Elections 2010 Temeke pamechafuka!

sensa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
397
22
Hivi kweli hawa ccm ndo wanatupeleka huko? wawape raia haki yao.Viongozi kama hawa hawatufai kabisa.
 
Sasa mbona umeweka kichwa cha habari then ukajiuliza tena swali mwenyewe badala ya kutoa taarifa iinayosapot kichwa hicho cha habari!

Pamechafu vipi??
 
watu wanajianziashia thread tuu bila mpangilio, kama umewekka heading temeke pachafuka, put data pamechafukaje
 
Duh we naye hamna kitu!huna information!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Kama member wa JF tunaamini u are a medieval thinker. sasa unapoleta thread ambayo haina kihwa wala miguu, unafanya tukutilie shaka.
Eleza pamechafukaje, lini, na kwanini.?
 
Hivi Tanzania ni hadi tupigane hata kupata haki zetu ambazo tunapaswa kupata kidemockrasia. Hayo mabomu na kamata kamata za raia wema wanodai haki yao ya msingi na polisi ina ashiria nini? Kwanini hawatangazi matokeo, ndo kuchakachua kunaendelea? Lakini hatuhitaji kuogopa tunapodai haki zetu za msingi kama uongozi bora
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom