tenga kuwasili mwanza kwa mara ya tatu tangua awe rais wa tff miaka 7

ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
56
jamani huyu rais wa tff tangu achaguliwe kuwa rais wa tff hajawahi hata siku moja kutembelea mikoa yake hata kujua matatizo yanayoikabili ili kukuza soka la tanzania mikoa ambayo hajawahi kufika ni Singida, Tabora, Shinyanga, Lindi, Mtwara, iringa, Mbeya, Kagera, Mara, Manyara, Ruvuma, na Kigoma jamani huyu jamaa anafaa kuwa kiongozi wa mpira?
 
Rais asiye angalia vyama vilivyomweka madarakani
 
Leo hii ndio mnazungumza? Kwani yeye anaweza kumaliza matatizo yote ya mpira nchi nzima? Watu wa mikoani nao wanapaswa kuchukua hatua kwa ajili ya maendeleo ya soka ya mikoa yao.
 
hanatofauti na JK...si unajua ni kada wa ccm huyo akili yake mgando kama ya magamba
 
Hao viongozi wa Socce wa mkoa wanafanya kazi gani au unafikiri Tenga ndo mwarubaini wa matatizo ya soka mikoani..Hoja yako haina mashiko mkuu wakulaumiwa ni viongozi wanaopatikana mikoa husika mchango wa Tenga TFF na CECAFA upo wazi na jamaa kafanya mambo makubwa sana anastahili pongezi.
 
Back
Top Bottom