Tenda ya kusambaza mkaa

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Ninabiashara ya mkaa,mwenye kuhitaji kwa order kiasi chochote,atapata.
 
Niko kigoma nataka gunia moja,ndugu yangu kama unafanya biashara fafanua iko wapi ili watuwajue ukaribu wake bana
 
Biashara yako ya kuharibu mazingira. Twambie hatua unazochukua kulinda mazingira. Vinginevyo mimi naanzisha mgomo dhidi yako.
 
Biashara yako ya kuharibu mazingira. Twambie hatua unazochukua kulinda mazingira. Vinginevyo mimi naanzisha mgomo dhidi yako.

kwa kila gunia analolipia nadhani 8000 kama kodi, kuna hela kwa ajili ya reforestation. sema wakusanya mapato huwa hawapandi miti hata kidogo. niwapongeza watendaji wa moshi kuvunja rekodi kwa kufikisha miti 8,000,000 kwa mwaka wakati kwa serikali ni miti 1,500,000 tu kwa mwaka.
 
unapatikana wapi na huo mkaa ni nikiasi gani i mean bei gani,mbona huweki wazi kwahiyo hata wa mikoani watafikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom