Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

Nini huwa kinawasibu baadhi ya watu mara tu baada ya kutoka ktk pembe 4- class!
Mtu anaongea kitu unajiuliza kama kweli aliingia darasani au la!
Jamani, tumbo lisizidi uwezo na kazi ya ubungo.
Je, tunahitaji Mnajimu kujua yanayoendelea hapa Nchini!
 
Hana lolote huyu mnafiki!Ashaa
jazwa minoti itakua huyu!Na haya makaripio yana madhara siku za mbele ili baadae wakitimiza waliyo panga ccm waseme tahadhari ilishaa tolewa!
 
Yan huyu bora anyamaze kuliko kuropoka namna hii! Jukumu la kutunza amani hajui wanalo nani? Mbona kila polisi wanapokuwepo kwenye mikutano ya cdm ndio machafuko yana tokea?

Hivi huyu mzee hajui sasa watanzani wameshajua kuwa katika mipango ya kuichafua cdm na yeye yumo!

Sasa ngoja tuone kama atafanikiwa maana lao moja yan baada ya kukemea polisi kuingilia mikutano yeye anaropoka maneno ambayo sasa yana leta tafsiri nyingine kwa jamii!

Unafiki ni kitu kibaya sana!
 
Naskia huyu mzee mkali sana kwa ''NGUMI"

LIWALO
NA
LIWE.
 
Mh Tendwa Ukombozi wa Tanzania hautegemei CDM, bali watanzania tumechoka na Unyanyasaji wa Viongozi wa serikali ya CCM kama wewe msajiri. Sasa kama unao uwezo kisheria Ifute CCM ambapo viongozi wake wametishiana kwa Bunduki
 
Watu wadhalimu Mungu akiwachoka huwanyima uwezo wa kufikiri na ndiyo tunayoyaona kwa hawa makada wa ccm!Hana sababu za kufuta chama cha siasa hata kama ni msajiri wa vyama kwa vurugu za polisi. Sijaona mahala popote raia wakiwashambulia polisi zaidi ya kuwakimbia pale polisi wanapowavamia katika mikutano yao.Tendwa usiombe laana ya damu zilizokwisha umwagika zikuandame kwa kuongea uongo wakati ukweli unajua. Ukweli utakuweka uhuru na uongo utakufanya mtumwa na uzee wako utakuwa wa taabu sana. Wambie wanaokulazima kuongea hivyo waongee wenyewe na ukumbuke haukuzaliwa kuwa msajiri wa vyama vya siasa maisha yako yote. Kama wakisema wanakunyangaya hiyo nafasi itakuwa bora zaidi kuliko kuwa mtumwa. Kifo gani ambacho kimesababishwa na raia kama si kuidanganya nafsi yako na wale waliokutuma? Hata la ulimboka utasema ni chadema. Mungu kaamua kuwaumbua mchana kweupe hamna sehemu ya kuficha nyuso zenu! Muulize sita akwambie anajisikiaje kwa unafiki wa juzi na reaction ya raia zidi yake?
 
Anazidi kuhalalisha kile nilichosema ktk ule uzi wangu wa sababu 3 zilizoko nyuma ya vifo ktk mikutano ya Chadema. Vifo hivyo, vinataka kuhalalisha jambo. Kama si kuchafua chadema, basi ni kuifuta chadema. Exactly, kama alivyosema rafiki yangu. Nijuavyo na niaminivyo, hilo halitawezekana.
Pili, kwa kuwa mjadala wote sasa umeelemea polisi kwa kubebeshwa lawama zote, Tendwa anataka kubadili mjadala uwe Chadema na vifo. Watz wa leo siyo wa miaka 50. Hawatafanikiwa.

.
Kuifuta Chadema? Zamani tulichota busara kutoka kwa wazee, lakina leo hii mzee akiongea lazimakauli yake ni ya kujikinai kwa kukata tamaa kama Tendwa. Science haina chochote ilichogundua kwa waezee wa leo tofauti na wale wa zamani??
Ni wazo tu!!
.
 
Mungu amewaumbua.Kilichoikoa CDM ni zile picha zilizopigwa na waandishi kuonyesha yule polisi katili alivyofumua utumbo wa mwandishi yule masikini.Kwani siku ile tayari Chagonja alishasema CDM ndiyo walirusha kitu kizito kumuua yule mwandishi,kumbe walishajipanga kupiga propaganda na tayari Tendwa alishaandaliwa kuongea ujinga kama wa leo ili kuhalalisha kufuta CDM.Mungu ni mwema waandishi wamemuumbua Tendwa na wenzie.

wao wana tendwa sisi tuna MUNGU haki ya mtanzania haitapotea hivi hivi
 
ASANTE MUNGU kwa kumruhusu shetani kuendelea kuwadanganya CCM na Serikali yake, pamoja na kada mashuhuru wa ccm John Tendwa kushindwa kujua kanuni na katiba ya nchi!
2015 njia nyeupe kwa chadema!
 
Tendwa ni mtu wa ajabu sana. Mbona akuifuta CUF wakati wa 'jino" kwa "jino"? hivi muda wake unaisha lini?
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.

Tendwa anazeeka vibaya.
 
msajili wa vyama vya siasa nchini john tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya cdm na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:habari radio tumaini.

huyu babu yetu siku nyingi hajaonekana kwa tv. Hii ndio njia yake ya kutokea kwa nyuuziiii.. Haaamini kuwa ccm inaondoka hivyo....
 
Afanye haraka ili ukombozi uwahi kufika!! Nitaenda kujilipua na bomu pale pale ndani ya ofisi yake kama nitashindwa plan A,B na C.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.

Huyu nae huwa anafikiri kwa kutumia kiuno. Kama anazo akili timamu chama chenye kusababisha haya yote ni ccm kwa kutumiia policcm. Angekuwa ni mtu mwenye busara sana kama angewaita ccm na kukionya ijapokuwa tunajua kuwa hana ubavu wa kukata mti aliokalia kwani ndicho hasa kilicho nyuma ya kila kitu na ushashidi ni kauli za Nape Nnauye alipotoa kauli mbele ya vyombo vya habari na kujidai nabii kuwa vurugu zitatokea. Anafikiri kuwa Watanzania wana akili za kubebewa kama zake (anaishi tu kwa kulipwa fadhila kutokana na aliyoyafanya baba yake mzee Mosses Nnauye).
 
Naona viroba vya PUSHKIN plus vya VODKA vimeanza kufanya kazi kwa kasi ya ajabu. Huyu mzee anakula pombe hadi anakosa cha kuongea na kuanza kulopoka.
 
CHADEMA ni jina tu au tuseme ni alama ya mabadiliko. Mbaya kwa Tendwa ni kuwa mabadiliko haya yameanzia katika nyoyo za watu, sasa ana uwezo wa kuingia katika nyoyo za watu na kufuta shauku ya kutaka mabadiliko? Labda awasiliane na Shehe Yahya(mdogo),ila hata hivyo ni vigumu sana.

Hebu aulizwe mara ya mwisho lita ya mafuta ya taa alinunua shs ngapi? Maharage kibaba shs ngapi? Unga kilo je? Na sukari? Yeye anatumia kodi zetu halafu anajambajamba kwenye ofisi yetu ya msajili na kufanya mambo bila kuwa impartial. Shame on you Tendwa
 
Ndo maana naaamini mauaji ya Nyororo yalipangwa, nilitegemea haya toka kwa msajili, ila MUNGU ANATAKA KUWAOKOA WATANZANIA, angalia walivyosema polisi baada ya tukio, nini kifuat baada ya picha kuwekwa wazi, sasa mwema anasema nini, Dr Nchimbi anasema nini!...............naamini mwisho wa maingizo unakaribia
 
Mwambieni ajaribu aone, anadhani moto wa CHADEMA ni wa mabua eeh!! Mzee Tendwa jaribu uone moto wake.
 
Back
Top Bottom