Tendwa: Aishukia CCJ/Mpendazoe

Status
Not open for further replies.

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
msajili wa vyama vya siasa nchini bw. john tendwa amesema aliyekuwa mbunge wa kishapu kwa tiketi ya ccm bw. fred mpendazoe amekurupuka katika uamuzi wake wa kukihama chama chake cha zamani na kujiunga na chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake. akihojiwa na waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kupata msimamo wake kufuatia hatua ya mbunge huyo machahari kujiengua kutoka ccm, tendwa alisema kwa kifupi " ametumia uhuru wake kikatiba vibaya"

msajili huyo alifafanua kuwa sheria ya vyama vya siasa nchini hairuhusu chama kutangaza kushiriki uchaguzi mkuu hadi kitakapokuwa kimepata usajili wa kudumu. kutokana na kuwepo ushahidi wa kutosha kuwa CCJ kimepanga kushiriki uchaguzi ujao, alisema ofisi yake inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake. aidha aliongeza kuwa anaweza kutumia mamlaka aliyonayo kisheria kumpiga marufuku ndg. mpendazoe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa katika uchaguzi ujao kutokana na kutangaza hadharani kuwa atagombea kupitia chama ambacho halijasajiliwa. akisistiza hoja yake hiyo aliahidi leo kukutana na waandishi wa habari ofisini kwake kutolea ufafanuzi zaidi juu ya msimamamo wa kisheria katika suala kam hilo;

my take:
embu wajuvi wa sheria ya vyama vya siasa nchini mtufafanulie msingi wa madai haya ya bw, Tendwa.
 
Lete source please.
 
ha ha ha kazi hipo.hiki chama kweli kitasajiliwa ? manake inaonekana kinawakosesha wengi sana usingizi.

sasa john tendwa wewe shida yako hiko wapi kama kafanya uwamuzi kwa kukurupuka?
 
Tendwa wewe shida yako nini unataka kusajili chama kwa kuangalia nani ni wanachama au ni ni aje? Kama Mpendazoe amekurupuka wewe shida yako nini. Sajili chama kieleweke msituwekee giza kakurupuka kakurupuka shida iko wapi..
 
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ni kitengo kingine cha CCM. Huyu jamaa anatumiwa na CCM ili kuhakikisha chama hiki hakisajiliwi na hivyo kutoruhusiwa kushiriki katika uchaguzi ujao. Kama kuna masharti ya kusajili chama cha siasa ambayo CCJ hawayajatimiza basi yaweke hadharani ili Watanzania tuyajue na siyo kuzungumza nusu nusu bila kutoa sababu kwa nini chama hiki hakijasajiliwa.
 
Alichotaka Tendwa ni kwa mpendanzoe aombe ruhusa kwake kuwa anakihama chama chao then ampangie aende chama chenye maslahi kwao.Na huyu Tendwa tangu aingizwe kwenye ofisi ile amewashawahi kusajili chama kipi au kakuta kazi hiyo ilishakamilisha kusajili??TENDWA ACHA KUFISADI TAALUMA YA SHERIA UTAHARIBU. SI makamba wala chili atakayeombwa ruksa watu wamechoka kusujudia mafisadi
 
Jamani wakati mwingine muwe mnasoma mnavyoandika; internal contradictions zina assume wote humu hamnazo!

msajili wa vyama vya siasa nchini bw. john tendwa amesema aliyekuwa mbunge wa kishapu kwa tiketi ya ccm bw. fred mpendazoe amekurupuka katika uamuzi wake wa kukihama chama chake cha zamani na kujiunga na chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake. akihojiwa na waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kupata msimamo wake kufuatia hatua ya mbunge huyo machahari kujiengua kutoka ccm, tendwa alisema kwa kifupi " ametumia uhuru wake kikatiba vibaya"

kwamba chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake

Halafu:

msajili huyo alifafanua kuwa sheria ya vyama vya siasa nchini hairuhusu chama kutangaza kushiriki uchaguzi mkuu hadi kitakapokuwa kimepata usajili wa kudumu. kutokana na kuwepo ushahidi wa kutosha kuwa CCJ kimepanga kushiriki uchaguzi ujao, alisema ofisi yake inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake.
kwamba: inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake

Mtu mwenye akili atauliza: Unaweza vipi kufuta chama kutoka kwenye daftari ambalo umesema hakimo?

aidha aliongeza kuwa anaweza kutumia mamlaka aliyonayo kisheria kumpiga marufuku ndg. mpendazoe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa katika uchaguzi ujao kutokana na kutangaza hadharani kuwa atagombea kupitia chama ambacho halijasajiliwa.
Hana mamlaka hayo; ajaribu!

akisistiza hoja yake hiyo aliahidi leo kukutana na waandishi wa habari ofisini kwake kutolea ufafanuzi zaidi juu ya msimamamo wa kisheria katika suala kam hilo;
Hana uwezo huo!

embu wajuvi wa sheria ya vyama vya siasa nchini mtufafanulie msingi wa madai haya ya bw, Tendwa.

Ni ya kipuuzi haya msingi katika mantiki na yanathibitha kuwa April Fools bado ipo hai!
 
26064_109520272402344_100000331140879_152094_5070364_n.jpg
 
Tendwa usipoteze muda wako mheshimiwa kuumiza kichwa na chama cha kufikirika, mi nakushauri isamehe kilipokosea na ukisajili haraka ili lifie kwenye uchaguzi iwe rahisi kukizika. ukikichelewesha kitasumbua wakati wa mazishi.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Jamani wakati mwingine muwe mnasoma mnavyoandika; internal contradictions zina assume wote humu hamnazo!

kwamba chama ambacho hadi sasa si halali kisheria na hakitambuliwi na ofisi yake wala hakimo katika orodha ya vyama vya siasa Tanzania inayopatikana ofisini kwake

Halafu:

kwamba: inatafakari hatua za kuchukua dhidi ya chama hicho kilichojizolea umaarufu kwa muda mfupi ikiwemo kukifuta katika daftari lake

Mtu mwenye akili atauliza: Unaweza vipi kufuta chama kutoka kwenye daftari ambalo umesema hakimo?

Hana mamlaka hayo; ajaribu!

Hana uwezo huo!

Ni ya kipuuzi haya msingi katika mantiki na yanathibitha kuwa April Fools bado ipo hai!

Mwanakijiji bwana! Hata wewe wamekuokota kirahisi hivi na April fools' day? Et tu, Mwanakijiji?
 
poleni sana wanaJF mlioingia mkenge. siku nyingine kabla ya kuposti chochote, fungueni kwanza kalenda muone ni tarehe ngapi
 
Hivi Tendwa anaijua Job Description yake kweli? Can he utter such words?
Nadhani anatakiwa awe independent of any political part katika kufanya maamuzi yake.
Something is very wrong with him!
 
ha ha ha kazi hipo.hiki chama kweli kitasajiliwa ? manake inaonekana kinawakosesha wengi sana usingizi.

sasa john tendwa wewe shida yako hiko wapi kama kafanya uwamuzi kwa kukurupuka?

Kazi kwer kwer!!! Mzee Tendwa bana...
Haya yetu macho....
 
poleni sana wanaJF mlioingia mkenge. siku nyingine kabla ya kuposti chochote, fungueni kwanza kalenda muone ni tarehe ngapi

Tanzania kila siku ni siku ya wajinga, Watanzania tunadangaywa vya kweli mpaka tumepewa jina wadanganyika, tunakaa kimya hatuchekwi mimi naona ingekuwa the other way round. Tushupae na kushituka tunavyodanganywa siku zingine leo tuwe relaxed tukubali kudanganywa kama alivyofanya mwanakijiji.
 
mkuu nakupa tano

kuna mahali nimetoa maoni kama haya haya kwenye thread inaitwa "nani alianzisha hii siku ya wajinga" ni ajabu na kweli tumefanana kwa kiasi fulani katika maoni.

nashukuru
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom