Tengeneza pesa huku umelala HII BIASHARA IMEKAAJE? NANI ANAFANYA ANIJUZE?

mkuu kama unataka kujiunga nikupe id yangu uingilie ni biashara nzuri ya online nimejiunga mkuu
 
mkuu kama unataka kujiunga nikupe id yangu uingilie ni biashara nzuri ya online nimejiunga mkuu
mkuu dr phone nakusudia kujiunga ila naona huku kwetu kupata watu hao 7 ni ishu maana tabu sio pesa ya kujiungia ila tabu ni namna ya kushawishi watu wasikuone tapeli.
 
nimeipenda hii thread, kwa wale ambao wako kwenye hii mega wealth hebu watujuze. Mimi kuna mtu ananishauri nijiunge lakini bado cjaridhika na detail anazonipa.
 
nimeipenda hii thread, kwa wale ambao wako kwenye hii mega wealth hebu watujuze. Mimi kuna mtu ananishauri nijiunge lakini bado cjaridhika na detail anazonipa.
mkuu ukipenda unagonga like,au thanks.
 
ebu nieleweshe vizuri mkuu, bado sijawaelewa vizuri, nimeingia kwenye site yao lakini bado naona chenga.

ipo hivi unapotaka kujiunga unatoa kiingilio ambacho ni tsh 77500 hiyo ni moja. Mbili ni kutafuta/kushawishi watu 7 wajiunge.hapo kazi umemaliza.
 
Hapa natumia simu.kama kuna mtu yupo ktk pc. Naomba acopy baadhi ya kurasa za mega kisha apaste hapa.lengo ni kujifunza.
 
Inaniuma sana.ninapo jiona mtz.nimekuwa kama mpira wa kona,kila mchezaji jicho lake lipo kwangu,nipigwe mateke huku na huko nikiingia tu wao wanashangilia bila huruma nikipasuka mimi wanachukua mpira mwingine.ili mechi isonge mbele.pia wamekuwa ma DJ wetu tz ipo katika ukumbi wa disco dj kila anapotuona tumechoka yeye ndo kwanza anaweka nyimbo mpya mala mgawo,mala loliondo mala deci mala mikataba feki mala..........!.hapo hapo kama mtu alikuwa amekaa utaona anainuka kucheza.mwisho wa siku dj anazima muziki na disco limekwisha!!
 
Kwa mawazo yangu hapa biashara ni kitabu. Kitabu kinauzwa ambacho baada ya kukisoma utajua umeliwa au la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom