Tendo la ndoa kabla na baada ya kutahiriwa

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuna watu wanasema kuwa kama mwanaume umetahiriwa unapoteza asilimia 40 ya pleasure unayoipata wakati ukifanya tendo la ndoa. Kuna mwanaume yoyote hapa ambaye alishawahi kufanya tendo la ndoa na mwanamke huyo huyo kabla na baada ya kutahiriwa?

Je, kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned? Pia wapo wanawake waliowahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume huyo huyo wakati akiwa bado hajatahiriwa na pia baada ya kutahiriwa? Kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned?
 
Raha ya tendo la ndoa iko kwenye nini haswa? Wakati wa kumwaga ua kwenye nje-ndani?
 
Hata nikikwambia huwezi ku-draw conclusion kwa ku-base kwangu pekee maana pleasure yenyewe ni relative term. Fanya research kubwa ndugu!
 
Hata nikikwambia huwezi ku-draw conclusion kwa ku-base kwangu pekee maana pleasure yenyewe ni relative term. Fanya research kubwa ndugu!

Mkuu hii ni part tuu ya research kubwa ninayoendelea kufanya.
 
wewe kwanza mkuu inakuwaje?

Piga msasa kisu mzee mambo yote murua, kuhusu asietahiriwa mzee mimi na mtazamo tofauti kidogo, Asietahiriwa kweli msisimko na mtetemo ni mkali si mchezo maana unajua ile ngozi inafunika na nyma ya kitu inakuwa too soft ikigusa tu mkuu utamu unaanza kumea, ukipiga mbili tatu hapo jiandae makombola kuruka.

Kuhusu alietahiriwa ujue tayari nyama inakuwa kama ngumu kidogo so kusense inakuwa ngumu hivyo msisimko unakuwa si mchezo lakini sasa, ALIETAHILIWA kazi yake si mchezo, mziki mnene upo pale akianza kula kipupwe, mwanadada hasa wengi akiona tu mwanaume anamaliza faster wanaamini ndo ampendae au alikuwa na hamu nae au alimmiss kwa sana tuuu, Ukichelewa maswali mengi either umecheat and so far...nawakilisha tu mazeee....
 
Tusubiri wa wa Mbeya na Kagera watatupa majibu mazuri, maana wengi wao wanamkono wa sweta.
 
Sex is so damn over rated , raha ni joto ,ulaini wa nyama na wakati unapiga bao , hiyo kwa mtizamo wangu!
 
Si kweli bwana mimi nimetahiri nikiwa form one, kabla ya hapo nilishafanya ngono na mademu wawili tofauti(mara nyingi), mmoja shule ya msingi na mwingine mtaani, lakini nikiwa na g.o.v.i. nilikuwa napata usumbufu kwani lazima ulivute kuacha kichwa wazi. Ukweli ni kwamba nafurahia sana baada ya kutahili maana hata demu kunyonya fimbo yangu napenda sana. Ila kuhusu utamu hakuna tofauti na raha ni ilie ile.
 
Wanaumeee enhee naona mpo kwenye maongezi nilikpita tuu

Changia tuu maana nimeuliza pia kama wapo wanawake waliowahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume huyo huyo wakati akiwa bado hajatahiriwa na pia baada ya kutahiriwa? Kulikuwa na tofauti yoyote as far as pleasure is concerned?
 
wewe kwanza mkuu inakuwaje? Piga msasa kisu mzee mambo yote murua, kuhusu asietahiriwa mzee mimi na mtazamo tofauti kidogo, Asietahiriwa kweli msisimko na mtetemo ni mkali si mchezo maana unajua ile ngozi inafunika na nyma ya kitu inakuwa too soft ikigusa tu mkuu utamu unaanza kumea, ukipiga mbili tatu hapo jiandae makombola kuruka, kuhusu alietahiriwa ujue tayari nyama inakuwa kama ngumu kidogo so kusense inakuwa ngumu hivyo msisimko unakuwa si mchezo lakini sasa, ALIETAHILIWA kazi yake si mchezo, mziki mnene upo pale akianza kula kipupwe, mwanadada hasa wengi akiona tu mwanaume anamaliza faster wanaamini ndo ampendae au alikuwa na hamu nae au alimmiss kwa sana tuuu, Ukichelewa maswali mengi either umecheat and so far...nawakilisha tu mazeee....

Mimi nilitahiriwa bado nikiwa mdogo sana.
 
Back
Top Bottom