TemboCARD MasterCard

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Najaribu kutumia tembocard mastercard online lakini haiwi recognized, ambaye anatumia au aliyewahi kutumia anielekeze
 
Najaribu kutumia tembocard mastercard online lakini haiwi recognized, ambaye anatumia au aliyewahi kutumia anielekeze

Mpaka uende benk ukajaze barua, tanzania hatujaingia technology ya kufanya transaction moja kwa moja online bila uangalizi wa benk
 
duh? Ngoja nitaenda later benki nikaone wananihelp vipi, mi naona ni rahisi kushop online kama kuhost au kununua softwares kuliko kununua kibongo bongo.
 
Mkuu ninavyojua huwezi tumia Debit card mpaka iwe loaded na kiasi fulani cha hela. Cheki hii link ujue zaidi www.usa.visa.com/personal/cards/prepaid/prepaid-card-faq.html ila pia ni vizuri kumuona service provider wako.
 
TemboVISA card/ TemboMaster card za CRDB zinatumika sehemu yeyote duniani kwa matumizi yaliyoainishwa kwenye card husika. Ili uweze kuitumia, lazima uombe wa activate hiyo card kwa ajili ya huduma husika. Kwa hiyo kama unataka kuitumia kwa online buying/selling kajaze form husika then wataiactivate card yako. Ahsante.
 
duh? Ngoja nitaenda later benki nikaone wananihelp vipi, mi naona ni rahisi kushop online kama kuhost au kununua softwares kuliko kununua kibongo bongo.

Watakuibia hao wanaweza kuuzia kitu dola 100 ukaona rahisi then shipping mpaka bongo ikakukost dola mia zengine
 
Mi nilijaza fomu pale holland branch na nikaambiwa tyr wamenisajili lkn nilipokwenda kufanya mhamara ilishindikana kabisa pamoja na kuwa na mzigo wa kutosha kwenya acc. sijui nilikosea wapi.
 
Watakuibia hao wanaweza kuuzia kitu dola 100 ukaona rahisi then shipping mpaka bongo ikakukost dola mia zengine

Inategemea unanunua toka wapi? Kiufupi ni kwamba ukishaonyesha unataka hicho ulichonunua kiende wapi wanakupa na gharama za usafiri, kwahiyo utaamua mwenyewe kununua au kuacha. Vilevile jitahidi kuorder bidhaa from major suppliers ambao kwa hakika wanaheshimu internatinal laws. Alternatively, unaweza kutumia paypal for security purpose. Hawa jamaa ni wa uhakika na utapeli mtandaoni kupitia kwao sio rahisi, wako smart.
 
nilishasikia kuhusu kuactivate, ngoja ntaenda kuiactivate, account yangu inao mpunga wa kutosha kufanya any transacation nnayotaka, watanipa maelekezo yote hapo hapo. We uliye activate, ilichukua muda gani mpaka walivyoiactivate?
 
Mi binafsi nahitaji huduma ya VISA tu with my TEMBO/MASTERCard lakini sasa sijaelewaga shida ni nini, maana tangu niwe na hiyo Card sijaweza kabisa ku'draw pesa kwenye ATM ya Bank nyingine zaidi ya CRDB, au ndo tuseme huduma ya VISA haipo nini kwenye TEMBO/ MASTER Card?
 
Inategemea na ATM za bank husika. Kama bank haitumii hizo VISA cards au Master Cards usitegemee ATM zake zitakubali mtu wa bank nyingine mwenye VISA card achomoe pesa kirahisi kwani hizi transactions ziko centralized sehemu, its like a Power Pool. Kwa hiyo unapotaka kudraw pesa kwenye ATM ya bank nyingine, inabidi uangalie hiyo ATM inakubali VISA cards au la. Otherwise, zinakubali bila matatizo with some little charges different from the normal one.
 
Nashukuru mkuu, lakini nimekuwa nikijaribu kutumia ATM za Bank kama NBC, BARCLAYS & STANCHART, ambazo bila shaka zote hizo zina'support huduma ya VISA [kama ambavo nimekuwa nikizitumia bila ya matatizo yoyote kwa kutumia TEMBOcard VISA yangu ambayo ilikwisha muda wake ndipo nika'process hii TEMBOcard MASTERcard nikidhani ingekuwa na more advanced features maybe, sasa cha ajabu kila nikijaribu kuitumia for VISA kutoa pesa kwenye ATM napata ujumbe like "YOUR TRANSACTION HAS BEEN DECLINED BY YOUR ISSUERER ...[or something like that], sasa sijui hii maana yake huwa ni nini hasa, hebu watu wa CRDB waliopo jamvini watatusaidie labda.
 
NBC hawana hiyo huduma ya VISA (lakini wako mbioni kuianzisha), hizo zingine huwa wanazitoa hizo huduma lakini wakati mwingine wanaziondoa kutegemeana na hali ya mambo ilivyo. Kwa mfano, hao standarda chatered nilikuwa nawatumia huku eneo nilipo, lakini mwaka jana mwezi kama wa 2 wakaiondoa. Lakini kwa sasa natumia ATM za bank tofauti kabisa, na hizo hazipatikani bongo. Hivyo, nikitaka kununua kitu siyo lazima nibebe hela, ni mwendo wa card tu mambo juu kwa juu. By the way, jaribu kuwauliza CRDB wenyewe watakupa majibu mazuri zaidi ya haya niliyokupa.
 
nimeenda kwenye tawi la crdb nimejaza fomu, nimeambiwa niende kesho kuona kama tayari wamesha enable
 
Watakuibia hao wanaweza kuuzia kitu dola 100 ukaona rahisi then shipping mpaka bongo ikakukost dola mia zengine

hapana kuna vitu vipo resonable kununua nje na swala la shiping huwa liko wazi sana seller anakupa gharama ukishindwa hulazimshwi kununua. Then kwa kuhost na kununua software ni rahisi sana mkuu. Sema ahakikishe anatumia paypal au money brooker kulipia items ili kusecure CVV no. yake na Credit card no. yake.

Aende kenye benki hiyo specifically crdb ajaze fomu ya kuomba within 2days wanakua wameactivate.
 
Back
Top Bottom