Tendwa akiri kula rushwa uchaguzi 2005

ICHONDI

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
600
134
headline_bullet.jpg
Anasubiri kuwaengua kuwania ubunge
headline_bullet.jpg
Ni watuhumiwa rushwa kura ya maoni

Tendwa(12).jpg

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa

[FONT=ArialMT, sans-serif]Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amewasha moto upya juu ya rushwa katika kura za maoni na kutamka kwamba wapo mawaziri walilalamikiwa kuhusika na sasa anasubiri ushahidi wa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuwaengua.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alizungumza na waandishi wa habari waliopo kwenye mafunzo ya kuboresha taaluma za habari yanayotolewa na Media Focus on Afrika jijini Dar es Salaam jana, Tena pia alisema wagombea wote bila kujali wanatoka vyama gani waliotuhumiwa kutoa rushwa ili kuteuliwa wakati wa mchakato wa kura za maoni nao wataengulia kama ushahidi ukithibitisha kuhusika na vitendo hivyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Wengi wa wagombea hao wanaotuhumiwa na kujihusisha na vitendo hivyo ni wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadhi yao ni viongozi wa Serikali, ambao walikamatwa na Takukuru kisha kuhojiwa wakati wa mchakato huo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tendwa alisema tayari amekwisha kuwasiliana na Takukuru na kwamba wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha ushahidi wa watuhumiwa wote waliohusishwa katika sakata hilo ili waenguliwe pamoja na kufikishwa mahakamani.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Malalamiko yapo mengi, tena mengine yanahusisha viongozi na mawaziri waliopo serikalini na wamepitishwa na chama chao kuwania nafasi za ubunge," alisema na kuongeza:[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Tunasubiri ushahidi wa kina kutoka kwa wenzetu wa PCCB (Takukuru) ili tuweze kuwatoa katika nafasi hizo bila kujali anatoka katika chama gani."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tendwa alisema ofisi yake imepokea malalamiko hayo na kwamba imeshindwa kuwachukulia hatua ili kutaka kujiridhisha na ushahidi kutoka Takukuru ambao unakamilishwa kwa wagombea waliohusika katika kutoa rushwa ili kuwashawishi wachaguliwe.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema hata kama ushahidi huo utafikishwa ofisini kwake baada ya kumalizika kwa uchaguzi na watuhumiwa wakashinda, watatolewa katika nafasi zao na kufikishwa mahakamani kufunguliwa kesi za jinai kwa kukiuka sheria hiyo.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Hata tukiletewa huo ushahidi baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, bado nina mamlaka kama msajili kuwatoa na nitawatoa na kuwafungulia kesi mahakamani kwa kukiuka sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge," alisema Tendwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea kutoa rushwa kupitia mitandao ya simu ambapo mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ililipotiwa kuwa na matukio hayo, alisema mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuhusiana na hilo na kwamba taasisi inayohusika inapaswa kuwasiliana na makampuni ya simu ili kupata ushahidi wa kina.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Awali akizungumzia kuhusu sheria hiyo ya gharama za uchaguzi alisema kuwa pamoja na kupingwa na wabunge wengi, lakini imesaidia kurudisha usawa katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa wagombea walionacho na wasio nacho.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Baadhi ya wabunge kipindi cha uchaguzi uliopita walikuwa hawana wasiwasi, walikuwa wakitumia fedha kushinda tena kwa kishindo kikubwa, hivyo sheria hii imewabana," alisema.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Sheria hii isingekuwepo uchaguzi wa mwaka huu hali ingekuwa mbaya zaidi rushwa ingechukua nafasi kubwa kwa sababu baadhi ya viongozi walikuwa wamejizoesha hivyo, ilizoeleka kipindi cha uchaguzi ni cha mavuno, wagombea walikuwa wakishindanishwa kwa madau ya fedha za rushwa wanazotoa majimboni," alisema na kuongeza:[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Mimi mwenyewe uchaguzi wa mwaka 2005 nilikula rushwa tulikuwa huru katika hilo, nilikuwa naambia chukua katoni ya Heineken hizo nenda nyumbani, kwa kweli hali ilikuwa mbaya ... endapo sheria hii isingekuwepo mambo yangeharibika zaidi.[/FONT]

"[FONT=ArialMT, sans-serif]Naweza kusema sheria imetusaidia kudhibiti mianya ya rushwa, lakini sio sana kwa sababu bado ofisi yangu imekuwa ikipokea malalamiko kwenye uchaguzi huu yanayohusiana na rushwa," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alitolea mfano baadhi ya malalamiko ambayo ameyapokea kuwa ni baadhi ya magari ya serikali kutumiwa kubeba vitu ambavyo vinaashiria kuwa ni vya rushwa.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa bahati sasa hivi teknolojia ya mawasiliano imepanuka, nimeletewa DVD inayoonyesha jinsi watu wanavyotoa rushwa, lakini pia nimepata picha zinazoonyesha jinsi magari ya serikali yakiwa yamebeba nyama ya nyati na lingine vitenge kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema malalamiko yote ambayo hakutaja idadi yake wanayafanyia kazi kwa kushirikiana na Takukuru ili kuona jinsi gani ya kuwachukulia hatua wale wote watakaoonekana kuwa na makosa.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Wale wote waliotoa rushwa na uchunguzi wetu ukabaini hivyo, hata kama itakuwa imebaki siku mbili za uchaguzi kufanyika wataondolewa kwenye kinyang'anyiro hicho na hatua zaidi zitachukuliwa," alisisitiza.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kadhalika,Tendwa alisema ahadi ambazo zinatolewa na wagombea wa vyama vya siasa katika kampeni sio rushwa wala ushawishi kama baadhi ya watu wanavyodhani.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema ahadi hizo ambazo zipo kwenye ilani maana yake ni kwamba chama kinamweleza mwananchi mambo ambayo yatafanyika endapo kitapata ridhaa ya kutawala.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika hatua nyingine, Tendwa alisema wapo katika hatua nyingine ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na madhara ya upokeaji rushwa hususan vijijini.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu watashangaa kwa nini waliokamatwa kwenye rushwa ni wale waliotoa tu, tuliona ambao ni wapokeaji walikuwa hawana uelewa wa kutosha na hawajui athari zake, wanahitaji elimu kwanza," [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]alisema. [/FONT]

Source: Nipashe

Hapo kwenye nyekundu kumeniacha hoi. Kama 2005 alikula rushwa kitakachomzuia this time ni nini. Hiyo sheria ambayo yeye keshaiharishia ndio itamlinda? Kweli Tanzania tuna viongozi vichwa maji, is he insane?

So ameconfirm kuwa uchaguzi wa 2005 ulikuwa rushwa tupu, na kile kishindo ilikuwa rushwa. So Kikwete ni zao la uchaguzi WA rushwa na sio kuwa alichaguliwa kihalali. Well spoken Mr Tendwa, nadhani unatakiwa ukamatwe na kuwekwa ndani kwa kuwa umekiri kula rushwa. Sidhani kama kuna statue of limitation kwenye swala la rushwa, haijalishi ulikula miaka mingapi liyopita, una kesi ya kujibu

Oh, Watanzania we need change we can believe in, hii sasa ni hatari kweli kweli. Anayesimamia sheria ya uchaguzi alishakula rushwa ya uchaguzi. Eti anasema wakati ule ilikuwa inaruhusu, inaruhusiwa na sheria ipi au chombo gani Mr Tendwa????
 
huyu magiri anauma na kupuliza, anatuliza mzuka wa kuachia kampeni ziendele baada ya muda
 
Narudia kwa mara nyingine tena kusemaaa
HUWEZI KUSHINDANA NA SAIKOLOJIA YAKO.
kinachowatesa ccm ni kusutwa na SAIKOLOJIA ZAO. yaani madudu yooote waliyoyafanya dhidi ya nchi hii watayataja moja baada ya jingine.
Tutasikia mengi ambayo yatatusaidia ktk kufanya uamuzi oktoba 31 2010.

TENDWA jiuzulu, unamdhalilisha aliyekuteua, na unaidhalilisha nafasi/ ofisi yako.
Hufai kuwa msajili, tunakuona hufai mzee
 
headline_bullet.jpg
anasubiri kuwaengua kuwania ubunge
headline_bullet.jpg
ni watuhumiwa rushwa kura ya maoni

tendwa(12).jpg

msajili wa vyama vya siasa, john tendwa

[font=arialmt, sans-serif]msajili wa vyama vya siasa, john tendwa, amewasha moto upya juu ya rushwa katika kura za maoni na kutamka kwamba wapo mawaziri walilalamikiwa kuhusika na sasa anasubiri ushahidi wa kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (takukuru) ili kuwaengua.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]alizungumza na waandishi wa habari waliopo kwenye mafunzo ya kuboresha taaluma za habari yanayotolewa na media focus on afrika jijini dar es salaam jana, tena pia alisema wagombea wote bila kujali wanatoka vyama gani waliotuhumiwa kutoa rushwa ili kuteuliwa wakati wa mchakato wa kura za maoni nao wataengulia kama ushahidi ukithibitisha kuhusika na vitendo hivyo.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]wengi wa wagombea hao wanaotuhumiwa na kujihusisha na vitendo hivyo ni wale wa chama cha mapinduzi (ccm) na baadhi yao ni viongozi wa serikali, ambao walikamatwa na takukuru kisha kuhojiwa wakati wa mchakato huo.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]tendwa alisema tayari amekwisha kuwasiliana na takukuru na kwamba wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha ushahidi wa watuhumiwa wote waliohusishwa katika sakata hilo ili waenguliwe pamoja na kufikishwa mahakamani.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]malalamiko yapo mengi, tena mengine yanahusisha viongozi na mawaziri waliopo serikalini na wamepitishwa na chama chao kuwania nafasi za ubunge," alisema na kuongeza:[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]tunasubiri ushahidi wa kina kutoka kwa wenzetu wa pccb (takukuru) ili tuweze kuwatoa katika nafasi hizo bila kujali anatoka katika chama gani."[/font]
[font=arialmt, sans-serif]tendwa alisema ofisi yake imepokea malalamiko hayo na kwamba imeshindwa kuwachukulia hatua ili kutaka kujiridhisha na ushahidi kutoka takukuru ambao unakamilishwa kwa wagombea waliohusika katika kutoa rushwa ili kuwashawishi wachaguliwe.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]alisema hata kama ushahidi huo utafikishwa ofisini kwake baada ya kumalizika kwa uchaguzi na watuhumiwa wakashinda, watatolewa katika nafasi zao na kufikishwa mahakamani kufunguliwa kesi za jinai kwa kukiuka sheria hiyo.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]hata tukiletewa huo ushahidi baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, bado nina mamlaka kama msajili kuwatoa na nitawatoa na kuwafungulia kesi mahakamani kwa kukiuka sheria hiyo iliyopitishwa na bunge," alisema tendwa.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]akizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea kutoa rushwa kupitia mitandao ya simu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa na kaskazini ililipotiwa kuwa na matukio hayo, alisema mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuhusiana na hilo na kwamba taasisi inayohusika inapaswa kuwasiliana na makampuni ya simu ili kupata ushahidi wa kina.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]awali akizungumzia kuhusu sheria hiyo ya gharama za uchaguzi alisema kuwa pamoja na kupingwa na wabunge wengi, lakini imesaidia kurudisha usawa katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa wagombea walionacho na wasio nacho.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]baadhi ya wabunge kipindi cha uchaguzi uliopita walikuwa hawana wasiwasi, walikuwa wakitumia fedha kushinda tena kwa kishindo kikubwa, hivyo sheria hii imewabana," alisema.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]sheria hii isingekuwepo uchaguzi wa mwaka huu hali ingekuwa mbaya zaidi rushwa ingechukua nafasi kubwa kwa sababu baadhi ya viongozi walikuwa wamejizoesha hivyo, ilizoeleka kipindi cha uchaguzi ni cha mavuno, wagombea walikuwa wakishindanishwa kwa madau ya fedha za rushwa wanazotoa majimboni," alisema na kuongeza:[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]mimi mwenyewe uchaguzi wa mwaka 2005 nilikula rushwa tulikuwa huru katika hilo, nilikuwa naambia chukua katoni ya heineken hizo nenda nyumbani, kwa kweli hali ilikuwa mbaya ... Endapo sheria hii isingekuwepo mambo yangeharibika zaidi.[/font]

"[font=arialmt, sans-serif]naweza kusema sheria imetusaidia kudhibiti mianya ya rushwa, lakini sio sana kwa sababu bado ofisi yangu imekuwa ikipokea malalamiko kwenye uchaguzi huu yanayohusiana na rushwa," alisema.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]alitolea mfano baadhi ya malalamiko ambayo ameyapokea kuwa ni baadhi ya magari ya serikali kutumiwa kubeba vitu ambavyo vinaashiria kuwa ni vya rushwa.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]kwa bahati sasa hivi teknolojia ya mawasiliano imepanuka, nimeletewa dvd inayoonyesha jinsi watu wanavyotoa rushwa, lakini pia nimepata picha zinazoonyesha jinsi magari ya serikali yakiwa yamebeba nyama ya nyati na lingine vitenge kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi," alisema.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]alisema malalamiko yote ambayo hakutaja idadi yake wanayafanyia kazi kwa kushirikiana na takukuru ili kuona jinsi gani ya kuwachukulia hatua wale wote watakaoonekana kuwa na makosa.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]wale wote waliotoa rushwa na uchunguzi wetu ukabaini hivyo, hata kama itakuwa imebaki siku mbili za uchaguzi kufanyika wataondolewa kwenye kinyang'anyiro hicho na hatua zaidi zitachukuliwa," alisisitiza.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]kadhalika,tendwa alisema ahadi ambazo zinatolewa na wagombea wa vyama vya siasa katika kampeni sio rushwa wala ushawishi kama baadhi ya watu wanavyodhani.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]alisema ahadi hizo ambazo zipo kwenye ilani maana yake ni kwamba chama kinamweleza mwananchi mambo ambayo yatafanyika endapo kitapata ridhaa ya kutawala.[/font]
[font=arialmt, sans-serif]katika hatua nyingine, tendwa alisema wapo katika hatua nyingine ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na madhara ya upokeaji rushwa hususan vijijini.[/font]
"[font=arialmt, sans-serif]watu watashangaa kwa nini waliokamatwa kwenye rushwa ni wale waliotoa tu, tuliona ambao ni wapokeaji walikuwa hawana uelewa wa kutosha na hawajui athari zake, wanahitaji elimu kwanza," [/font]
[font=arialmt, sans-serif]alisema. [/font]

source: Nipashe

hapo kwenye nyekundu kumeniacha hoi. Kama 2005 alikula rushwa kitakachomzuia this time ni nini. Hiyo sheria ambayo yeye keshaiharishia ndio itamlinda? Kweli tanzania tuna viongozi vichwa maji, is he insane?

so ameconfirm kuwa uchaguzi wa 2005 ulikuwa rushwa tupu, na kile kishindo ilikuwa rushwa. So kikwete ni zao la uchaguzi wa rushwa na sio kuwa alichaguliwa kihalali. Well spoken mr tendwa, nadhani unatakiwa ukamatwe na kuwekwa ndani kwa kuwa umekiri kula rushwa. Sidhani kama kuna statue of limitation kwenye swala la rushwa, haijalishi ulikula miaka mingapi liyopita, una kesi ya kujibu

oh, watanzania we need change we can believe in, hii sasa ni hatari kweli kweli. Anayesimamia sheria ya uchaguzi alishakula rushwa ya uchaguzi. Eti anasema wakati ule ilikuwa inaruhusu, inaruhusiwa na sheria ipi au chombo gani mr tendwa????

mzee usisahau ccm walihalalisha rushwa na kupitisha sheria ya kuilinda ilijulikana kama takrima! Hivyo kwa wakati huo ilikuwa hakuna sheria ya kumbana tendwa! Kwani takrima ilikuwa rushwa but kisheria ilikuwa inaruhusiwa kabla ya bunge kuindoa sheria ya takrima
 
headline_bullet.jpg
Anasubiri kuwaengua kuwania ubunge
headline_bullet.jpg
Ni watuhumiwa rushwa kura ya maoni

Tendwa(12).jpg

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa

[FONT=ArialMT, sans-serif]Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amewasha moto upya juu ya rushwa katika kura za maoni na kutamka kwamba wapo mawaziri walilalamikiwa kuhusika na sasa anasubiri ushahidi wa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuwaengua.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alizungumza na waandishi wa habari waliopo kwenye mafunzo ya kuboresha taaluma za habari yanayotolewa na Media Focus on Afrika jijini Dar es Salaam jana, Tena pia alisema wagombea wote bila kujali wanatoka vyama gani waliotuhumiwa kutoa rushwa ili kuteuliwa wakati wa mchakato wa kura za maoni nao wataengulia kama ushahidi ukithibitisha kuhusika na vitendo hivyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Wengi wa wagombea hao wanaotuhumiwa na kujihusisha na vitendo hivyo ni wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadhi yao ni viongozi wa Serikali, ambao walikamatwa na Takukuru kisha kuhojiwa wakati wa mchakato huo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tendwa alisema tayari amekwisha kuwasiliana na Takukuru na kwamba wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha ushahidi wa watuhumiwa wote waliohusishwa katika sakata hilo ili waenguliwe pamoja na kufikishwa mahakamani.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Malalamiko yapo mengi, tena mengine yanahusisha viongozi na mawaziri waliopo serikalini na wamepitishwa na chama chao kuwania nafasi za ubunge," alisema na kuongeza:[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Tunasubiri ushahidi wa kina kutoka kwa wenzetu wa PCCB (Takukuru) ili tuweze kuwatoa katika nafasi hizo bila kujali anatoka katika chama gani."[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tendwa alisema ofisi yake imepokea malalamiko hayo na kwamba imeshindwa kuwachukulia hatua ili kutaka kujiridhisha na ushahidi kutoka Takukuru ambao unakamilishwa kwa wagombea waliohusika katika kutoa rushwa ili kuwashawishi wachaguliwe.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema hata kama ushahidi huo utafikishwa ofisini kwake baada ya kumalizika kwa uchaguzi na watuhumiwa wakashinda, watatolewa katika nafasi zao na kufikishwa mahakamani kufunguliwa kesi za jinai kwa kukiuka sheria hiyo.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Hata tukiletewa huo ushahidi baada ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, bado nina mamlaka kama msajili kuwatoa na nitawatoa na kuwafungulia kesi mahakamani kwa kukiuka sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge," alisema Tendwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea kutoa rushwa kupitia mitandao ya simu ambapo mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kaskazini ililipotiwa kuwa na matukio hayo, alisema mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuhusiana na hilo na kwamba taasisi inayohusika inapaswa kuwasiliana na makampuni ya simu ili kupata ushahidi wa kina.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Awali akizungumzia kuhusu sheria hiyo ya gharama za uchaguzi alisema kuwa pamoja na kupingwa na wabunge wengi, lakini imesaidia kurudisha usawa katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa wagombea walionacho na wasio nacho.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Baadhi ya wabunge kipindi cha uchaguzi uliopita walikuwa hawana wasiwasi, walikuwa wakitumia fedha kushinda tena kwa kishindo kikubwa, hivyo sheria hii imewabana," alisema.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Sheria hii isingekuwepo uchaguzi wa mwaka huu hali ingekuwa mbaya zaidi rushwa ingechukua nafasi kubwa kwa sababu baadhi ya viongozi walikuwa wamejizoesha hivyo, ilizoeleka kipindi cha uchaguzi ni cha mavuno, wagombea walikuwa wakishindanishwa kwa madau ya fedha za rushwa wanazotoa majimboni," alisema na kuongeza:[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Mimi mwenyewe uchaguzi wa mwaka 2005 nilikula rushwa tulikuwa huru katika hilo, nilikuwa naambia chukua katoni ya Heineken hizo nenda nyumbani, kwa kweli hali ilikuwa mbaya ... endapo sheria hii isingekuwepo mambo yangeharibika zaidi.[/FONT]

"[FONT=ArialMT, sans-serif]Naweza kusema sheria imetusaidia kudhibiti mianya ya rushwa, lakini sio sana kwa sababu bado ofisi yangu imekuwa ikipokea malalamiko kwenye uchaguzi huu yanayohusiana na rushwa," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alitolea mfano baadhi ya malalamiko ambayo ameyapokea kuwa ni baadhi ya magari ya serikali kutumiwa kubeba vitu ambavyo vinaashiria kuwa ni vya rushwa.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa bahati sasa hivi teknolojia ya mawasiliano imepanuka, nimeletewa DVD inayoonyesha jinsi watu wanavyotoa rushwa, lakini pia nimepata picha zinazoonyesha jinsi magari ya serikali yakiwa yamebeba nyama ya nyati na lingine vitenge kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi," alisema.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema malalamiko yote ambayo hakutaja idadi yake wanayafanyia kazi kwa kushirikiana na Takukuru ili kuona jinsi gani ya kuwachukulia hatua wale wote watakaoonekana kuwa na makosa.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Wale wote waliotoa rushwa na uchunguzi wetu ukabaini hivyo, hata kama itakuwa imebaki siku mbili za uchaguzi kufanyika wataondolewa kwenye kinyang'anyiro hicho na hatua zaidi zitachukuliwa," alisisitiza.[/
FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kadhalika,Tendwa alisema ahadi ambazo zinatolewa na wagombea wa vyama vya siasa katika kampeni sio rushwa wala ushawishi kama baadhi ya watu wanavyodhani.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema ahadi hizo ambazo zipo kwenye ilani maana yake ni kwamba chama kinamweleza mwananchi mambo ambayo yatafanyika endapo kitapata ridhaa ya kutawala.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Katika hatua nyingine, Tendwa alisema wapo katika hatua nyingine ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na madhara ya upokeaji rushwa hususan vijijini.[/FONT]
"[FONT=ArialMT, sans-serif]Watu watashangaa kwa nini waliokamatwa kwenye rushwa ni wale waliotoa tu, tuliona ambao ni wapokeaji walikuwa hawana uelewa wa kutosha na hawajui athari zake, wanahitaji elimu kwanza," [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]alisema. [/FONT]

Source: Nipashe

Hapo kwenye nyekundu kumeniacha hoi. Kama 2005 alikula rushwa kitakachomzuia this time ni nini. Hiyo sheria ambayo yeye keshaiharishia ndio itamlinda? Kweli Tanzania tuna viongozi vichwa maji, is he insane?

So ameconfirm kuwa uchaguzi wa 2005 ulikuwa rushwa tupu, na kile kishindo ilikuwa rushwa. So Kikwete ni zao la uchaguzi WA rushwa na sio kuwa alichaguliwa kihalali. Well spoken Mr Tendwa, nadhani unatakiwa ukamatwe na kuwekwa ndani kwa kuwa umekiri kula rushwa. Sidhani kama kuna statue of limitation kwenye swala la rushwa, haijalishi ulikula miaka mingapi liyopita, una kesi ya kujibu

Oh, Watanzania we need change we can believe in, hii sasa ni hatari kweli kweli. Anayesimamia sheria ya uchaguzi alishakula rushwa ya uchaguzi. Eti anasema wakati ule ilikuwa inaruhusu, inaruhusiwa na sheria ipi au chombo gani Mr Tendwa????

Sasa hapo pekundu, ina maana atamweka kando kikwete?maana yeye si ndo kiongozi wa serikali!au vipi tena?kama magari ya serikali yanatumika, basi mweke kando huyo anayesimamia serikali nzima!! mbona tunazunguka mbuyu? huyu tendwa ni **** tu, nguruwe asiye na adabu!
 
Siku atakayotamka kumweka kando ndipo nakwambia watamzika hai ccm
 
Back
Top Bottom