Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

Ngoja nipite kimya nisije nikaharibu siku yangu kwa kauli za hivi vizee

Its true umuri umekwenda sana hana jipya anatakiwe apumzike YUPO KWA SABABU YA PETE ZA MAJINI
Ushirikina una mwsho 2015 wachawi wote mtatupisha
Tendwa1.jpg

Tendwa na pete ya majini
 
Wakijaribu kufanya hivyo watakuwa wamejichongea wenyewe,wajaribu tuone itakuwaje kama ni rahisi kama anavyoropoka kwenye vyombo vya habari

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wale wale?!! Kwani cdm ndo wafanya fujo au ni ccm na serikali yake???? Hawa wazee wajue kuna siku wataachia hivyo vyeo vya fadhila. Moto vijana wanaokuja nao ni wa gas sio wa mabua. Tumechoshwa na old minds. Aanze kuifuta ccm ndo tutaamini kweli amechoshws na ujinga wa serikali ya ccm
 
Hatishiwi mtu nyau - Huyu messanger wa 'washiri' kama ana ubavu kesho asubuhi akiingia ofisini jambo la kwanza iwe ni kufuta chama ambacho anaona hakifai. Hapo ndipo atajua he's been living in a bubble.
 
Its true umuri umekwenda sana hana jipya anatakiwe apumzike YUPO KWA SABABU YA PETE ZA MAJINI
Ushirikina una mwsho 2015 wachawi wote mtatupisha
Tendwa1.jpg

Tendwa na pete ya majini

mbona jasho linamtoka??? hajiamini au?? halafu!!! huo ni mwanya au pengo
 
Tendwa naona anatumika au kama hatumiki basi uzee ndio unamfanya aseme ujinga kama huu hajui ni chama gani kinaleta matatizo mbele ya jamii kushirikiana na kundi la polisi wahuni walio ahidiwa 10000 ukiua na wanaona hiyo hela ni kubwa itawainua katika maisha yao kumbe ndio kabisa wanazidi kuwa maskini wa kutupwa angalieni familia nyingi za askari ni maskini wa kutupwa maana kipato cha kwa asilimia kubwa si halali
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.

Asubiri tu mwisho wake wa ajira ni mwaka 2015; Katiba mpya hatutaki Rais ateue Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi.

Hivyo ajiandae kwenda kulima mihogo.

Mikutano ya Vyama vya upinzan fujo zote zinaanza na polisi. Wananchi wapo kwa amani lakini Polisi ndio wanavunja sheria ya vyama kwa kuanzisha fujo kwa manufaa ya Kisiasa ya Mabwana zao waliowatuma. Sisi Watumwa hatuna jinsi isipokuwa ni kufa tu kama ndugu yetu Daudi.

Tendwa akitaka amani ipatikane alifundishe nidhamu nzuri jeshi la polisi kisha aone kama kutakuwa na fujo.

Au katika mikutano ya vyam vya upinzani kusiwe na polisi yeyote kisha aone kama kutatokea fujo yoyote.

Mbona juzi mkutano wa Mbunge kule mwanza ulienda kwa amani?????????

CCM ione aibu, ajisumbue tu kukifuta CDM kitakuja kwa jina lingine na wanachama ni walewale tupo tutakisubiri.

Kukifuta CDM siyo mwisho wa mapambano ya kudai haki, Wananchi tumechoka na manyanyaso ya CCM.

Tunataka mabadiliko na wakati ni huu. Polisi hawataweza kutupiga risasi wote lakini mabadiliko yatakuja tu ili kizazi cha watotot wetu waishi vizuri.




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Jamani habari nyingine zitasababisha tuonyeshe hasira zetu kupitia ncha za vidole kisha tupate BAN... Twendwa ametendwa sasa anaweweseka.
 
wanaoleta fujo na upotevu wa amani Tanzania siku zote ni polisi na sio vyama vya siasa, mauaji ya kilolo yamefanya na polisi na hapakua na uvunjifu wowote wa amani.
 
Ndio tatizo la KATIBA, Serikali yao, Jeshi la polisi lao, Mahakama yao, Tume ya uchaguzi yao, Msaji wa vyama wo. REFA WAO ,LAIZIMEN WAO, WACHEZAJI WAO, WASHANGILIAJI WAO.duh Hata si mshangai tendwa, Nilidhani angeanza kulilaumu jeshi la Polisi kwanza, Kumbe ni ile mipango yao ya siri.WAMESHASOMEKA HAWATAWEZA KUPAMBANA NA MABOSI WAO WA KURA AMBAO NI WANANCHI
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.

Mimi akitajwa John Tendwa kumtenganisha na nape au Wilson Mukama ninashindwa kabisa kwa sababu ni mtu wa kushabikia ccm hata pasipostaili naomba tujikumbushe uchochezi aliofanya arumeru mashariki kwa kushirikiana na washili ( makada wa ccm) ashukuriwe mbinu yake ya kishetani ilishindikana na sasa hizi fikra za kutaka kuihujumu CDM nadhani yaweza ondoka na ccm na yy mwenyewe na atakuwa amharakisha anguko la ccm kwa sababu sasa sababu ya kuiondoa kwa style Misri na tunisia ndio itakuwa muhafaka watz tumechoka
 
Akili yake imesinzia
hata mtoto mdogo anaona hali halisi ya unyanyasaji iweje yeye haoni
sio bure aende zake
 
Back
Top Bottom