Tengeneza pesa huku umelala HII BIASHARA IMEKAAJE? NANI ANAFANYA ANIJUZE?

Pyramid Schemes; Upatu


Kwanza kabisa ni Illegal......

Hata kama utapata pesa lakini format yake inafanya isifanye kazi au iwe ngumu kufanya kazi

Wale wanaoanza mwanzo ndio wanaopata pesa; lakini watu wengi zaidi wanapojiunga ndio inakuwa kazi kwa watu zaidi kujiunga na as close down to the bottom unakuta kwamba inakuwa kazi zaidi kupata watu na almost impossible kutengeneza pesa...,

Just think it this way Pesa lazima itoke from somewhere na pesa hizo mtaji wake ni watu wengine kujiunga; kwahiyo upatu mara nyingi unaofanya kazi ni ule labda na watu kukopeshana kwa zamu na wakipata pesa hizo wanafanyia biashara lakini pia inabidi wawakopeshe wengine kwa zamu.

Conclusion
Sisemi kwamba hautapata pesa wala sisemi kwamba kuna watu hawajapata pesa (trick ni kuwahi) ila kuna wengi ambao hawatapata pesa (so many loosers) kwahiyo angalia usiwe one of those loosers, pia usisahau kwamba this is illegal in Tanzania. Kupata pesa kwa A, B, C au D haimaanishi kwamba na E atapata wala haimaanishi kwamba ni kazi ni rahisi (its hard kumconvice mshikaji wake ajiunge na issue zilizokaa kitapelitapeli na kuna uwezekano wa kumpoteza rafiki yako baada ya yeye kupoteza pesa)
 
jaman hii stail ya kutaka utajir bila ya kufanya kaz utatucost sana hiyo ni utapel mkubwa tena ni desi ya kiwango cha juu..
 
Jamani waTanzania zindukeni! Dunia hii hamna kitu ambacho kinaweza kukupatie kipato kwa kukaa nyumbani. Hiyo biashara inayosemwa hapa ni sawa tu karata 3 au kamari
 
Jamani waTanzania zindukeni! Dunia hii hamna kitu ambacho kinaweza kukupatie kipato kwa kukaa nyumbani. Hiyo biashara inayosemwa hapa ni sawa tu karata 3 au kamari


kweli mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom