tendo la ndoa kwa mama anyonyeshae ni vibaya?

kopundo

Member
Nov 8, 2011
8
0
Jamani wana JF,ni kweli kwamba kufanya tendo la ndoa na mama anyonyeshae mtoto kunamathiri mtoto anyonyea?kuna husemi kuwa mtoto "amebemendwa" ikimaanisha mtoto huwa na afya mbaya au kuchelewa kukua au kushindwa au kuchelewa kuongea, kutembea na kadhalika kama wazazi watakuwa wanafanya tendo la ndoa wakati mwanamke hunyonyesha. Does this have any biological or scientific explanation to justify this claim or it is just one of those myth or misconceptions in our society? open forum for us all

Thanks
 
watu wengi wanasema hii sio kweli. mimi pia ningependa kujua kama ni kweli au sio, nisijebemenda mtoto wangu..
 
Mama akinyonyesha si mumpe nafasi ya kupumzika na kuwa makini na malezi jamani. Hayo mambo mengine mbona mnayavalia kibwaya na kuwafanya kina mama kama "wanyama kazi"?
 
Scientifically: Kufanya sex wakati mama ananyonyesha haina madhara yoyote kwa mtoto. Kitu cha muhimu ni kuzingatia usafi tu, ule wa kawaida (japo kuna ambao hawana kawaida ya kuwa wasafi).
Traditionally: nadhani wazee wa zamani walikataza hii ili kulinda maslahi ya mtoto. Kama mwanaume ama mwanamke anataka sex daily, anachoka na kuona hawezi kuamka kunyonyesha kila baada ya masaa mawili,huyo mtoto 'atabemendwa' tu
 
... Nimeipenda hii, kwa kweli walikuwa very creative....
>>> Pia ile kuwakataza wajawazito kula mayai ili wasiwe na watoto wakubwa tumboni wakashindwa kuzaa kwa njia ya kawaida... Ukichanganya kuungaunga na mafuta haikuwa kivile, basi katoto kanazaliwa na kilo 2 au 2.2 ... simpo!
 
Ninavyofahamu mtoto kama ananyonya vizuri na mama yuko tayari kumnyonyesha of course, mama anyonyeshaye hawezi kuona siku zake (normal montly mp). Na kama mama haingii kwenye mp ina maana hawezi beba mimba. Hiyo ni kweli, na nimeshaiprove beyond doubt. Wewe mpe mkeo lishe nzuri na muencourage kumnyonyesha mtoto vizuri, nilisemalo utalihakikisha.
 
... It works for only first 6 months huko mbele ni probability tu!
 
Nadhani kutakuwa na madhara fulani tu, unadhani ingekuwa hamna madhara watu kama kina Mwita 25 wangekuwepo kweli?
 
Ninavyofahamu mtoto kama ananyonya vizuri na mama yuko tayari kumnyonyesha of course, mama anyonyeshaye hawezi kuona siku zake (normal montly mp). Na kama mama haingii kwenye mp ina maana hawezi beba mimba. Hiyo ni kweli, na nimeshaiprove beyond doubt. Wewe mpe mkeo lishe nzuri na muencourage kumnyonyesha mtoto vizuri, nilisemalo utalihakikisha.
siyo kweli, sema anakaa karibia miezi kama mi 5 au 6 au na zaidi au chini ya hapo inategemea na mtu na siyo kipindi chote cha kunyonyesha
 
Thanks for your comment. I have lived and studied in the USA for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.Poor education that we receive from our institutions really does not equip us with proper tools we desparately need to take care of ourselve and those around us.It is because of poor edication and lack of organization and coordination that led to surgical error at Muhimbili few years ago
 
Scientifically: Kufanya sex wakati mama ananyonyesha haina madhara yoyote kwa mtoto. Kitu cha muhimu ni kuzingatia usafi tu, ule wa kawaida (japo kuna ambao hawana kawaida ya kuwa wasafi).
Traditionally: nadhani wazee wa zamani walikataza hii ili kulinda maslahi ya mtoto. Kama mwanaume ama mwanamke anataka sex daily, anachoka na kuona hawezi kuamka kunyonyesha kila baada ya masaa mawili,huyo mtoto 'atabemendwa' tu

Lovely......
Kukazia tu.... mama na baba waoge kwa maji moto na sabuni soon after the innoculation KABLA YA KUMSHIKA AU MAMA KUMNYONYESHA mtoto kama yawezekana na mashuka pia yabadilishwe (Jasho n other associated body fluids) ni good culture kwa bacteria ambao kama mtoto akiwapata yaweza kuwa sababu ya kuwa mgonjwa mara kwa mara na milestone kuchelewa (un correlating growth and development) pia...hapa ndo neno kubemendwa hutumika

Wababa wenzangu....jukumu la growth anabeba mama kwa asilimia kubwa but development hapo unatakiwa kuhakikisha the needful are done na unakuwepo ku-support na hiyo growth as well.......let us be responsible
 
Thanks for your comment. I have lived and studied in the USA for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.Poor education that we receive from our institutions really does not equip us with proper tools we desparately need to take care of ourselve and those around us.It is because of poor edication and lack of organization and coordination that led to surgical error at Muhimbili few years ago

kuishi kwako marekani mda wote huo hakujatusaidia,acha lawama tupe jibu la sex kwa mnyonyeshaji kama ww umepata elimu sawia
 
thanks for your comment. I have lived and studied in the usa for eight years and never heard about kubemenda mtoto. There are so many misconceptions and myth in our community that really need to be addressed and people be made aware of scientifc facts about these myths.poor education that we receive from our institutions really does not equip us with proper tools we desparately need to take care of ourselve and those around us.it is because of poor edication and lack of organization and coordination that led to surgical error at muhimbili few years ago
hopeless
 
Back
Top Bottom