Temebelea blog hii

Kuanzisha blog siyo, kazi ni kuifanya iwe current. Kama umefanya uchunguzi blog nyingi hazipo current, hii ni kutokana na hao mabloger kutokuwa na muda au wasaidizi. Ushauri wangu ni kuwa creative acha mambo ya kucopy na kupaste toka mitandao ya magazeti kama mwananchi n.k Kwa kuanzia siyo mbaya rekebisha makosa ya mabloger wengine utatoka na blog yako itakuwa na wapenzi wengi
 
Asante sana kwa ushauri mzuri

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom