Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?

Kama ni hivyo hakuna haja ya kuowa, maana hawa magirl friends wanatugawia ad libitum

Masa,
Unadhani waliosema ndoa ni taasisi ambyo waliomo ndani wanatamani kutoka, na walioko nje wanatamani kuingia walikosea?
Before you get in.. all is rosy.. once you get in, its a diffrent story!
 
...probably! :(

ni pale anapokuwa 'lost in translation'...

-anapojiuliza kwanini akiamka asubuhi amuamshe mumewe,
-ampikie chai,
-atandike kitanda,
-awaandalie watoto na mume chai,
-majukumu ya kazini,
-akirudi kazini awaandalie chakula watoto na mume,
-akoshe vyombo,
-aandae nguo zao za kuvaa kesho,
-atandue kitanda,
-amsubiri mume 'alotoka kidogo' ...na tena akirudi hata kama ni usiku wa manane ampe haki yake!

Mbaya zaidi mzunguko huo ni 24/7!... sex 'kwake' inakuwa ni moja ya majukumu ya kila siku ('kazi'), sio uroda tena!

kweli kabisa, hiyo is a result of build up of resentment.... hutaki hata akuguse yaani...
 
Kama ni hivyo hakuna haja ya kuowa, maana hawa magirl friends wanatugawia ad libitum

...Nooooooo!

...kila kitanda na kunguni'we, bila kuoa utajuaje tamu na chungu zake?

..."You have two choices in life; Stay single and be miserable, or get married and wish you were dead!"
 
...Nooooooo!

...kila kitanda na kunguni'we, bila kuoa utajuaje tamu na chungu zake?

..."You have two choices in life; Stay single and be miserable, or get married and wish you were dead!"

mmmm. ........... Mbu we nawe unatishia sana, i dont think its that bad... cant wait to join the club...lmbao!!

the only solution.. talk, talk , talk and keep talking ........
 
Yaani nimesoma katika thread moja hapa nimeshangaa. Samahani Mods kama nitakuwa nimekosea basi hii naomba iunganishwe na ile ya nyumba ndogo nilikotoa hili swali.

Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?

Mimi hainiingii akilini labda kwa kuwa sijaolewa but mh!! Inawezekana kweli?

Mkuu hapo sijakuelewa bado nani alinyimwa au wewe au???
 
Mwanajamiione!

Ndoa zina matatizo na raha zake,usikate tamaa bibie mapema hivi. Hivi huoni na matatizo yote ya ndoa watu wanaoana?. Mi mwenyewe ntaolewa na purukushani zote hizi!
Kwanini mwanandoa amyime mwenzie haki yake tena waliohalalisha mbele za Mungu/Allah?
Please say you do to him, ha ha!
 
Hivi mwanamke ambaye umeolewa na mwanaume unayempenda kwa moyo wako wote unawezaje kumnyima mwenzio kwa zaidi ya mwezi? Mara moja moja nitaelewa ila zaidi ya mwezi? as in 30+ days na huku mwalala kitanda kimoja?
Hiyo ni dalili ya ubebaji mabox... Ubebaji mabox kwa masaa mengi huondoa hamu ya kubanjuka.
 
Mkuu unashangazwa na mwezi mzima?! Inawezekana ndugu yangu ni vile tuu siri ya mtungi aijuaye kata! Miezi mingi ya kuhesabu inaweza kupita bila bila! Tena bila sababu ya kueleweka. Dunia ina mambo hii kuwa uyaone shost.

Ni kweli inatokea hasa kwenye ndoa zetu za Kikristo ambazo kutarikiana ni kazi kuliko hata kuvumilia kunyimwa unyumba.
 
..."You have two choices in life; Stay single and be miserable, or get married and wish you were dead!"

All the desirable things in life are either illegal, expensive, fattening or married to someone else.
 
Mwanajamiione!

Ndoa zina matatizo na raha zake,usikate tamaa bibie mapema hivi. Hivi huoni na matatizo yote ya ndoa watu wanaoana?. Mi mwenyewe ntaolewa na purukushani zote hizi!
Kwanini mwanandoa amyime mwenzie haki yake tena waliohalalisha mbele za Mungu/Allah?
Please say you do to him, ha ha!

mie sijawahi kumnyima mr,na yeye anaona ni haki yake kila akitaka nimpatie lakini mie nikihitaji ilikuwa ndio kama vile tena amechoka/amechoshwa/ubinafsi na kutokujali kwa wakati huo,hiyo ni namna moja ya kunyimana, nyingine mtazikuta humo humo ndani mkiingia wapendwa! msikatishwe tamaa na chochote mnatakiwa muingie na mjue mambo ya ndani yanakuwaje, hizi bla bla za humu ziacheni humu humu, hata hivyo kila man yupo ki vyake huyu ana hili yule ana lile hawalingani wapendwa.
 
...Nooooooo!

...kila kitanda na kunguni'we, bila kuoa utajuaje tamu na chungu zake?

..."You have two choices in life; Stay single and be miserable, or get married and wish you were dead!"

kuna ka ukweli ndani yake, nimeipanda hiyo!
 
mmmm. ........... Mbu we nawe unatishia sana, i dont think its that bad... cant wait to join the club...lmbao!!

the only solution.. talk, talk , talk and keep talking ........

umeniuwa mbavu, kumbuka kuna mengine yapo kama viziwi.
 
shost wakati naolewa nilimpenda mr kupitiliza mpk nilipungua, nikifikria kuibiwa, yani nilikuwa nataka awe wangu peke yangu, kumbe wako ni mpaka umchonge mwenyewe! hapo nakuonyesha kwamba mapendo ya leo sio ya kesho! nilikaa na mr miezi kadhaa bila sex, aliokotwa na kimada huko man akirudi home ni kulala fofooo ukimgusa anageukia upande wa pili, nilipokuja kugundua kinachompa kiburi, alishangaa akija nimelala, analala kunakucha, miezi ikaenda, bila kumuuliza la kheri wala shari, mbona alijirudi mwenyewe tu but kwa mie mapenzi yakawa yamepungua sana, mtu unaempenda/uliempenda kwa moyo wako wote anakutenda inaumiza, ndio mana napendaga kuwashauri watu kama nyie jamani kuleni raha shost mkishaingia ndani mambo yanabadilika to the maximum, utajiuliza mabadiliko bila kupata jibu! kula raha ingia ndani pambana,mana unaweza pitisha mwaka bila huduma lcha ya miezi.
Utawaua wenzako huo sio ushauri......kama mumeo kicheche sio wanaume woote.....

......ushauri wangu nyie TGNP acheni kukitembeza subirini muolewe na ukiolewa mgawie mumeo tu......mumeo akionesha dalili ya kukinai jiulize.....tafuta mbinu mpya.......hamna wa2 rahisi kuwateka kama wanaume nyie tu mnabugi stepu......na hamjipigi sopu sopu ile kama zamani
 
Back
Top Bottom