nimeamua kuiweka kwenye moja ya computer kwakuwa niliahidi leo watu wataweza kujionea hii kazi so inabidi nitekeleze ahadi kivyovyote,Lengo ni kuwana kijiwe cha maana.

Kumbuka maoni,ushauri na michango ya knowledge inahitajika kwani hakuna mtu aliye perfect kwa 100%.Nashukuru michango toka kwa member kibao ambao wao wamejitolea kuwa Admins na kutoa ushirikiano wa kufamtu.

Pia tunahitaji Admins wa kila forum kuanzia Database hado programming,IT certificates hadi Kazi kwani hii ni forum yetu na sio yangu hivyo kwa mtu mwenye mchango anaweza akani PM(unaweza tumia PM ya forum yetu kwani sasa inafanya kazi sawia tu ama ukatumia mail kwenda kwa robot08@qq.com.

Kuanzia kesho tatizo la speed litakuwa limesolviwa kwani ninatarajia kuwa na VPS inayojitegemea only kwa ajili ya hii forum.Pia mchango wenu juu ya jina la forum ni muhimu,mimi nimefikiria AfroIT,je ninyi munaonaje wakuu?

Gonga hapa
penye nia pana njia wakuu.
 
Last edited:
NImekamilisha kuiweka kwenye server ya maana na Kwa sasa unaeza kuitest website yetu HAPA

Mambo mengi ya yapo njiani yanakuja ikiwemo na unlimitted book shusha,hehe
 
Last edited:
Watu wa IT ni kina nani hao?

Wale wote waliosomea Information Technology, Computer Science, Software Enginnering (Programming), Database Management, Website Design na mambo yote yanayohusiana na teknologia ya computer.
 
Wale wote waliosomea Information Technology, Computer Science, Software Enginnering (Programming), Database Management, Website Design na mambo yote yanayohusiana na teknologia ya computer.
Totally wrong.....
 
Wale wote waliosomea Information Technology, Computer Science, Software Enginnering (Programming), Database Management, Website Design na mambo yote yanayohusiana na teknologia ya computer.
mimi nafikiri tuipanue kutoka IT c=kuwa ICT. Maana IT bila Transport ni issue, hivyo hata watu wa communications lazima twende nao sambamba.
 
hiyo ndo message tunapata mkuu

Saa ngapi mkubwa? mbona kwa sasa hakuna tatizo na speed ni ya kutosha tuu, Check tena then niinform kama bado tatizo linaendelea
Kimsingi mkono haunamfupa tena,nilimaanisha ICT kwani kama mdau alivyosema IT bila C kuna utata.

Igawa nimesema Website ya watu wa ICT nilikuwa ninamaanisha Wanaoshugulikia ICT na inayowahudumia hapa nikimaanisha jamii husika.
 
Mkuu kilongwe nashukuru sasa nimeipata. Ila nimeona bado hakuna subscription za kutosha. Vuta socks mkuu upate wadau wa kuitumia, kitu kimetulia. Umefanya jambo jema sana maana naona watanzania wanataka kuandika si-hasa tuuuu, hayo mambo ya teke linalokujia wengi wanayakwepa, jambo ambalo linanitia shaka juu ya mstakabari wa maendelea ya Taifa letu la Tan-Zan-ia
 
napata wa wasiwasi na utalaam wako wa IT....mbona watu wanakata ishu za ki IT humu mkuu? si kuna forum ya IT hapa JF mkuu weka inputs zako mule mtusaidie na sie watu wa ngwini......

Tatizo lenu nyie wasomi wa IT bana mmeshakuwa kama wanasiasa......
 
Huyu bwana anapenda sana uspecial,kwani mmemsahau? Si ndio huyu alieleta mada ya "Changia mzumbe uoneshe uspecial wako?" kwenye thread fulani? Sasa mod mambo kama haya uwe unaangalia. Mshahuri hayo matangazo yake akaweke kwa Michuzi kule. Hapa wanaopenda issue za ICT wanajadili moja kwa moja na wanaJF wote tunanufaika moja kwa moja bila kupitia link nyingine yoyote.
 
Ile link aliyoweka mwanzo imebadilika nadhani.
Tumia hii: http://218.199.91.248

mkuu hii link ilikuwa ya siku moja kwa ajili ya testing,kwa sasa link ni hii
http://www.afroit.com/forum/

Wakubwa hatupo kwenye mashindano ila kujenga,pia hakuna binadamu aliye 100% perfect,tukikosea tunarekebishana na sio kuwekeana chuki kibongobongo na ndio maana Admin hajaongea kwakuwa anaelewa kuwa mimi si adui wala mshindani wa JF,lengo kuwa na sources nyingi za infos.Kama michuzi anavyoweka matangazo ya blog nyingine.Jamani hii ni 2009 ambapo hata Microsoft wanacollabo na Apple sisi tunaanza mashindano ya ajabu?? hatujabadilika tu?
 
Last edited:
I'm not saying I'm gonna change the world, but i guarantee that i will spark the brain that will change the world

Signature yako bomba. It is part of your mission I suppose?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom