Ten things you should know about the Igunga By-Election..

You still need comprehensive lessons in grammar not to mention your over-stretched sentences and repeated absence of necessary punctuation. A full stop is represented by a single dot (.) and not a trail of dots (.......)

Naona kama una muonea wivu kwa kukibandika kiingereza cha malkia ndugu! kama wivu vileeeeeeeee!
 
Huu ndiyo uandishi wa habari wa nchi yetu. Inawezekanaje Bureau Chief mzima ananukuu watu habari nzima? Sasa yeye kama mwandishi wa hii habari ameandika kitu gani. Hii ni sawa na kumpa mtu voice recorder halafu atafute mtu amrekodi.
Hii ni mojawapo ya sababu vyombo vyetu vya habari ni rahisi kutumiwa na serikali, CCM na watu binafsi kwa matakwa yao.

Aisee mwandishi wa hiyo habari ni mwehu kabisa, akapimwe akili, yaani amenukuu habari nzima tena afadhaliangefanya hivyo kwa yeye kuwepo matukioni
 
Kwahiyo Kafumu ndio atachukua Wizara ya Madini? nasikia Kikwete ndie anayemsikiliza sana hapo wizarani
 
igunga-won.jpg

Dr Dalaly Peter Kafumu is carried shoulder-high after he was declared the winner of the Igunga by-election yesterday afternoon. PHOTO | FIDELIS FELIX


By Ray Naluyaga
The Citizen Bureau Chief


Igunga. Clear message delivery, well coordinated party network, campaign strategies and long experience in local politics are some of factors that enabled the ruling party to retain the Igunga parliamentary seat.The CCM candidate, Dr Peter Kafumu, beat seven other candidates in the Sunday by-election to win the seat left vacant after the resignation of former, long-serving MP Rostam Aziz, over what he described as gutter politics within the ruling party.

Speaking to The Citizen here yesterday, a political science PhD student who was in Igunga as part of research programme, Mr Tungaraza Timothy, said CCM’s message in the campaign aimed at telling the voters that its failure to accomplish some projects, which was Opposition’s main agenda, was caused by factors which were beyond the party’s control.

“Admission by CCM that the national cake is small and that it must prioritise on what it does with it made people understand why Igunga lacks bridges roads,” he explained.He said CCM’s extensive network that goes all the way down to the grassroots was an added advantage. Mr Timothy observed that compared to Chadema, which enjoys immense support among the youth, CCM has women as permanent voters.

“I attended Chadema’s campaign closing rally, it was the largest compared to that of CCM and CUF, but the crowd comprised mostly youth between 15 and 17 years of age who are not registered as voters,” he said.He further observed that CCM’s decision to use Rostam Aziz at its opening rally restored the lost confidence among some voters who had started to see it as a party marred by internal conflicts.He further said former President Benjamin Mkapa was also most handy for, he noted, many people still cherish some of the things he did during his tenure...

As for Chadema, he said, apart from spending most of its time attacking CCM and its government, it failed to give its candidate, Mr Joseph Kashindye, enough time to campaign.

He observed that during Chadema’s first rally at Nkinga Ward, party chairman Freeman Mbowe spent most of the time faulting President Kikwete, a thing that was not a priority to Igunga voters.

For his part, Mr Ali Athumani observed that Chadema did not give enough time to its candidate to speak to wananchi during its rallies. For example, he noted, in Nkinga Mr Kashindye was given only three minutes though most people wanted to hear from the person who was seeking to be their MP. At Nanga and Ziba villages the candidate spoke for only five minutes.

He further noted that Kikwete’s month-end speech, in which he strongly warned that the government wouldn’t tolerate anyone who would even think of causing chaos on the voting day was also a boost for CCM. “This is so because women and the elderly who are CCM’s traditional voters were assured of peace and security, so they turned out in large numbers,” he said.

Chadema’s defeat was also blamed on the party’s failure to localise its campaigns. According to Mr Wiston Joseph, Chadema used people from outside Igunga such as its MPs and other party officials while CCM relied heavily on locals.

“Wherever CCM held a rally, people close to Dr Kafumu, who were Igungans and spoke the local dialect, remained behind and chatted with the people face to face about their candidate and the party. This is something that Chadema did not do,” he said.

But also Chadema’s decision to dump election agents hailing from Igunga was said to be another reason why the party lost. One Ms Amina Salum said some youth from Igunga felt the party had no faith in them.

“If the allowances paid to outsiders were paid to the locals, their impact could have been felt at the family level and help the party gain approval of the voters,” she said.

Mr Timothy further told The Citizen that Chadema, which came second in the poll, failed to articulate its policies as clearly as CCM did.“Chadema used its meetings to tell people how evil CCM was but this does not help voters who would like to hear what the party and its candidate would do for them,” he said.

He also hailed CCM’s decision to use Mr January Makamba and other youthful party stalwarts to woo the young who are otherwise pro-Chadema.

Uchambuzi huu una mapungufu mengi:
1. Pamoja na kwamba lengo la vyama vyote lilikuwa kushinda kiti cha Ubunge, mafanikio katika zoezi zima la Igunga hayawezi kufungwa tu katika kushinda ubunge. mwanafunzi huyu wa PhD alitakiwa kuliona hili. kwa CHADEMA ambayo haikuwepo Igunga mpaka miezi 2 tu iliyopita, kufanya ilivyofanya, na hizo asilimia ilizopata, huwezi kupuuzia jambo kama hilo. uchambuzi hauwezi kujifunga katika matokeo ya leo tu, lazima kuangalia implications kwa chaguzi zijazo. kwa mfano, hao anaosema walikuwa na umri wa miaka 15-17 kuwa ndio wapenzi wa CHADEMA, wote watakuwa na umri wa kupiga kura katika uchaguzi wa 2015, na kwa hiyo idadi ya wapenzi wa CHADEMA itaongezeka zaidi kadiri siku zinavyokwenda.

2. CCM wametumia rafu nyingi ikiwa ni pamoja na kutumia viongozi wa serikali na nafasi zao. hii inaonesha kwamba CCM wanazidi kuondoka katika siasa na kujishikiza kwa vyombo vya serikali. hili haliwezi kufunikwa na "ushindi wa Igunga".

3. kuishambulia CCM ni mbinu muafaka. ndicho chama kilicho madarakani, na ndicho kilikuwa kinatetea jimbo. mwandishi akumbuke kwamba kabla ya uchaguzi huu, CUF ndio ilikuwa chama rasmi cha upinzani jimboni hapo. lakini kampeni za CHADEMA zimewapeleka kuwa chama pinzani katika jimbo hilo. ni wajibu wa CHADEMA sasa kuimarisha mtaji huu mpya, imani waliyopewa na wana Igunga si haba. itawasaidia sana 2015. daima waangalie mbele, sio kutuama katika mambo ya jana kama msomi huyu wa "PhD" anavyotaka kutusadikisha.

4. ni vizuri kukumbuka kwamba maeneo ya Igunga yana watu ambao ni wagumu kukumbatia mageuzi. wanakumbatia serikali na kungojea wapewe maelekezo. ndio maana kuanzia mkuu wa wilaya mpaka ngazi ya chini ya utawala, walikuwa katika kuhakikisha ujumbe wa serikali ni kuchagua ccm tu, na kutumia mbinu chafu kutekeleza hilo. lakini pamoja na yote hayo, kuna kila sababu ya CHADEMA kushangilia kwa sababu pamoja na mazingira hayo magumu, wameweza kupata asilimia nzuri. yaliyoshindikana miaka yote hiii yanaweza kufanyika 2015. big up!!
 
nilipomwona Mkapa Igunga na blahblah zake nikakumbuka ya kuwa kama angelipewa huu wimbo wa Madonna pengine angeliachilia mbali kujitokeza kwenye majukwaa.....................................Papa don't preach...............................

 
Last edited by a moderator:

Chadema's defeat was also blamed on the party's failure to localise its campaigns. According to Mr Wiston Joseph, Chadema used people from outside Igunga such as its MPs and other party officials while CCM relied heavily on locals.

And later you say, Mkapa and January Makamba were of great help to CCM - are they locals to Igunga.
Consider all the Government machinery that went there - Magufuli, Nahodha ad the like. Add Mukama, Nape etc,
Your comment is not well balanced because what you tell as CDM weaknesses;is the same as what ccm did.
To me a difference of 3000 votes is a big up for CDM.
Another problem we should address is apathy. I can't understand why about 120,000 voters didn't turnup?
Something is wrong - I think the daftari la kudumu has a lot of problems. Consider the cost of 120,000 ballot papers not used; consider the cost to CDM of keeping these ballots out of centers etc.
 
Uchambuzi huu una mapungufu mengi:
1. Pamoja na kwamba lengo la vyama vyote lilikuwa kushinda kiti cha Ubunge, mafanikio katika zoezi zima la Igunga hayawezi kufungwa tu katika kushinda ubunge. mwanafunzi huyu wa PhD alitakiwa kuliona hili. kwa CHADEMA ambayo haikuwepo Igunga mpaka miezi 2 tu iliyopita, kufanya ilivyofanya, na hizo asilimia ilizopata, huwezi kupuuzia jambo kama hilo. uchambuzi hauwezi kujifunga katika matokeo ya leo tu, lazima kuangalia implications kwa chaguzi zijazo. kwa mfano, hao anaosema walikuwa na umri wa miaka 15-17 kuwa ndio wapenzi wa CHADEMA, wote watakuwa na umri wa kupiga kura katika uchaguzi wa 2015, na kwa hiyo idadi ya wapenzi wa CHADEMA itaongezeka zaidi kadiri siku zinavyokwenda.

2. CCM wametumia rafu nyingi ikiwa ni pamoja na kutumia viongozi wa serikali na nafasi zao. hii inaonesha kwamba CCM wanazidi kuondoka katika siasa na kujishikiza kwa vyombo vya serikali. hili haliwezi kufunikwa na "ushindi wa Igunga".

3. kuishambulia CCM ni mbinu muafaka. ndicho chama kilicho madarakani, na ndicho kilikuwa kinatetea jimbo. mwandishi akumbuke kwamba kabla ya uchaguzi huu, CUF ndio ilikuwa chama rasmi cha upinzani jimboni hapo. lakini kampeni za CHADEMA zimewapeleka kuwa chama pinzani katika jimbo hilo. ni wajibu wa CHADEMA sasa kuimarisha mtaji huu mpya, imani waliyopewa na wana Igunga si haba. itawasaidia sana 2015. daima waangalie mbele, sio kutuama katika mambo ya jana kama msomi huyu wa "PhD" anavyotaka kutusadikisha.

4. ni vizuri kukumbuka kwamba maeneo ya Igunga yana watu ambao ni wagumu kukumbatia mageuzi. wanakumbatia serikali na kungojea wapewe maelekezo. ndio maana kuanzia mkuu wa wilaya mpaka ngazi ya chini ya utawala, walikuwa katika kuhakikisha ujumbe wa serikali ni kuchagua ccm tu, na kutumia mbinu chafu kutekeleza hilo. lakini pamoja na yote hayo, kuna kila sababu ya CHADEMA kushangilia kwa sababu pamoja na mazingira hayo magumu, wameweza kupata asilimia nzuri. yaliyoshindikana miaka yote hiii yanaweza kufanyika 2015. big up!!

ninaafiki na haya mawazo kwa asilimia mia...............ingawaje siyo kweli watu wa Igunga ni wagumu kukumbatia mageuzi kwa sababu uamuzi wao wa kutopiga kua ni dhahiri hawahafiki na khali iliyopo na ya kuwa hawaamini mfumo wa kisiasa utawatendea haki.............................kwa hiyo wanafanya mgomo baridi...........................tafakari wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja na sabini lakini waliopigakura ni asilimia 30...............hizi takwimu zina uzito wake............
 
And later you say, Mkapa and January Makamba were of great help to CCM - are they locals to Igunga.
Consider all the Government machinery that went there - Magufuli, Nahodha ad the like. Add Mukama, Nape etc,
Your comment is not well balanced because what you tell as CDM weaknesses;is the same as what ccm did.
To me a difference of 3000 votes is a big up for CDM.
Another problem we should address is apathy. I can't understand why about 120,000 voters didn't turnup?
Something is wrong - I think the daftari la kudumu has a lot of problems. Consider the cost of 120,000 ballot papers not used; consider the cost to CDM of keeping these ballots out of centers etc.

bila ya katiba mpya itakao ondoa ukiritimba wa madaraka ya Raisi kujaza jamaa zake kwenye taasisi za umma kama NEC..................voter apathy is a thing to stay for a very long time.....................................because it expresses what we all desire.....................unless there is a free and fair election why waste your vote............................and time when you well know your vote will be stolen by ccm thugs.............
 
Ten things you should know about the Igunga By-Election.


First.


1) Voter apathy is now CCM trump card to cling onto power. Low voter turn-out has emboldened ccm that if it is supported with vote-rigging can reassure her stay onto power for generations to come….it is sad yet a plausible fact…

Second



2) Given the despicable levels of ccm antipathy experienced across the nation, we may as well be wise and forget a people driven process into constitutional making mandate...JK regimented with his henchmen are hell-bent to ensure a manipulated constitutional making process is in the offing…the tactic here to appear doing something to appease the masses while in reality they do too little to qualify for anything..letting the naysayers grapple about the squandered political opportunities well after 2015…

Third.



3) As much as I have to disappoint JF adulators but facts ought to be bared regardless of one’s personal tastes….And the B IG fact is Chadema is “work in progress” and nothing else….Where unruly, rowdy yet unemployed youth pampers Chadema with never miss attendances in their huge rallies….but skilled voters of my caliber are confounded to differentiate Chadema from her political nemesis in ccm….little surprise do we register among ourselves as when JK threw a banter at Chadema for being a ccm replica iat 2010 stolen election……rallies…JK’s beef has usually been to alert and forewarn voters to be wary and vigilant of opposition parties that are doing lip-service in rejecting ccm aura while privately photocopying ccm manifesto and far more important….her greasy hands in snapping official graft….if you permit me to assiduously extrapolate JK unsaid rhetoric…it is mistrust of Chadema designations as much as indignations of ccm’s invidious incompetence that is driving voters to a state of hopelessness and stay home during voting day….

Fourth


4) The local police will continue to damage her call for self coined “police jamii” as it is determined to be partisan in electoral issues….voters are wondering is the police safeguarding national interests or is persevering protecting the rot in the police force that the opposition is striving to dismantle……water cannons have at best excelled in reminding voters the police are against them and that they should not be trusted…so we may be smart to sneer at police Jamii as a crazy idea wholesale photocopied from western capitals….and irrelevant to address African problems like ours…..


Fifth



5) CUF despite her remonstrations remain a “ccm-B”………in the oven…albeit it is a potent political force in Pemba where “a beggar cannot afford to be a chooser” mentality seems to benefit CUF………but CUF has lost her political mantra following her political Islamic agendas….such as hedging upon unproductive causes such as IOC and kadhi Courts…Ensuing from such parochial agendas CUF is now embroiled in an image and identity crisis……is CUF fomenting religious divisions and hatred among the populace just to serve her colonial masters residing in Oman and other Middle East Islamic nations..or her association with ccm in an ignominious power-sharing mishmash sufficient enough to distract CUF from her loftier ambitions of gaining power?

Sixth



6) Freeman Mbowe as Chadema top-dog has already outlived his political usefulness and someone ought to advise him to voluntarily relinquish at least the chair position…he has been biting too much and the beef is weighing heavily on his fragile mandibles…freeing Mr. Freeman from sinking Chadema with him could be the best X-Mas gift for all Chadema adulators….Ask yourself with unrelenting rises in unemployment and with standard of living plummeting to telling heights….do we need further proof how Freeman has failed to free the whole caboodle of us from ccm oppression if his flimsy political skills and questionable character do not offer the narratives here?


Seventh


7) JK is sadly playing the Almighty GOD…when he is conniving to hand over power to his ccm stooge in 2015….regardless of the voters’ wishes!!!!!!!!!!….being a student of African military coup detats…it is of little surprising that such coup detats……of his personal initiations frightens not our JK…Wisdom if permitted to prevail would have led JK to do the Kaunda on UNIP and bequeath this nation with a culture of handing power to the opposition something even the saintly JK Nyerere could not visualize if his insidious speech of 1997 celebrating the longevity of his mom in relationship to ccm stay in power could be anything of guidance here…

Eigth

8) A plump Mkapa is politically a spent force, and totally irrelevant in our political equation….I keep wondering why the media informs us over cheap musings on roadside………the man in the mirror disburses with pardonable eloquence…….In Igunga not even a single soul voted basing their choices upon Mkapa idiosyncrasies…So Mkapa is neither a “baby come” nor a “comeback kid”….he should enjoy his hefty retirement package while waiting for Our maker to crop him out at the appointed time……Certainly Isaiah 57:1 was not uttered with Mkapa in mind..until then we can do with less decibels from him…maybe he should listen to Madonna oldie….song…”papa do not preach…”


Ninth.


9) Ccm grudgingly induced internal reforms now baptized as “magamba ya nyoka” continues to rival even Zee-comedy on stature of comedies…Magamba remains the biggest joke of 2011…I suspect we have seen everything in the orbits of comic entertainment for this year….maybe ccm starlets and spin doctors can still dream up something much more stupefying than magamba ya nyoka….Nobody cares for ccm and her reincarnation circuses......let the dead bury their own.......

Tenth.



10) Is Igunga By-Election a trendsetter for ccm exit… am afraid not…as long as ccm finds a way to retain the de-jure constitution in its archaic form….ccm will still be a party in power despite our rejection of her contemptuous, dictatorial tactics.
kingereza kigumu sijaambua kitu!
 
Njia mbadala ya kuchukua nchi kiurahisi bila fujo:
1: wale wanachama watu wazima wa (umri) wa CDM ni wakati muafaka sasa kuwashawishi wazee wenzao taratibu madhara ya kuendelea kukichagua CCM
2:vijana wasomi wa CDM wawashawishi wazazi na walezi wao watu wazima madhara ya CCM pamoja na mazuri waliyoyafanya tangu kuzaliwa kwake 1977 na kabla ya TANU.
3; CCM hii sio ile ya Mzee mwenzao NYERERE na akina KAWAWA.
4:Watoe mifano hai ya wasomi kumaliza Elimu ya Juu pasipo kazi wakati watoto wa vigogo hasa wa CCM wakijineemesha ikiwezekana watoe na mifano. wawasomee taarifa zinazoandikwa magazetini kwa utuo bila jazba wazazi watawaamini na kuwaelewa.
5: Mimi mama yangu alikuwa CCm wa kutupwa lakini kila nikipata wasaa wa kukaa naye namsimulia mambo ya shule na madhara ya CCM nime fanikiwa kumbadilisha na kwamba kukosa kwangu kazi na yeye kuwa na maisha duni pamoja na kunisomesha yamesababishwa na CCM. Ameniamini kiasi kikubwa.

hivyo viongozi wa CDM ngazi zote fanyeni mikakati hii.
6: CCM hapakaliki wanagombana kila siku tuendelee kutia FITNA wasambaratishane.

bila ya katiba mpya inayomwogopa Muumba kwa kuondoa aina zote za dhuluma hakuna yeyote anaweza kuibadilisha khali hi labda kwa kupitia machafuko kama yale yaliyoikumab kenya na yaelekea viongozi waliopo madrakani hivi sasa wanatujengea mazingira ya kumwaga damu...............kenya wakina Moi walikazana kukataa katiba mpya.........................lakini damu iliyomwagika 2007/08 ndiyo iliandika dibaji ya katiba yao mpya........................sidhani kama tuna ujanja wa kuwepa historia hiyo ya majirani zetu.........................blood shed is sometimes good for our own sake..............................hata nyumbu pamoja na upumbavu wao huwa wanatoa zaka ya wachache wao kwa mamba ili waweze kupitia mto mara......................................
 
kingereza kigumu sijaambua kitu!

pole sana...................kwa kifupi ni katiba mpya tutakayojiandikia wenyewe ndiyo itatutoa kwenye lindi la umasikini tusikubali JK na wezi wenzie watuibie haki yetu ya kuandika katiba mpya itakayoondoa dhuluma za aina zote.........................vinginevyo mahudhurio kwenye kura yataendelea kupungua kwa sababu tunachopinga ni kuhadahiwa na viongozi waliopo ambao wanawatumia watendaji kwenye serikali za mitaa akina DED kupanga matokeo..................................na NEC ni sehemu ya uozo uliopo serikalini............................tusipofanya hivyo basi tusubiri damu kumwagika kama ilivyotokea Kenya......................na kuanzia hapo watawala na watawaliwa tutajifunza sote kuheshimiana.............
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom