temporary job

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,306
4,681
hello,
i hope this finds you in the best of your health.am a high school leaver awaiting results.am looking for a temporary job to keep me busy and try to make ends meet..
anyone out there to help me,i will gladly appreciate..!!
 
Ungependa kazi ya kiwango gani cha mshahara/posho? Kuna jamaa wana kazi, sio ya kuvutia ki vile na vi-chenji wanavyolipa siyo vingi wanalipa basic ya Tsh.105000/= ukijumlisha na overtime ambayo kwao masaa 4 ni compulsory unaweza ukapata kwenye 180000. see, siyo poa sana but if unafikiri itakusaidia karibu nitakulink nao
 
Haya Mpwa, shemejio kaacha kazi juzi, hebu nikonektie fasta pls, tafadhali sana Elly B
 
Elly nimeipenda hiyo job kama jamaa hapo juu atakuwa amechomoa pls naomba contact zako,,, nina ndugu yangu home anahitaji hat mahali pa kumkeep busy walau apate nauli tu.
 
yah bro, send me the link, i'll appreciate.
 
Ungependa kazi ya kiwango gani cha mshahara/posho? Kuna jamaa wana kazi, sio ya kuvutia ki vile na vi-chenji wanavyolipa siyo vingi wanalipa basic ya Tsh.105000/= ukijumlisha na overtime ambayo kwao masaa 4 ni compulsory unaweza ukapata kwenye 180000. see, siyo poa sana but if unafikiri itakusaidia karibu nitakulink nao

nime kubali hiyo kazi,.nimeku PM
 
mkuu Elly B,ni PM na mm unipe contact zako hasa phone number,au niandikie kupitia kunambi2003@yahoo.com
 
Ungependa kazi ya kiwango gani cha mshahara/posho? Kuna jamaa wana kazi, sio ya kuvutia ki vile na vi-chenji wanavyolipa siyo vingi wanalipa basic ya Tsh.105000/= ukijumlisha na overtime ambayo kwao masaa 4 ni compulsory unaweza ukapata kwenye 180000. see, siyo poa sana but if unafikiri itakusaidia karibu nitakulink nao

Mkuu were you just tantalising?Naona tangu ulivyotoa hizi dondoo hujarudi tena i've tried and pm'd you lakini hujibu,hata hapa jamaa wanaendelea kukuliza you don't respond!
 
nisaidiaeni jamaniii.,am in need of a job!!
 
Samahani kwa kutojibu, siyo kwa sababu sijali no,ila mambo yalikamatana kiaina.if bado unahitaji nakuruhusu kuni-pm.Thanks
Haya Mpwa, shemejio kaacha kazi juzi, hebu nikonektie fasta pls, tafadhali sana Elly B
 
Hi smoke, sorry for being unattendant to the JF and I really am sorry for not answering timely. But if you still think this will help,I'm PMing you for details.
 
Bosi nisamehe kwa kuchelewa kujibu,Nimeku-pm
Elly nimeipenda hiyo job kama jamaa hapo juu atakuwa amechomoa pls naomba contact zako,,, nina ndugu yangu home anahitaji hat mahali pa kumkeep busy walau apate nauli tu.
 
Hapana Mpendwa,Nitabia mbaya kumjoki mtu mwenye shida! Samahani kwa kutojibu kwa wakati, Cheki PM
Mkuu were you just tantalising?Naona tangu ulivyotoa hizi dondoo hujarudi tena i've tried and pm'd you lakini hujibu,hata hapa jamaa wanaendelea kukuliza you don't respond!
 
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU,nilipoandika Kibarua, sikumaanisha kazi nzuri ki vile,ni kazi ya ulinzi yenye shifti za mchana na usiku,Sifa zinazotakiwa ni;

1.Elimu ya kidato cha nne
2.Urefu usiopungua ft5'7
3.Wadhamini wawili(kazi/assets siyo lazima ingawa inasaidia)

Naomba niweke wazi pia kuwa kama nilivyosema hiyo kampuni mie sina hisa nayo ila it once helped me wakati natafuta pa kukanyaga,so kama kweli unafikiri itakusaidia na una sifa,Nitafurahi kuwa of some help to a needy,Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom