Tendo la ndoa nadra: Unyanyasaji wa Kike..?

mwezi? haaa watu wanakaa miezi kadhaa ijekuwa mwezi, ama kweli siri ya mtungi aijuae kata! inawezekana hata miezi sembuse mwezi.

Shostito nilikuwa sijui si ndo mana nikawa nashangaa!! Kumbe inawezekana lakini how come wakati mnapendana? au havihusiani?
 
...Inawezekana mwenza wako hafurahii unachompa so anajionea kero tu bora asingizie ugonjwa au kitu kingine chochote ili msibanjuane...Hasa wababa na wake zao wengi wanashindwa kujali raha za wake zao wanaangalia wao kucheua tu akimaliza anapindukia mashariki, mama magharibi hajali kama mama nae amefikia kileleni...siku zinaenda!!!
 
Hiyo ya kunyimana mwenzi mzima ni hatari sana kwa wanandoa. na hapo wote wameshachokana maana siku 30 na kuendelea ni nyingi jamani tuache masihara. Na watu wa namna hii utakuta huko ndani kila mmoja anajiona yupo juu ya mweziwe.
 
But hivi si ni vitu vya kuongea tu na kusawazishana? Sasa mpaka iwe kwa mbinge kupeana haki ya ndoa?.. Tena mlalamikaji pale alisema kuwa akimgusa mamsap huwa ni ugomvi wa kufa mtu hadi yeye mwenyewe anajuta kwa nini kamgusa jamani? Sipati picha kwani mimi huwa naamini kuwa mwenzio akikosa raha hata wewe utakuwa huna raha kumbe nakosea!!
 
Shostito nilikuwa sijui si ndo mana nikawa nashangaa!! Kumbe inawezekana lakini how come wakati mnapendana? au havihusiani?

shost wakati naolewa nilimpenda mr kupitiliza mpk nilipungua, nikifikria kuibiwa, yani nilikuwa nataka awe wangu peke yangu, kumbe wako ni mpaka umchonge mwenyewe! hapo nakuonyesha kwamba mapendo ya leo sio ya kesho! nilikaa na mr miezi kadhaa bila sex, aliokotwa na kimada huko man akirudi home ni kulala fofooo ukimgusa anageukia upande wa pili, nilipokuja kugundua kinachompa kiburi, alishangaa akija nimelala, analala kunakucha, miezi ikaenda, bila kumuuliza la kheri wala shari, mbona alijirudi mwenyewe tu but kwa mie mapenzi yakawa yamepungua sana, mtu unaempenda/uliempenda kwa moyo wako wote anakutenda inaumiza, ndio mana napendaga kuwashauri watu kama nyie jamani kuleni raha shost mkishaingia ndani mambo yanabadilika to the maximum, utajiuliza mabadiliko bila kupata jibu! kula raha ingia ndani pambana,mana unaweza pitisha mwaka bila huduma lcha ya miezi.
 
mwezi? haaa watu wanakaa miezi kadhaa ijekuwa mwezi, ama kweli siri ya mtungi aijuae kata! inawezekana hata miezi sembuse mwezi.

...mtu anahesabu siku, wiki, miezi? ...ujue huyo naye 'kisebu sebu wakti kiroho chamdundia hapo!' ...kuna waliosahau hata kama anastahiki kula uroda na huyo mmiliki mwenza wa hiyo 6 " 6...

wanalala mfano kaka na dada tu...
 
unajua mwanamke aki fed up?....
 
shost wakati naolewa nilimpenda mr kupitiliza mpk nilipungua, nikifikria kuibiwa, yani nilikuwa nataka awe wangu peke yangu, kumbe wako ni mpaka umchonge mwenyewe! hapo nakuonyesha kwamba mapendo ya leo sio ya kesho! nilikaa na mr miezi kadhaa bila sex, aliokotwa na kimada huko man akirudi home ni kulala fofooo ukimgusa anageukia upande wa pili, nilipokuja kugundua kinachompa kiburi, alishangaa akija nimelala, analala kunakucha, miezi ikaenda, bila kumuuliza la kheri wala shari, mbona alijirudi mwenyewe tu but kwa mie mapenzi yakawa yamepungua sana, mtu unaempenda/uliempenda kwa moyo wako wote anakutenda inaumiza, ndio mana napendaga kuwashauri watu kama nyie jamani kuleni raha shost mkishaingia ndani mambo yanabadilika to the maximum, utajiuliza mabadiliko bila kupata jibu! kula raha ingia ndani pambana,mana unaweza pitisha mwaka bila huduma lcha ya miezi.

Aksante dada.

Shost nlikuwa natarajia kutoa jibu la "YES, I will marry you" this weekend but mh ngoja kwanza naisogeza mbele maana hapa moyo umeshaingia kutu.:confused:
 
shost toa jibu bwana, cjakuambia hayo ili kukukatisha tamaa jamani! hebu toa jibu huko uingie kwenye mpambano.
 
unajua mwanamke aki fed up?....

...probably! :(

ni pale anapokuwa 'lost in translation'...

-anapojiuliza kwanini akiamka asubuhi amuamshe mumewe,
-ampikie chai,
-atandike kitanda,
-awaandalie watoto na mume chai,
-majukumu ya kazini,
-akirudi kazini awaandalie chakula watoto na mume,
-akoshe vyombo,
-aandae nguo zao za kuvaa kesho,
-atandue kitanda,
-amsubiri mume 'alotoka kidogo' ...na tena akirudi hata kama ni usiku wa manane ampe haki yake!

Mbaya zaidi mzunguko huo ni 24/7!... sex 'kwake' inakuwa ni moja ya majukumu ya kila siku ('kazi'), sio uroda tena!
 
Hiyo ya kunyimana mwenzi mzima ni hatari sana kwa wanandoa. na hapo wote wameshachokana maana siku 30 na kuendelea ni nyingi jamani tuache masihara. Na watu wa namna hii utakuta huko ndani kila mmoja anajiona yupo juu ya mweziwe.

Inategemea... umri wa wahusika na wa ndoa pia matters.Labda wenye umri mdogo ( vijana) wanaweza kushangaa kupitisha muda mrefu kama wiki au mwezi.Kwa wale ambao umri umeenda na wale ambao ndoa zao ni za muda mrefu zaidi sidhani watakuwa wako active sana..huenda wanaweza kukaa hata mwaka..sijui lakini!
kuchokana, kuchoshwa na majukumu, mahangaiko ya maisha, mid life crisis, kero za hapa na pale..vyote huchangia kuzorotesha matamanio ya wanandoa.
 
....Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

mwanajamiiOne usifuate maneno ya mashoga 100%, kila kitanda na kunguni wake!

na hatakiwi kufuata la mtu, sio mashoga tu hata mtu mwingine yoyote, haya maamuzi ni ya watu wawili tu, MJO fuata roho yako, ukisikiliza ya watu kila mtu ana lake humo ndani hutaelewa kabisa.
 
Inategemea... umri wa wahusika na wa ndoa pia matters.Labda wenye umri mdogo ( vijana) wanaweza kushangaa kupitisha muda mrefu kama wiki au mwezi.Kwa wale ambao umri umeenda na wale ambao ndoa zao ni za muda mrefu zaidi sidhani watakuwa wako active sana..huenda wanaweza kukaa hata mwaka..sijui lakini!
kuchokana, kuchoshwa na majukumu, mahangaiko ya maisha, mid life crisis, kero za hapa na pale..vyote huchangia kuzorotesha matamanio ya wanandoa.

You must be kidding!
 
shost toa jibu bwana, cjakuambia hayo ili kukukatisha tamaa jamani! hebu toa jibu huko uingie kwenye mpambano.

Ah dada labda bado sijawa bondia alowiva nahitaji mafunzo toka kwa kocha na mabondia wazoefu...... ngoja kwanza dada. Ukizingatia nilishaumizwa hebu ngoja kwanza nisikilizie game!
 
You must be kidding!
Seriously!
Hujapata nafasi kusikia yanayowasibu watu kwenye nyumba zao inaelekea!
Mnashangaa kuna vijitabia vimezuka siku hizi...wanaume wakubwa kwenda na wasichana wadogo..wanawake wakubwa kwenda na vijana wadogo.....( kuna research that is being done on this... matokeo nikiyapata nitawawekeeni hapa..( nikiruhusiwa)
 
Ah dada labda bado sijawa bondia alowiva nahitaji mafunzo toka kwa kocha na mabondia wazoefu...... ngoja kwanza dada. Ukizingatia nilishaumizwa hebu ngoja kwanza nisikilizie game!

hapana hutamtendea haki shem kama amesha propose hicho kitu hebu mpe haki yake, to be honest wit u ma dia ndoa ina utamu/raha/karaha yake, yani mambo ni mseto humo, ukumbuke kuwa ukishaolewa familia ya mume ndio inakuhusu sana, ukutane na mawifi wakorofi/mama mkwe, loooo ! ingia mami maisha ndio haya haya huitaji kuwa bondia wala nini, unahitaji akili ya ziada.
 
Inategemea... umri wa wahusika na wa ndoa pia matters.Labda wenye umri mdogo ( vijana) wanaweza kushangaa kupitisha muda mrefu kama wiki au mwezi.Kwa wale ambao umri umeenda na wale ambao ndoa zao ni za muda mrefu zaidi sidhani watakuwa wako active sana..huenda wanaweza kukaa hata mwaka..sijui lakini!
kuchokana, kuchoshwa na majukumu, mahangaiko ya maisha, mid life crisis, kero za hapa na pale..vyote huchangia kuzorotesha matamanio ya wanandoa.
You must be kidding!

...Masanilo, vitanda na kuta vinashuhudia mengi!

View attachment 3939

...miaka 5, 10, 15, 20, 25... kheeeeeee!? everything has its best by date!
 
Back
Top Bottom