Tembelea CHADEMA blog

Status
Not open for further replies.
muwe mnai updates kila siku utaona jinsi watu watakavyokuwa wanaikimbilia ila kama updates ni mara moja kwa wiki hakuna wa kuitembelea
 
Hivi ni Peoples power au People's power? Naomba confirmationa juu ya hili, na kama ni People's power basi blog iwe updated juu ya hilo.
 
Naona tumekamilika kila idara....bado CHADEMA TV NA CHADEMA FM...sijui mambo haya lini Mungu wangu...I wish kama CHADEMA hatuna fedha kwa ajiil ya hili, tupitishe mchango....kama yule mama wa jana aliyekuwa anawahi kikao cha CHADEMA MWANZA alichngiwa 32,500 kwenye dala dala ya walalahoi kama mm, vipi tukisema tunachangia uanzishwaji wa CADEMA TV...viongozi wanaona ugumu gani??
 
kwa kuanzisha redio shilingi ngapi? wakiamua wanaweza. sema hawajaamua viongozi wetu
 
Natokea huko lakini is like nilikua nasoma gazeti la tanzania daima tu
 
:A S angel:
muwe mnai updates kila siku utaona jinsi watu watakavyokuwa wanaikimbilia ila kama updates ni mara moja kwa wiki hakuna wa kuitembelea

Ni ukweli usiofichika tunataka mawazo mapya , sio kila siku kitu kimoja , inachosha hata akili
 
Ni people's power which implies the power is in the hands of People!
 
Naona tumekamilika kila idara....bado CHADEMA TV NA CHADEMA FM...sijui mambo haya lini Mungu wangu...I wish kama CHADEMA hatuna fedha kwa ajiil ya hili, tupitishe mchango....kama yule mama wa jana aliyekuwa anawahi kikao cha CHADEMA MWANZA alichngiwa 32,500 kwenye dala dala ya walalahoi kama mm, vipi tukisema tunachangia uanzishwaji wa CADEMA TV...viongozi wanaona ugumu gani??

Shauri viongozi CHADEMA wafungue akaunti kwa ajili ya kuchangia CHADEMA TV.Tuko tayari.
 
NImeona ila kuna mapungufu, current news hakuna! yote niloyakuta huko tayari nilikuwa nimeishayasoma kwenye magazeti.
 
Shauri viongozi CHADEMA wafungue akaunti kwa ajili ya kuchangia CHADEMA TV.Tuko tayari.

Umenena mkuu! ila account hiyo iwe electronic, ila kila mchangiaji awe anaona kiasi kilichopo na watakapotaka kudroo watujuze wote, kwa namna hiyo nchi tutaikomboa toka mikononi mwa mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom