Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?

mie sijawahi kumnyima mr,na yeye anaona ni haki yake kila akitaka nimpatie lakini mie nikihitaji ilikuwa ndio kama vile tena amechoka/amechoshwa/ubinafsi na kutokujali kwa wakati huo....
Utawaua wenzako huo sio ushauri......kama mumeo kicheche sio wanaume woote.....

......ushauri wangu nyie TGNP acheni kukitembeza subirini muolewe na ukiolewa mgawie mumeo tu......mumeo akionesha dalili ya kukinai jiulize.....tafuta mbinu mpya.......hamna wa2 rahisi kuwateka kama wanaume nyie tu mnabugi stepu......na hamjipigi sopu sopu ile kama zamani

...haki ya nani tena, be creative...! ikishindikana; jenga mazoea ya kumtengenezea juice ya matunda mbali mbali, kabla hajalala anakunywa kumbe humo ndani ushapondea 50mg ya Viagra, ataamka tu!!!

BEWARE; Dont overdose him!!!!!!!!!!
 
mh jamani saa nyingine pia ni wanaume mimi nimewahi kukaa muda sana mume wangu hataki kunitimizia haja yangu najitahidi kufanya mambo yote but hana muda kila wakati yupo busy na shughuli zake mara anasema usimguse amechoka mh kweli saa nyingin wanawake tunanyanyasika pia sana sasa mtu amekuoa uende wapi?ndo mwanzo wa sisi wanawake kutoka nje ya ndoa zetu wanaume pia munatusukuma sisi tutoke nje ya ndoa zetu,wanaume wanajali wanawake wa nje sana kuliko wake zao matokeo yake hana hamu hata na wewe mkewe unaelalal nae,sijui tuwafanyaje wanaume ili waridhike,unajua kumtimizia mkeo haja yake kunapunguza matatizo mengi ndani ya ndoa!jamani mutujali wanawake kwa hili
 
nakuunga mkono yoyo!bila shaka hizi post zinawasaidia wanajamii wote,msiwanyime waume haki zao na wanaume na nyie msiwanyime haki zao wake zenu,mwenzio akitoka nje ya ndoa usilalamike ni kosa lako
 
Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?

Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?

Mie nakubaliana kabisa na wewe. Inaweza kuwa hata wiki lakini kama unanyimwa nanino hadi mwezi au zaidi basi mna matatizo makubwa sana katika ndoa yenu ambayo yanaweza kabisa kusababisha ndoa kuvunjika. Inabidi mkae myazungumze matatizo hayo kwa mapana na marefu.
 
hata mkiongea haelewi maana penzi la nje limeshamnogea,kaaaazi kweli kweli,yeye anajiona kama yupo sawa kila afanyalo hataki kuambiwa akiambiwa mkali naona dawa nitafute mapozeo nje na mimi ili tuwe sawa
 
Been there done that!! kuna sababu nyingi ambazo zinafanya yote haya yakatokea.kwa yeyote ambaye hajaolewa bado msiogope mkafikiri ndoa zote ndivyo zilivyo.Mhimili wa ndoa ni watu wawili tu. Kuna walioolewa au kuoa hawajapitia kasheshe kama hizi na hawapati picha inakuwaje. Mara nyingi waliopo ndani wanataka kutoka nje na waliopo nje wanatamani kuingia ndani. Ni wewe mwenyewe na ujuzi wako namna ya kuihimili ndoa yako. wana ndoa wakichukulia tendo la ndoa ni starehe ya wote wawili basi hakutakuwa na tatizo.Mimi napingana na eti ni haki ya wanandoa. Nyote wawili mkichukulia eti ni haki hapo ndipo malumbano yanapoanza lakini mkiliweka wazi baina yenu kwamba ni starehe ya wote wawili basi mtalifurahia tendo hilo na mtaheshimiana nanyi mtadumu katika ndoa yenu.
 
hata mkiongea haelewi maana penzi la nje limeshamnogea,kaaaazi kweli kweli,yeye anajiona kama yupo sawa kila afanyalo hataki kuambiwa akiambiwa mkali naona dawa nitafute mapozeo nje na mimi ili tuwe sawa

Jamani, jamani, jamani wanawake amsheni akili zenu hizo...hivi hamjui sikio lisilosika dawa! wewe kama mmeo hasikii,haeliwi wala haelekei...changamsha bongo...tafuta wakukushusha pumzi. Why stress your self! life is too short and it is shortened by your partner...so what are you waiting for. Hey! mnataka kupigiwa tarumbera masikioni. Nyinyi mnatakawia mwende na hali ya hewa iliyopo ndani ya nyumba yenu. Kukiwa shwari, kuweni shwari. Kama unaongea hapaelekei kaaa kimya na chekesha akili yako. Maana kwa kweli nina ndoa sasa for two years ila niliyoyakuta ndo hivyo tena. I go with the weather focust! when there is love, you show it more, kama ni mchuno na wewe kaa kimya, kama ni matembezi Mr. akirudi saa 6 wewe saa 5. Kama ni mtu wa kujirudi atajirudi. Kwa kweli nagging does not help with MEN, but you push them further to leave you. Just be yourself and do what makes you happy. Natumaini ntakuwa nimeeleweka hapo, kweni nyinyi wanawake mnao taabika na kuumiza vichwa vyenu. Lol! tutabanana kwa hali yoyote si ndio tuliapa bwana kwenye kufunga pingu, kwa shida(sasa mnafikiri shida ni zipi!) na raha. Kazi kwenu, wake up women.
 
Habari ndiyo hiyo Waungwana. Kama mnawaambia wake zenu kwamba mmechoka kila siku iendayo kwa Mungu basi hawakawii kutafuta njemba wakuziba pengo na ukipita barabarani jamaa wanakung'ong'a. Unamuona yule jamaa mwenye suruali nyeusi na shati la blue basi hajamgusa mkewe zaidi ya mwezi sasa na mama kachoka kuvumilia basi huwa nashughulika mara tatu au nnne kwa wiki. Ni kweli kama binadamu wanaume pia tunachoka lakini kuchoka mpaka humgusi mamsap kwa mwezi au zaidi basi huko si kuchoka kwa kawaida labda inabidi ukawaone wataalamu waangalie afya yako ;) kama hali hiyo ya kuchoka kila siku haisababishwi na bi mdogo.
 
Jamani, jamani, jamani wanawake amsheni akili zenu hizo...hivi hamjui sikio lisilosika dawa! wewe kama mmeo hasikii,haeliwi wala haelekei...changamsha bongo...tafuta wakukushusha pumzi. Why stress your self! life is too short and it is shortened by your partner...so what are you waiting for. Hey! mnataka kupigiwa tarumbera masikioni. Nyinyi mnatakawia mwende na hali ya hewa iliyopo ndani ya nyumba yenu. Kukiwa shwari, kuweni shwari. Kama unaongea hapaelekei kaaa kimya na chekesha akili yako. Maana kwa kweli nina ndoa sasa for two years ila niliyoyakuta ndo hivyo tena. I go with the weather focust! when there is love, you show it more, kama ni mchuno na wewe kaa kimya, kama ni matembezi Mr. akirudi saa 6 wewe saa 5. Kama ni mtu wa kujirudi atajirudi. Kwa kweli nagging does not help with MEN, but you push them further to leave you. Just be yourself and do what makes you happy. Natumaini ntakuwa nimeeleweka hapo, kweni nyinyi wanawake mnao taabika na kuumiza vichwa vyenu. Lol! tutabanana kwa hali yoyote si ndio tuliapa bwana kwenye kufunga pingu, kwa shida(sasa mnafikiri shida ni zipi!) na raha. Kazi kwenu, wake up women.

Vipi Penny na wewe umeshatafuta wa kukushusha pumzi!? ;) maana umeshalalamika mara nyingi hapa jamvini kwamba Mzee mwenye mali zake hakutoshelezi. Wakati wewe unataka nonino kila siku iendayo kwa Mungu with exception kukiwa na yule mgeni, lakini mwenye mali zake anatosheka mara mbili kwa wiki kishashiba anasubiri mlo mwingine wiki inayofuata.
 
Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?

Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?

Kunyimwa kupo sana....mimi mbona napata mara moja au mara mbili tu kwa mwezi. Ikizidi najiuliza....vipi leo huyu mwanamama.......lakini nimeshaanza kuchoka taratibu na ubanizi huo...
 
hata mkiongea haelewi maana penzi la nje limeshamnogea,kaaaazi kweli kweli,yeye anajiona kama yupo sawa kila afanyalo hataki kuambiwa akiambiwa mkali naona dawa nitafute mapozeo nje na mimi ili tuwe sawa

...mungu wangu, who told you mtakuwa sawa? ha ha haa... akili nyingine bana!
two wrongs doesnt make one right, ...huo ndio utakuwa mwisho wa ndoa yenu!

You've been warned!
 
Mkuu hapo sijakuelewa bado nani alinyimwa au wewe au???

Mkuu nadhani nimeeleza wazi kuwa Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Nadhani nitakuwa nimekujibu swali lako.
 
Utawaua wenzako huo sio ushauri......kama mumeo kicheche sio wanaume woote.....

......ushauri wangu nyie TGNP acheni kukitembeza subirini muolewe na ukiolewa mgawie mumeo tu......mumeo akionesha dalili ya kukinai jiulize.....tafuta mbinu mpya.......hamna wa2 rahisi kuwateka kama wanaume nyie tu mnabugi stepu......na hamjipigi sopu sopu ile kama zamani

coz kwenye ubongo wako starehe ni ngono tu ndio mana unaona nitawauwa! ukiwa nje unaweza ukajipa starehe kibao wewe mwenywe ili mradi shs moja mbili hazikupigi chenga, ukiingia ndani mambo mengi esp ukishapata ka baby hata starehe za kujipa mwenyewe zinapungua sana!....then nipo hapa kupeana mambo tu yanavyoenda humo ndani sipo hapa kuambia wayachukue yangu wayatumie!..na mwisho hunijui sikujui, unawemwita kicheche humjui pia, uchunge maneno yako wakati mwingine, tunawekana wazi kama wewe umemuona wangu kicheche nadhani kuna vicheche zaidi yake ukiongozwa na wewe.
 
...Inawezekana mwenza wako hafurahii unachompa so anajionea kero tu bora asingizie ugonjwa au kitu kingine chochote ili msibanjuane...Hasa wababa na wake zao wengi wanashindwa kujali raha za wake zao wanaangalia wao kucheua tu akimaliza anapindukia mashariki, mama magharibi hajali kama mama nae amefikia kileleni...siku zinaenda!!!

Wakati mwingine ni vigumu kuwaelewa wanawake! kuna wakati hawataki hata kuguswa,akitaka yeye basi lazima siku hiyo uakikishe anapata vya kutosha, Inapofika zamu ya wewe kutaka, yeye atakuambia kuwa amechoka, tena hajisikii vizuri na ukimlazimisha atakupa lakini ndo kama vile hayupo kabiiisa.
 
Chakuhuzunisha nikuwa yule mke wako anaye kunyima anampa mwingine huko nje gladly.Kama umeshindwa kumseduce mwenzako you only ave urself to blame.
 
Mimi kuna ninaowafahamu wamenyimana mwaka mmoja uliopita na matokeo yake mume ametafuta kidosho wa nje kumtuliza mzuka,sasa ngoma imerudi kwa mkewe eti anadai mume wake siku hizi hana habari naye!
 
Si ndo mana nashangaa Nyani. inakuwaje au hawa wanaokuja na kulalamika kuwa wamenyimwa wanazidisha ukubwa wa mambo?

Unajua mwingine anaweza akaja kutaka wakati mama anaumwa hajisikii vizuri kiafya au ametoka kufanya shughuli nzito mchana sasa yeye atasema kanyimwa makusudi au? Kwa sababu wakati mwingine nadiriki kusema kuwa wanaume wengine huwa ni selfish wanajifikiria wao tu. Kuna mwingine ambaye yeye hajui kuwa kuna kuumwa au nini hata kama uko kwenye dozi ya malaria au unachomwa sindano za masaa atataka kukudinya asa wewe ukimkatalia ugomvi ila kukaa zaidi ya mwezi naona kama ni next to impossible vile. Sijui lakini............
Hata kama unaumwa kama utaandaliwa utahita kujigjig bila kujali hiyo dozi...tatizo ni wanawake/wanume kutokuwa na muda wa maadalizi na muda mwingi kufikilia maisha mwingine atakula nini kesho/mwingine zile pesa za kifisadi azifanyie nini..baada ya hapo bifu linaanzishwa mzungu wa nne au baba anakuja saa nane kulala huku yuko chicha kino....kama nini mama ataangalia vipindi vyote vya tv imladi akienda kulala ni dk 2 usingizi..
 
Back
Top Bottom