Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Haya wapenda tennnis na wanafatalia kina serena williamd andy muuray federer Tundeleeeee.
Hapa tujadiliane mashindandano ya ATP na grand slam za mwaka huu 2011
Nimeona jana Andy Murray akitolwa jasho na Nadal ATP Monte carlo
So far federe anaonekena kuishiwa na nguvu na vijana wapya.