tengeneza wireless kwa kutumia nokia yako ya symbian na tumia kwenye computer nyingi

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,704
39,776
hey wana jf naomba tushee hii software kama unamiliki simu ya symbian kujua kama una simu ya symbia click hapa http://vulpine.mobi/spec/mydevice na simu yako. Then shuka mpaka os utajua kama simu yako ni symbian

hii software inaitwa joikuspot inakuwezesha kutumia bundle ya simu kuitransform kwenda wireless connection then ukatumia kwenye computer nyingi mfano umeunga bundle ya unlmited kwenye simu unaweza kutumia kwa computer zaid ya 4.

Kuipata naombeni mvisit web yao http://joiku.com mdownload trial version kama watu wengi watarespond na kuipenda ntawapa link ya premium

kama una tatizo lolote kuhusu hii soft comment swali lako
 
mimi ninayo ila ni trial. Ntashukuru kama ukiweka link ya kupata hiyo premium maana hata mimi nimeikubali...
 
ni 54mbps ila hilo sio tatizo maana speed yake inategemeana sana na network speed uloekea hio wireless kama mfano ni voda that mean speed itakua kama voda
 
mimi ninayo ila ni trial. Ntashukuru kama ukiweka link ya kupata hiyo premium maana hata mimi nimeikubali...

hii hapa premium link http://styletext.tk/Joiku.zip ila mi simu yangu ipo hacked siwezi tofautisha signed and unsigned software so jaribu kama ni signed kama sio isign
 
Back
Top Bottom